Ubaguzi humu humu nchini mwetu

malsa

Member
Feb 29, 2012
6
0
Habari zenu wadau,

Nilikutana na hili tangazo na nilichokiona hapo chini sikukipenda.
kwamba mombaji kazi hiyo awe muhindi au mwenye asili ya kihindi, je hili ni sawa?ubaguzi unaendelea humu humu nchini kwetu.In maana hao wahindi ndo wanaelimu zaidi kushinda sisi wabongo.
Mnalionaje hili wabongo na mnajifunza nn kwenye hili.Hilo chini ndo tangazo la hiyo kazi.


Chief Accountant
Kunduchi Beach Hotel & Resort

Date Listed: Mar 6, 2012
Email Address: Click to Email
Phone: +255 22 265 0050
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Mar 13, 2012
Start Date: Mar 26, 2012



Position Description:
Vast Experience
Knowledge of Accounting Package
MUST be or Indian Origin

Application Instructions:
Send Cover Letter and CV to the Email Link above
 
sasa ulitaka waandikaje?
kazi hiyo wanataka wahindi pekee na huenda wana sababu zao ikiwa ni kulinda maslahi ya watu wa jamii yao kutokana na tatizo la ajira duniani.
we uilaumu serikali yako au raia wenzako ambao nao wanakubagua
 
sasa ulitaka waandikaje?
kazi hiyo wanataka wahindi pekee na huenda wana sababu zao ikiwa ni kulinda maslahi ya watu wa jamii yao kutokana na tatizo la ajira duniani.
we uilaumu serikali yako au raia wenzako ambao nao wanakubagua
Kuna vichwa vigumu aisee.
 
Not only that..
Sasa kama kazi ya "receptionist".... Kuweka njemba pale sidhani kama inavutia, especially kwa dunia ya leo ya wakware..!!Uwezekano wa kupoteza wateja ni mkubwa sana.

huji kuwa akinamama wanaopenda huduma ya hawa akina kaka na kuwafanya waongeze safari zao na kuongeza wateja pia.
 
siyo ubaguzi,.....ni ku-rationalize maana hapo kunduchi waswahili ni wengi mno ukilinganisha na wahindi. HALAFU KWENYE PESA WASWAHILI HAWAAMINIKI, HAWAKAWII KUJIFICHA NANJIRINJI NA PESA ZA WATU
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom