Ubaguzi huu utakoma lini?


Wewe km sio zuzu basi sio ridhiki.
 
Kama taasisi ni ya kisini sioni kosa lolote .
 
mkuu, haikuwa nafsi ya UCHUNGAJI bali ni ya MATERIAL MANAGEMENT. Umeelewa?
...nijuavyo "material managemet" inahusiana na utunzaji vitu mbalimbali, (storekeeper)' basi yawezeka wakawa wanahitaji mtu wa kutunza Vitu vya kanisa (biblia n.k) ndani ya kanisa lao.

...na kuhusu kigezo cha awe anatoka kanda ya ziwa yawezeka sehemu kufanyia kazi ni huko kanda yz ziwa.
 
hii thread imeshapoteza muelekeo,watu wanamwaga povu la udini tu!
 

Acha chuki,,,halafu chuki zako zinaanzia kwenye kutoa likes
 
udini kwenye ajira upo sana.na waSDA wqpo tafaut na madhehebu mengine ya.kikristo kwq kias kikubwa ndo maana walishindwa kisema awe mkristo maana walijua ni changanyikeni.hata Arusha University ni chuo chao na wafanyakaz wao wengi 95% ni wasabato.so mm sishangai kwani hata Amana bank 95% ya waajiriwa ni waislam hata taasisi za kidini yaani Humanitarian institutions nying zina ubaguzi wa kidini mfano World vision na Catholic Relief Service (CRS) muislam kupata kaz ni ndoto yaan kama hiyo CRS lazima iwe mkristo mkatoliki.
ninachowaomba waajiri wa hizi taasisi dini haihusiani na taaluma ya.mtu, na hata kama mtu ni wa dini tofaut si kwamba atapunguza utendaji au kuvuruga imani yako kwani ibada hazifanyiki kwenye maofisi.ndo maana siku 6 ni za kufanya kazi na moja ndo ya kufanya ibada katika wiki.Tuheshimiane, tupendane na tuungane.SAY NO TO UBAGUZI PLZ.
 
Labda wafanyakazi wao ni wasabato,c unajua wenzetu hata ukinywa cocacola dhambi,sasa wakiajiri mtu yeyote c watatuajiri wala gambe iwe patashika?ni kiimani zaidi
 
Labda wafanyakazi wao ni wasabato,c unajua wenzetu hata ukinywa cocacola dhambi,sasa wakiajiri mtu yeyote c watatuajiri wala gambe iwe patashika?ni kiimani zaidi

Te te teeeeee mkuu hata soda ni dhambi? Aagh hii kali
 
Tunasema kwa kinadharia tu ila ubaguzi utakuwepo kwa mf hao wasabato huwa mara nyingi ijumaa jioni hadi jumamosi jioni hawaganyi kazi mpk sabato iishe hapa namaanisha wale washika dini hasa sio wasabato jina sasa mtu km huyu ukimuajiri kwenye yaasisi yako inayofanya kazi hadi jmosi mf Mkombozi bank au Amana bank au Maendeleo bank hapa nazitaja za dini tu sijui hizo nyingine taratibu zao ziponye kwenye ishu kama hii we huoni hiyo taasisi itashindwa kumeet target zake kisa mhusika mkuu dini yake hairuhusu afanye kazi siku hiyo so waacheni wajibague na wengine wawabague coz kila dini ina itikad zake.
 
Umejibu vena sana hii ni taasisi ya kidini huwezi ajiri mtu nje ya imani husika maana biblia inasema usifungiwe NIRA na wasio amini kwa hiyo vyuo vyote vya dini hufuata taratibu za dini husika.
 

Unapotangaza kazi Manake unataka mtu competent, wao kwa sifa walizoweka wanajua watapata, Kama hawatapata hasara ni kwao. Leo kuna nafasi zinatangazwa wanasema usiwe na umri zaidi ya miaka 35, ni ubaguzi wa umri?
 
Huo ni ubaguzi au masharti ya mtoa ajira? Ikitangazwa wanamhitaji mwanamme wanawake waseme ni ubaguzi kwanini usiilalamikie serikali yako unailalamikia taasisi ya kidini elewe ni kwa ajili ya ufanisi bora sio kwamba wanatoa ajira kuwafurahisha watu
 
Wasabato hawanywi coca cola,hawavuti sigara,hawali nguruwe sijui ukristo una biblia aina ngapi maana hivyo vyote kwa wakatoliki ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…