Magufuli ana mambo ya enzi za chama kimoja. Hivi si alikuwa mwalimu huyu? ana tabia za walimu wa chemistry au agriculture wa sekondari
Acha dharau kwa walimu ww..usipende kujumuisha mambo..mwongelee Magufuli kama Magufuli lkn usikashifu walimu.
Magufuli ana mambo ya enzi za chama kimoja. Hivi si alikuwa mwalimu huyu? ana tabia za walimu wa chemistry au agriculture wa sekondari
Mkuu hayo yote kayatamka, pia amesema anamheshimu sana Mheshimiwa Mnyika hatahivyo anashangaa kushupalia ongezeko la nauli ya kivuko wakati hasemi lolote kuhusu sh. 200 wanazolipa watu wanaoingia Ubungo stendi kuu ya mabasi
Hebu ngoja kidogo jamani, Dr Maghufuli kaleta hoja nzito sana hapa.
Hivi kweli 200/- watu tunapoingia tu ndani ya stendi kuu Ubungo huwa tunakua tumenufaika usafiri gani pale? Kwa nini nilipe kwa kumsindikiza mtoto wangu kwenda shule mikoani wakati na nauli pia namlipia mimi?
Kuna haki gani kulipia kupita tu getini wakati hakuna huduma yoyote ninayopata pale?
Mkuu hayo yote kayatamka, pia amesema anamheshimu sana Mheshimiwa Mnyika hatahivyo anashangaa kushupalia ongezeko la nauli ya kivuko wakati hasemi lolote kuhusu sh. 200 wanazolipa watu wanaoingia Ubungo stendi kuu ya mabasi
mkuu hayo yote kayatamka, pia amesema anamheshimu sana mheshimiwa mnyika hatahivyo anashangaa kushupalia ongezeko la nauli ya kivuko wakati hasemi lolote kuhusu sh. 200 wanazolipa watu wanaoingia ubungo stendi kuu ya mabasi
hivi mnyika aliungana na nani kwenye hili sakata? Huyu mlevi ndo kamuona mnyika tu, hajawaona green guard wenzake.
yeye alichofanya ni kumchallenge mbunge wa ubungo kwamba asikimbilie kuzima moto kwa jirani akaisahau nyumba yake ambayo inateketea na kuteketeza watu,ni changamoto tu wanapeana wanasiasa hawa!two wrongs can't make it right. Hapo ndo magufuli alipojichanganya. Kama uozo wa ubungo ulishapigiwa kelele na hii haina maana hili alilolifanya yeye lihalalishwe
Matatizo ya Ubungo hayakuja mwaka mmoja wa Mnyika,yaliletwa na miaka hamsini ya C C M,DR Magu(mash)fuli angalia vzr kauli zako,kumsifia Mdee hakukupi uhalali wa kumponda Mnyika na kuwaambia Maskini(wapiga kura)Wapige Mbizi
Ya udsm yanaweza kutatuliwa na MKANDARA
kwani mlikua hamumjui magufuli??hata kwake mke wake na watoto hawana uhuru wowote...huyu ajateleza ndo alivyo anafanya mambo kiumwamba ila mimi sioni shida coz wakazi wa dar ni mazezeta ngoja wapelekwe..dar kama jiji kongwe tulitegemea iwe chachu ya mabadiliko lakini ndo wamekuwa wakwanza kuvaa kofia na tshirt za ccm...kazi kwao sie tunamsubiri kijijini kwetu akija kubomoa nyumba...HATUTAKI MCHEZO KWANI SIE BARABARA ILITUFATA NA TUKO MPAKANI MWISHO WA NCHI....AJE ATATUKUTA ILA AJUE ATUTAKI UPUUZI
Samahani jamani, najua mtaniita MKABILA, ila naomba niwakumbushe kitu hapa:
Hivi Maghufuli anatoka wapi hapa Tz??
Si mnazifahamu tabia za walio wengi watokao kule??
typical, isn't it???
Samahani
Hebu ngoja kidogo jamani, Dr Maghufuli kaleta hoja nzito sana hapa.
Hivi kweli 200/- watu tunapoingia tu ndani ya stendi kuu Ubungo huwa tunakua tumenufaika usafiri gani pale? Kwa nini nilipe kwa kumsindikiza mtoto wangu kwenda shule mikoani wakati na nauli pia namlipia]
ndugu hapa we shall agree to disagree. Ivi unataka upate kuingia ubungo stendi bure? ivi iyo 200/- ameipanga mnyika? ivi siku zile nauli ilipopanda pale ubungo haukumbuki kauli ya