The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,259
- 16,181
Hakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.
Alivyokaa kwa unyenyekevu,kama mtu vile!Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
We tukana tec wakati serikali yako ishaanza kutema bungoTech ni mmbwa kama mbbbwa wengine tuh
Wapumbavu wanavyo tetewa na wenzao
Lifutieni usajili, mnasubiri nini ?TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Hivi hii picha alipigwa akisikiliza waraka?Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Jidanganye hivyo hivyo.Hakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.
Kwani misamaha si ipo kisheria ?TEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Unafikiri wao ni la pili kama ww?Tech ni mmbwa kama mbbbwa wengine tuh
Tupe uthibitisho usio na shakaTEC sio baraza la mambo ya kidini. Hao ni watu wenye mambo ya siri nje ya imani. Wanajua upigaji wao kwenye kupitisha vitu bandarini unafikia mwisho ndo maana wanakazana kupinga. Ogopa kanisa linaloweza kufadhili Civil Wars.
Mwamba unajidanganya sana.Hakuna ubabe hapo, hapo kuna mfa maji haishi kutapatapa, dunia inaondokana na utawala wa siri wa kirumi unaoongozwa na vatikano kupitia kanisa katoliki. Sasa zamu ya wafaransa kupigwa chini kote ulimwenguni wanapokula kodi za watu, zinazoishia kuineemesha vatikano.
Home team win and over 1.5Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]
Wangekuwa "wanafikiri vyema" Tanzania isingekuwa masikini wakati watawala ni wao, toka tupate uhuru kila sehemu wamejiweka wao.Mwamba unajidanganya sana.
Hospital ni zao, Shule Bora ni Zao, Vyuo Bora ni vyao , Watu bora na Wanaofikiri vema ni wao.
Ukitaka kujua hao ni bora hata hao Marais Wakifika baadhi ya Wilaya hulala kwao hula kwao.
Mabadiliko ya sheria inayohusu mali asili za Taifa yamekataliwa kabisa na bunge limetii maelekezo ya TEC . Ebu fikiri tu Watu wenye PHD tena za Sheria na falisafa wamekaa na kutafakari vema uje kushindanisha na wenye certificate za kuunga unga na Wasomi wachache sana Bungeni .
Amka wewe Mbogo Prof Shivji Hana Chama wala si Mwanasiasa naye kakosoa huo Mkataba, Ebu angalia hao Kitenge,Mwijaku na Baba levo kisha angalia upeo wao wa kufikiri fananisha na Taasisi yenye Bongo Moto vile.
Kanisa katoliki ilijimilikisha Watu wenye Upeo Mkubwa wa kufikiri weka mbali na Taasisi zingine .ukimuona Askofu wa kanisa katoliki jua ni PHD ya kusomea siyo ile ya kupewa kwasababu ya Rushwa au Propaganda za kisiasa.
Tatizo liko wapi?Kama kiongozi mkubwa wa mamlaka kisiasa unajengewa mazingira ya kuhudhuria ibada kwa wito wa kiongozi wako wa dini.. Kwakuwa unamheshimu sana unaitikia wito bila shuruti
Unapofika ibadani waraka unasomwa mbele ya waumini wote akiwemo kiongozi mkubwa kisiasa kisha naye anapewa nakala yake anaipokea kwa unyenyekevu na kuiweka upande wake wa kulia
Kiongozi wa dini anamuagiza mtumishi ampelekee tena kiongozi huyo wa kisiasa nakala nyingine, naye bila kubisha inabidi aipokee na kuiweka upande wake wa kushoto
Jumla anakuwa amepewa nakala mbili peke yake! Hivi kitaalam hii inaitwaje?[emoji848][emoji2827]View attachment 2733127
Wao siyo Wakusanya kodi wala waingie mikataba .Ndiyo maana wanaionya serikali kuwa manaendelea kuifanya Nchi kuwa maskini.Wangekuwa "wanafikiri vyema" Tanzania isingekuwa masikini wakati watawala ni wao, toka tupate uhuru kila sehemu wamejiweka wao.
Wizi tu ndiyo wanaujuwa "vyema".