Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
Nikweli huwa inatokea ila siyo kwa asilimia kubwa kama hiyo mbinu yako ya kujisitiriHata ukioa unaletewa hayo maradhi nyumbani kwa gharama za mahari yako,,, same shit...
Nikweli huwa inatokea ila siyo kwa asilimia kubwa kama hiyo mbinu yako ya kujisitiriHata ukioa unaletewa hayo maradhi nyumbani kwa gharama za mahari yako,,, same shit...
Hata babu na baba yako walikuwa ma-bachelor siku moja... Utakwisha tu huo, one day.Wakuu najua mko poa,
Ubachela raha sana,ila usiniinge kabisa.
Kwanza hakuna kubanwa kama ambao wako kwenye ndoa
Unafanya mambo yako kwa kujiamini sana
Upangiwi cha kufanya
Unarudi kwako mda unaotaka
Unaishi kwa furaha sana
Unajipenda sana
Mabachela mkuje hapa tupeana stori mbili tatu
Yale ya isack Gamba wa DW.....Unalala peke yako usiku unakufa usingizini unakuja kujulikana baada ya mwili kuoza ,ubachela raha sana!
Mkuu unahisi watoto wako watapata malezi bora kama ww uliyoyapata?Bachelor sugu nipo hapa,sijaoa ila Nina watoto watatu Maisha burudani kabisa,staki kusikia mambo ya ndoa
Hiyo mbinu huwezi kupata maradhi kamwe, japo siungi mkonoNikweli huwa inatokea ila siyo kwa asilimia kubwa kama hiyo mbinu yako ya kujisitiri
Kwahiyo unaona ni bora kuliko Ndoa mkuu?Hiyo mbinu huwezi kupata maradhi kamwe, japo siungi mkono
😀😀kwani ulimwambia unabeba hao dagaa? Bora kama hakukuwekea ile sijui pilipili maana haifiki kesho kwenye huo mfuko wako mweusiStori mbili tatu ni kwamba.
Nimenunua dagaa mchele ili nikute ugali kwa shemeji nile.
Nimefika nimekuta kapika wali na dagaa. Sasa mimi hawa dagaa mchele nawapeleka wapi?
Akufukuzae hakwambii toka. Nijipange
Mimi niko kwenye ndoaKwahiyo unaona ni bora kuliko Ndoa mkuu?
Yaleyale.😀😀kwani ulimwambia unabeba hao dagaa? Bora kama hakukuwekea ile sijui pilipili maana haifiki kesho kwenye huo mfuko wako mweusi
Yaleyale.
Kwahiyo umetumwa na shemeji uchunguze na mifuko ninayobebea? Haya basi mwambie hata hilo buku nililichukua kwenye meza ya tv
Risk nikubwa kwenye ubachela kuliko mliokwenye ndoa mkuu,kama unaokota okota tu kila aliyembele yako,binafsi naona mliokwenye ndoa mpo safe kiasiMimi niko kwenye ndoa
Ila kuhusu maradhi,ukiwa bachela jukumu la kujikinga lipo kwako kwa asilimia mia, ukiwa kwenye ndoa inakuwa 50 kwa 50
Hahaahaaaaaa na ukute muda umeshaenda unaweza kugairiHapoo kwenye kupikaa....naeza enda gengeni kununua mazaga....kufika home najikuta nimesahau nunua vitunguu..narudi tenaa gengeni....mara salt imeishaa ata sijuiii......hatari tupu






umetisha sana mkuu,kama Isaac gamba sio
Unalala peke yako usiku unakufa usingizini unakuja kujulikana baada ya mwili kuoza ,ubachela raha sana!