Ukitoka Pakistan unipe mimba nikuzalie baby no 4Bachelor sugu nipo hapa,sijaoa ila Nina watoto watatu Maisha burudani kabisa,staki kusikia mambo ya ndoa
Na wewe ni bachelor?Ukipita kwa shemeji Nahuja, Yna2, au kwa mzigua 90 ukala, kilichobaki ni kufikia kulala tu mpaka kesho, wala huwazii familia imekula nini.
Ahahaaa umeoa wewe?Ndoa ni kero tu
Naomba nihamieNiko hapa nakula zangu ndo nilale sasa, kesho asubuhi nikiamka salama nafunga mlango, kazini. Sina wa kuniuliza utarudi saa ngapi wala upo wapi.
Wewe ni bachelor kumbe? Ngoja nijeNimetoka kula matunda nilale... Home tulivuuuu
NakujaDaah mi nimeuchoka kwakweli,Natamani company maana daah upweke umezidi
KaribuNakuja
😂😂😂Unalala peke yako usiku unakufa usingizini unakuja kujulikana baada ya mwili kuoza ,ubachela raha sana!
UKIMWI huna mkuu?Bachelor sugu nipo hapa,sijaoa ila Nina watoto watatu Maisha burudani kabisa,staki kusikia mambo ya ndoa
Ndiyo, kama ukiona huko anayenifaa niambie tafadhali.Na wewe ni bachelor?
hapa tupo woteHapoo kwenye kupikaa....naeza enda gengeni kununua mazaga....kufika home najikuta nimesahau nunua vitunguu..narudi tenaa gengeni....mara salt imeishaa ata sijuiii......hatari tupu
Hahaha certified bachelor..... KaribuWewe ni bachelor kumbe? Ngoja nije