Where is the government | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Where is the government

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MJM, Mar 6, 2012.

 1. M

  MJM JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  I noted one of the advertisement below from Zoom Tanzania. How can the Government accept this racial discrimination on employment contrary to the Law. Is this the price we are paying for being so kind to thieves from all over the world who are coming to pluck whatever we have. Where is the Matumbi's (Black Africans) future destination????

  Chief Accountant
  Kunduchi Beach Hotel & Resort
  Date Listed: Mar 6, 2012
  Email Address: Click to Email
  Phone: +255 22 265 0050
  Area: Dar Es Salaam
  Application Deadline: Mar 13, 2012
  Start Date: Mar 26, 2012  Position Description:
  Vast Experience
  Knowledge of Accounting Package
  MUST be of Indian Origin  Application Instructions:
  Send Cover Letter and CV to the Email Link above
   
 2. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duu! haya mambo bado yapo kwenye nchi hii ya Nyerere!? au baada ya kifo cha Nyerere na misimamo yake nayo ikafa!? hii ni hatari sana, mambo ya ovyo na ya kibaguzi yanafanyika wazi mchana kweupeee, haya ndo matokeo ya kuongozwa na serikali legelege, sisi wamatumbi tutadharauliwa kwa kuwa chombo cha kutusimamia(serikali) imewekwa mfukoni mwa wawekezaji wa kigeni! How can we rid our country of kikweteism malady!?
   
 3. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi masikini tutabaki tu kuangaika kwa kusambaza bahasha ila kazi hamna. watoto wao ndio wanaofaidika na hii nchi .

  huo ni mfano tu.
  Angalia wanavyotuzunguka kwa uongozi ; yaana kama baba alikuwa mbunge , waziri , raisi Mtoto naye huandaliwa kufuata nyayo hizohizo. utazani sisi wengine hatufai?  Tukumbuke kuwa:

  ''maisha ya duniani yanamwishowake dhurumu utakavyo dhurumu lazima utaingia kaburini na mali utaziacha duniani hauto kwenda nazo kaburini''

  HIVYO

  Tutende mabomema ili yatusaidie kupata ufalme wa mbinguni
   
 4. a

  admirable Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kindergarten (Pre school) Teacher
  The Human Resources Consulting of Tanzania

  Date Listed: Jan 27, 2012
  Email Address: Click to Email
  Phone: +255 222772305
  Area: Dar Es Salaam
  Application Deadline: Mar 19, 2012
  Start Date: Mar 06, 2012


  Position Description:

  We are looking for a dynamic pre school teacher with Asian origin and hands-on teaching style having a friendly and creative nature. Must have at least 2yrs minimum experience in a preschool/nursery environment. Education requirements: A degree holder in Early Childhood Program or something similar.


  Application Instructions:

  Interested and qualified candidates should send their cv's and cover letters to the email link above.
   
Loading...