Ubaguzi wa Rangi katika Ajira za Shirika hili ukemewe

proisra

JF-Expert Member
Jun 14, 2012
214
158
UBAGUZIWA RANGI TANZANIA KTK AJIRA UKOMESHWE.
Leo nilikuwanasoma Tangazo la kazi kwenye Zoom Tanzania nikakutana na mwajiri huyunilieweka details zake hapa chini, akihimiza wanaoomba hiyo kazi sharti wawe niWaasia. Hili jambo limenikera sana na naziomba malaka husika kukoesha waajiriwa aina hii, kwani wanatupeleka nyuma,enzi zila za makaburu.
Soma Tangazolenyewe na kisha uungane name kuwakemea waajiri wabaguzi kama hawa:
================ZoomTanzania================
Bofya hapa: http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=51681
CreditController
VelocityGroup Ltd
Date Listed: Apr 11, 2013
Email Address: Click to Email
Phone: NoCalls Please
Area:Dar Es Salaam
Application Deadline: Apr30, 2013
Start Date: May01, 2013


PositionDescription:
Credit Controller required for a longestablished Company in Dar esSalaam, having its branches in Arushaand growing yet further.
Qualification/Knowledge/Experience:-
- Candidates should be a graduate preferably specializing inaccounts.
- An experience of minimum 3-5 years in the finance section.
- Age 30-40 years.
- Well versed in use of computer ie: Excel and Tally will be clearly an advantage.
- Preferably ofAsian Origin with excellent communication skills in English and swahili.
- The job involves collection of dues, follow up withcustomers for payments, account reconciliation with the customers, controllingcredit limit in terms of value and time of each debtor, advising on bad debtsand if required initiating legal proceedings against defaulting parties
ApplicationInstructions:
Candidates ready to take up ownership of work please emailyour CV with covering letter and photograph to careerwise2012@gmail.com.
Attractive salary package offered to the right candidate.
Bofya hapa: http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=51681


UBAGUZI WA RANGI TANZANIA KTK AJIRA UKOMESHWE.
Leo nilikuwa nasoma Tangazo la kazi kwenye Zoom Tanzania nikakutana na mwajiri huyu nilieweka details zake hapa chini, akihimiza wanaoomba hiyo kazi sharti wawe ni Waasia. Hili jambo limenikera sana na naziomba malaka husika kukoesha waajiri wa aina hii, kwani wanatupeleka nyuma,enzi zila za makaburu.
Soma Tangazo lenyewe na kisha uungane name kuwakemea waajiri wabaguzi kama hawa:
================Zoom Tanzania================
Bofya hapa: Credit Controller Job in Dar Es Salaam, Tanzania
Credit Controller
Velocity Group Ltd
Date Listed: Apr 11, 2013
Email Address: Click to Email
Phone: No Calls Please
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: Apr 30, 2013
Start Date: May 01, 2013


Position Description:
Credit Controller required for a long established Company in Dar es Salaam, having its branches in Arusha and growing yet further.
Qualification/Knowledge/Experience:-
- Candidates should be a graduate preferably specializing in accounts.
- An experience of minimum 3-5 years in the finance section.
- Age 30-40 years.
- Well versed in use of computer ie: Excel and Tally will be clearly an advantage.
- Preferably of Asian Origin with excellent communication skills in English and swahili.
- The job involves collection of dues, follow up with customers for payments, account reconciliation with the customers, controlling credit limit in terms of value and time of each debtor, advising on bad debts and if required initiating legal proceedings against defaulting parties
Application Instructions:
Candidates ready to take up ownership of work please email your CV with covering letter and photograph to careerwise2012@gmail.com.
Attractive salary package offered to the right candidate.
Bofya hapa: Credit Controller Job in Dar Es Salaam, Tanzania


 
System ya nchi ndo iko ivo mkuu.
Wageni wakija wakikuta nchi ndo ilivyo watafanyaje?
wa kulaumiwa ni sisi wenyewe
Mkapa enzi zake alienda migodini geita kuwaambia wageni wapunguze hela wanazolipwa wafanyakazi wazalendo.
Mfumo ndo tatizo
 
nahisi ni sawa au sjiui sio sawa sielewi,

mfano ki-home-home unakuta mama anasema anataka mfanyakazi wa nyumbani wa kazi wa kihehe na wala asiwe e.g mgogo,

na je akibainisha na jinsia fulani ya mtu anayetaka kumuajiri, na hapo tena utasema anabagua jinsia?


ni uamuzi wa mtu na kampuni yake binafsi, labda ukute ikiwa hivi kwenye shirika la umma ndio haitakiwi!
 
Tangazo hata mie nimeliona ila sikutilia shaka kwa kuwa mfumo uliopa kwasasa ndiyo unaolea vitu hivi. Kama haya mambo yanafanyika ndani ya serikali sishangai kufanyika kwa kampuni binafsi. NAKUUNGA MKONO KATIKA KUYAKEMEA.
 
Nini rangi, binafs mwaka 2010 ubini tuu (jina la ukoo) ulinikosesha kazi kwenye wizara moja, pamoja na kuwa na birth certificate na academic transcripts!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom