umelazimishwa kusikiliza radio Yao?
mbona hapahapa bongo kuna nafasi za kazi moja ya kigezo sharti ujue kihindi
Wasabato ni wabaguzi hadi ktk shule zao wanangalia kwanza watoto wa wasabato hata kama ni manunda wapate kwanza nafasi wengine baadae!
wangekuwa na shule nyingi na bora kama waroma si wengine ambao madhehebu yetu hayana shule tungekoma?:sad:
nenda kwa bharessa ukaone ubaguzi zaidi
Leo nilikuwa nasikiliza redio ya Morning Star nikasikia tangazo hili la nafasi ya kazi ambalo limenishangaza sana:
1. Mwombaji awe ni muumini wa kanisa la Waadiventista wa Sabato (SDA) na aweze kuthibitisha hilo kwa maandishi.
2. Mwombaji awe ni mwenyeji wa Kanda ya Ziwa na hilo lithibitike kwenye cheti chake cha kuzaliwa.
3. Mwombaji awe na shahada ya kwanza ya uboharia (Material Management). Mwenye shahada ya pili ana uwezekano mkubwa wa kuajiriwa.
Kumbe bado kuna ubaguzi mkubwa wa kidini, kikabila na kikanda katika ajira nchini Tanzania? Ni lini hasa huu ubaguzi utakoma?
Usiwe mjinga mpaka mbele za watu jitahidi ujingaa wako uwache nyumbani. Ivi bakwata ni madhehebu gani ktk dini ya kiislam? usifananishe madhehebu za dini na taasisi za dini hivi ni vitu tofauti mdogo wangu. Hata taasisi za kikiristo zipo zenye seminari wansosoma pale ni wakiristo tuu. Musiwe munachokonowa vijimambo visivyo na tija kwa taifani kweli kabisa mkuu. wasabato na waBAKWATA wana ubaguzi wa ajabu sana. waroma hawana ubaguzi hata kidogo. katika shule ya waroma niliyosoma kuna waislamu kibao, suala ambao ni nadra kulikuta kwenye shule za BAKWATA--wao huchukua walimu na watumishi wote wa kiislamu hata kama ma-MBURULA wa kutupwa.
ni kweli kabisa mkuu. wasabato na waBAKWATA wana ubaguzi wa ajabu sana. waroma hawana ubaguzi hata kidogo. katika shule ya waroma niliyosoma kuna waislamu kibao, suala ambao ni nadra kulikuta kwenye shule za BAKWATA--wao huchukua walimu na watumishi wote wa kiislamu hata kama ma-MBURULA wa kutupwa.
Patrick Kahemele, ambaye ni Mkristo na mwenyeji wa Bukoba alikuwa Meneja wa Azam FC na sasa ni Mkurugenzi wa matangazo wa Azam TV (kama sijakosea).
Kama huna la kufanya kakojoe ukalale...
sasa ulitaka shekhe akaudumie kanisani ?
Hata wangesema tunataka shehe kama kigezo wangempata wapi. kwa kweli sijawahi kuona shehe mwenye degree ktk elim dunia. yaani mwenye degree ya science au hata humanity yoyote. mpaka nahisi ili uwe shehe lazima usiwe msomi.
Utapotea kama unapima dini za watu kwa majina.
Hata wangesema tunataka shehe kama kigezo wangempata wapi. kwa kweli sijawahi kuona shehe mwenye degree ktk elim dunia. yaani mwenye degree ya science au hata humanity yoyote. mpaka nahisi ili uwe shehe lazima usiwe msomi.
azam tv
kihindi ni taaluma kama kiingereza--hata kazi zingine huwezi kupata mpaka ujue kifaransa au kichina--hii ni taaluma. tatizo langu lipo kwenye utumiaji wa udini, ukanda na ukabila kama vigezo vya kuajiriwa. sidhani kwamba kazi ya material management inahitaji usabato ili ifanyike kwa uzuri!!!!!!!!!!!!