Ubabe wa Clouds FM uangaliwe

Kwani we una bifu na clouds fm.? hapo sijaona ubabe uliotumika au nimeelewa vibaya mkuu
 
Na Gardena G Habash nae kapotea baada ya kurudi Clouds
 
unamaanisha huyo P.J ni mtoto mdogo hajielewi mpaka anyanyaswe alafu abaki kimya tu namna hii??
 
Acha kudanganya watu we jamaa, nitakubaliana na wewe kwa upande mmoja tu wa wasanii, ni kweli inawanyonga vibaya, ila kwa watangazaji clouds inawalipa vizuri mno usipotoshe
 

Ha ha Haaa mkuu kweli unamjua.. Huyu ni msela mavi haswaa.. Anatusumbua Sana huku mwananyamala..
 
ila kwa kicheko roho inaniuma sana sababu alishakua na utambulisho wake wa singeri sasa kule amefunikwa kabisa..
kicheko alinifanya nikapenda kipindi cha genge.kuna kipindi alikuwa anaweka nyimbo cha kiingereza anajifanya kutafsiri ahaha fix tupu ilikuwa kicheko balaa
 
Kwani wamehama kwa kulazimishwa?
Hakuna aliyeshikiwa silaha siwaondoke?
 
Ndio kosa wafanyalo hao watu hawataki jijengea jina wao wanataka hela tu
 
Tatizo la clouds wanapenda kuchukua watangazaji mahiri ila wawe kwao,lakini wakishawachukua wanakuwa hawana muda wa hewani wa kuwapa,kwahyo hapo lazima uwe unaua kipaji.
 
Ubabe uko wapi apo sasa alfu kumbuka msemo wa mm hapa mhenga kma huna pesa huna haki
 
Wahenga walisema;

"Kama hauwezi kupambana nao ungana nao"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…