Siyo wakusanya kodi bali ni wezi wa kodi na watoza 10% kwa wanaowalinda kimafia.Wao siyo Wakusanya kodi wala waingie mikataba .Ndiyo maana wanaionya serikali kuwa manaendelea kuifanya Nchi kuwa maskini.
Chakula tuandae sisi halafu tuseme chakula hiki hatuwezi kukila tuwite Watu wengine waje kula. Tumeboresha bandari vizuri sana badala kutafuta Mfanyakazi bora toka duniani kwakuwa wetu mnaona siyo Waaminifu mnaamua kumleta Mtu wa kuturudisha utumwani.
Kumbuka kanisa Linajenga Shule,Vyuo na Hospital na kila Eneo ambalo Mkatoliki kaweka mizizi huduma za Elimu na Afya ipo safi.
Sasa jiulize tu Kwanini Makusanya kodi muingia Mikataba bado anaendelea kufanya Nchi kuwa Maskini.
Ndiyo maana upeo wako wa kufikiri ni Mdogo halafu kesho au kesho kutwa Eti na Wewe ni Mbunge wa Kuteuliwa Upuuzi Mtupu . Punguzo la kodi kwa mambo ya dini wamepewa Imani zote sasa wewe unaagiza nini ndiyo Ujinga wako. Wenzako wanatafuta Ambulance kwa ajili ya hospital wewe unaagiza Maji ya Zamzam,Wenzako Wanaagiza Vitabu vya Elimu pamoja na Mambo ya kisayansi Wewe unaagiza Tende, Wenzako Wanaagiza Dawa za Mahospitali wewe Unaagiza Mafuta ya Mzaituni , Wenzako Wanaomba Viza za Wataalamu Ili Waje Maprofesa na Madaktari Wewe Unaomba Visa za Waganga wa kitabu.Siyo wakusanya kodi bali ni wezi wa kodi na watoza 10% kwa wanaowalinda kimafia.
Hivi unafikiri hatuelewi mambo yanavyokwenda?
Kwaiyo mnawaogopa sio?TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Nilichokiandika hujakielewa au unajifanya hujakielewa.Ndiyo maana upeo wako wa kufikiri ni Mdogo halafu kesho au kesho kutwa Eti na Wewe ni Mbunge wa Kuteuliwa Upuuzi Mtupu . Punguzo la kodi kwa mambo ya dini wamepewa Imani zote sasa wewe unaagiza nini ndiyo Ujinga wako. Wenzako wanatafuta Ambulance kwa ajili ya hospital wewe unaagiza Maji ya Zamzam,Wenzako Wanaagiza Vitabu vya Elimu pamoja na Mambo ya kisayansi Wewe unaagiza Tende, Wenzako Wanaagiza Dawa za Mahospitali wewe Unaagiza Mafuta ya Mzaituni , Wenzako Wanaomba Viza za Wataalamu Ili Waje Maprofesa na Madaktari Wewe Unaomba Visa za Waganga wa kitabu.
Wenzako wakitaka Mtaalamu wa fani fulani Wanamuandaa na kumsomesha kwa viwango Bora wewe unataka Upendeleo tu kisa Mbona kule mmechagua wengi.
Hao Tec wakileta gari linatumika Nchini kwa Shule zetu au Hospital zetu ila Huyo Mwarabu atachukua dola zetu na kupeleka Dubai . Tec wakijenga shule Wanajenga Tz kwa Matumizi ya Watz ila Dp World Wanasomba Utajiri Wanapeleka Dubai. Kaa kimya maana wewe ni Mbumbumbu uliyebebehwa jukumu la Propaganda na huliwezi. Maana kila unachonena tayari PHD(Askofu) walishakujibu.
Huwezi na hautoweza kuwajua hao Wakatoliki mpaka uwe pamoja nao .Halafu hawana muda wa kukujibu Wewe Mbumbumbu.
Nimecheka [emoji1787][emoji1787]Ndiyo maana upeo wako wa kufikiri ni Mdogo halafu kesho au kesho kutwa Eti na Wewe ni Mbunge wa Kuteuliwa Upuuzi Mtupu . Punguzo la kodi kwa mambo ya dini wamepewa Imani zote sasa wewe unaagiza nini ndiyo Ujinga wako. Wenzako wanatafuta Ambulance kwa ajili ya hospital wewe unaagiza Maji ya Zamzam,Wenzako Wanaagiza Vitabu vya Elimu pamoja na Mambo ya kisayansi Wewe unaagiza Tende, Wenzako Wanaagiza Dawa za Mahospitali wewe Unaagiza Mafuta ya Mzaituni , Wenzako Wanaomba Viza za Wataalamu Ili Waje Maprofesa na Madaktari Wewe Unaomba Visa za Waganga wa kitabu.
Wenzako wakitaka Mtaalamu wa fani fulani Wanamuandaa na kumsomesha kwa viwango Bora wewe unataka Upendeleo tu kisa Mbona kule mmechagua wengi.
Hao Tec wakileta gari linatumika Nchini kwa Shule zetu au Hospital zetu ila Huyo Mwarabu atachukua dola zetu na kupeleka Dubai . Tec wakijenga shule Wanajenga Tz kwa Matumizi ya Watz ila Dp World Wanasomba Utajiri Wanapeleka Dubai. Kaa kimya maana wewe ni Mbumbumbu uliyebebehwa jukumu la Propaganda na huliwezi. Maana kila unachonena tayari PHD(Askofu) walishakujibu.
Huwezi na hautoweza kuwajua hao Wakatoliki mpaka uwe pamoja nao .Halafu hawana muda wa kukujibu Wewe Mbumbumbu.
Na kawekwa dawati la peke yake ili ajue kabisa nyaraka zote mbili ni zake, mmoja akampe boss wakeKama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Manake anatakiwa asome waraka huo mara mbili.Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Bunge lilelile waliloridhia kupokonywa gesi ya mtwara? Wewe ni kenge kweliNani anahitaji waraka!?..tuna bunge na mahakama,wao waandaea divai na mikate ya kutosha kwa ajili ya waamini wao
badala ulie na samia anauza bandari kwa wapwa wake waarabu,unashindana na TEC.TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Wakitaka kufikiri vyema kwa ajili ya kupungiza umaskini waislam mnakuja juu na inferiority complexities nyingi.Chukulia suala la bandari.Wamefikiri vyema,wakashauri vyema mkajitokeza mapangoni kupinga.Wangekuwa "wanafikiri vyema" Tanzania isingekuwa masikini wakati watawala ni wao, toka tupate uhuru kila sehemu wamejiweka wao.
Wizi tu ndiyo wanaujuwa "vyema".
Fikra na propaganda mfu hizi.TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mwamba umenikosha saaaaanaaaaaaHome win and both teams to score
Wewe mama haujui kitu, kichwa kikubwa umebeba funza tu yaani haujui madhehebu yote ya dini yana hiyo exceptional ya kuingiza vitu bidhaa zinazohusu maswala ya dini bure,TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Tpdc wanamiliki zaidi ya 25% ya gas ya mtwara,gas Gani tumepokonywa!?Bunge lilelile waliloridhia kupokonywa gesi ya mtwara? Wewe ni kenge kweli
Unaposema zaidi ya 25% unamaanisha nini?Tpdc wanamiliki zaidi ya 25% ya gas ya mtwara,gas Gani tumepokonywa!?
Una elimu Gani?!Unaposema zaidi ya 25% unamaanisha nini?
TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Huyu wa kwenye picha alijipeleka ni kimbelenbele chakeUnapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia