Ubabe hadi Canada? This time you're done

Naibu waziri mmoja alinitamkia kuwa mzee baba huwa ana kuwatukana Wengi wanatamani kumuachia kazi zake wabaki wabunge tuu lakini wanaogopa visasi vyake ukimuaibisha. Anaweza kukupoteza
Be careful usimponze Max kuulizwa Chakaza ni nani, ili uulizwe huyo Naibu Waziri ni nani anayethubutu kutoa siri kuwa fulani ndiye hupoteza watu!, hivyo wapo tuu kwa kuogopa kupotezwa!.

Mimi naamini Mkuu Chakaza wewe utakuwa ni muongo. Hakuna kitu kama hicho
P
 
You cry for freedom of expression while you're freely expressing your opinions,feelings and emotions.What an irony!
 
Bila shaka kama Taifa kuna sehemu tumekosea,Lazima kuna Kundi la watu ndilo linatengeneza hali hii ya Matabaka katika Taifa.Mbona zamani tulikuwa tunaongea lugha moja? Viongozi wetu walikuwa wanahimiza Umoja wa kitaifa,hili Leo hii linafanyika?Mimi huwa najiuliza Leo akiingia adui ndani ya Taifa letu hakuna watu watawaonyesha njia za kupita? Hali hii Leo tunaiona kama utani lakini kesho itatuumiza sana.Maendeleo bila kujenga umoja wa kitaifa Matokeo Yake ndo haya ya wengine kufurahia tunapopatwa na matatizo.UKWELI UTATUWEKA HURU.
 
Uzalendo maana yake ni nini? Kupindisha sheria
 
Unataka kutwambia nyinyi.waandishi.wa.habari.mukiandamana kudai haki.zenu tuwe upande wa Serikali kutii UZALENDO?
 
Uzalendo maana yake ni nini? Kupindisha sheria
Ni kuipenda nchi yako kwa dhati ya moyo wako, hivyo kutanguliza mbele maslahi ya taifa kuliko hata maslahi binafsi.

Kama ilivyo katika ngazi ya familia, Baba wa familia akifanya kosa akatiwa ndani, huwezi kufurahia hata kama ni kweli baba yako ni mkosaji.

Hivyo kwenye hili la ndege, japo ni kweli tunadaiwa, lakini Mtanzania Mzalendo wa kweli wa taifa lake hawezi kufurahia, kushangilia, kubeza na kukejeli ndege ya taifa lake inapokamatwa, hili ni janga la kitaifa.
Huu ni uzalendo wa ajabu


P
 
Hakika!

Mimi naamini mkuu Chakaza Pale ameongopa tu. Hajaongea na naibu waziri yoyote yule
 
Ndugu P.Mayalla ,anza kuonyesha uzalendo wako kwa kutoa mchango ili tuinasue ndege yetu,acha maneno dawa ya deni ni kulipa unachangia sh.ngapi?
 
Kama vipi....Mkulima aachiwe hiyo Ndege then tuhamie Brazil au hata Urusi na China kununua Ndege....

Hata Kama Sheria inaruhusu Ni makosa makubwa Sana kuingilia Mambo ya ndani ya nchi ...... Makosa makubwa Sana......

Deni la Mkulima Ni letu ..... Mcanada anahusika vipi hapo?????
 
NM, kwanini tunakimbilia kuwasema Hawa watu akina ZK , pasipo kuangalia mzizi wa tatizo ulipo?
 
Hao wasomi wangekuwa wanatoa taarifa sahihi wananchi watambue ukweli waweze kuutetea hata kwenye fikra zao ambazo zitawajengea uzalendo nawaza tuu
 
Pascal Mayalla,acha polojo,onyesha uzalendo wako kwa kuchaingi pesa ili ndege yetu tuikomboe,dawa ya deni ni kulipa,unachangia shilingi ngapi ndugu Mayalla.
 
Pascal Mayalla,acha polojo onyesha uzalendo2 wako kwa kuchangia pesa ili ndege yetu tuikomboe,dawa ya deni ni kulipa,ndugu Mayalla unachangia shilingi ngapi?
 
Pascal Mayalla,acha polojo,onyesha uzalendo wako kwa kuchaingi pesa ili ndege yetu tuikomboe,dawa ya deni ni kulipa,unachangia shilingi ngapi ndugu Mayalla.
Mkuu umekuja na hoja nzuri tuu ,

Na Mimi nakazia,

Kwanini WAZALENDO nchini wasiungane kuchanga pesa kwa ajiri ya kuikomboa ndege hii,

WAZALENDO wachange pesa , kunusuru ndege zetu kuendelea kukamatwa na kuzorotesha maendeleo ya shirika letu pendwa la ndege lijulikanalo Kama ATCL,

WAZALENDO tuungane katika kulipa hili Deni...

Kuna Raha ya kutembea mtaani ukiwa hudaiwi . Lakini pale unapo daiwa hata baadhi ya vijiwe hukatizi.

Tunapaswa kulipa hili Deni na siyo kurukaruka ...
 
Huna lolote

Deni lilipwe
 
Of course. Tena OF COURSE in a capital letter.

My father alipotaka kununua freezer lake jipya alinishauri haswa.

So disappointed of you!
All men are not alike, wewe you are lucky to have such a father, many of us are not lucky, we were never consulted kitu chochote kinaponunuliwa home.

Sasa na mimi ni baba kwenye familia yangu I have consulted my kids kwenye manunuzi ya mahitaji ya nyumbani au ununuzi wa vifaa vya nyumbani. The only one I can consult ni wife tena on baadhi tuu ya vitu, vitu vingine ni mimi tuu huamua mwenyewe according to the purchasing power at that particular time.

P
 
Shida ni taifa lina wajinga wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…