Ubabe hadi Canada? This time you're done

Ngoja nikaigongee nyagi hiyo dirimulainaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
What a shithole Pascal? Mnyonge anyongwe kwa maslahi ya nchi? Afe ndege ije au alipwe ndege ije? Shwain!
 


Unaropoka tu, hujui hata ulichoandika ni vema ukakaa kimya
 
Msipolipa madeni Mali za Tz zilizoko nje ya mipaka zitakamatwa kupitia mahakama za huko ziliko, kama njia ya kukazia madai. Pole sana.
 
Umoja wa kumdhulumu mkulima?

Ukweli ni lazima usemwe,rais anaiaibisha nchi kwa kukataa kulipa madeni ya watu hadi ndege zetu zinashikiliwa.
 
Ndiyo Kwa manunuzi ya vitu vikubwa!
Your family is among the lucky ones, watoto wanakuwa consulted kabla ya manunuzi makubwa, many of us were not so lucky, na mimi sasa ni baba ndani ya familia yangu, very unfortunately I don't consult watoto wetu katika manunuzi makubwa, namconsult only mama yao na sio kwenye kila kitu.
P
 
Nisahihi ,sasa Tue kwenye umoja UPI?,Tue kwenye kulipa au Tue kwenye kutokulipa!!!!!,ili ndege irusiwe au mnadhani tukiungana ndomahakama kule itaogopa kwamba watz wameungana wanakuja kutupiga!!!!!!!!tuachie ndege iende
 
Naunga mkono hoja, kitu kama hiki nami nilijisema
P
 
Sure
 
Mtazamo huu ni wa ajabu sana.Haijalishi kabisa kwamba tunanaidaiwa na haijalishi kabisa kwamba serikali ya awamu ya tano imezembea kulipa deni mkuu My Son Drink Water.Katika hili,Watanzania wote letu linatakiwa kuwa moja.Inashangaza sana Mtanzania mwenzetu kushabikia janga kama hili.Something must be seriously wrong with you.
 
Mfano huo unahusiana vp na serikali dhulamati na kandamizi Kama hii ya CCM [emoji239][emoji215][emoji215][emoji239][emoji239][emoji215]?
Mkuu My Son drink water ndege ni ya watanzania si ya ccm ukiona mtu anafurahia ndege yetu kukamatwa ana tofauti na huyo mwanamke aliyetaka mtoto agawanywe vipande viwili ili wakose wote mana alijua hana cha kupoteza.
 
Uzalendo hautakuwepo kama mkubwa aliamua kubaguana ndani ya nchi
 
Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe

Mkuu watu wanaamini uwezo wa kumlipa mkulima kwa awamu bado tunao, ila viongozi wamekaza vichwa ndio maana yanatokea haya.
 
Pale ndege inapokuwa imenunuliwa hotuba za kusifia zote huenda kwa JPM na sera 'nzuri' za CCM. Nadhani hata hili janga la kukamatwa ndenge kwa sababu ya kumdhulumu Boer(mkulima) Stern si la taifa zima, linawahusu hao hao.
Swali, je hatuna pesa ya kulipa deni? Kama pesa ipo tatizo ni nini?
Naanza kuwaelewa wale wanaosema haja yetu(priority) huwa si ndege au kujenga Airline ya Taifa ukizingatia linaendeshwa kwa hasara bali 'muhimu' hapa huwa ni ile ten percent wanayokula 'manyapara' wa nchi kwenye manunuzi ya hizo ndege.
 
Haya ni mawazo yale yale ya kuendelea kupakana matope kwa nia ovu kabisa ya kumfanya JPM aonekane kwamba si chochote wala lolote na kwamba yote anayofanya ni batili. Kama wewe kweli huna nia ovu na una nia njema na nchi yetu, tuwekee hapa ushahidi wa waliochukua 10%.Otherwise uliyosema yote yatakuwa udaku and character assassination.
 
Pascal upo sahihi. Lkn ili kuondoa mgogoro wa namna hii ni heri kulipa hilo deni kama kweli tunadaiwa. Dawa ya deni ni kulipa, kinyume na hapo ni dhulma
 
Don't act naive, ten percent is a norm.
Na ya kusemena hajafanya chochote hiyo imeisema wewe, rudia kusoma nilivyoandika.
Hapakwi matope bali anajipaka mwenyewe, we just listing, analysing and clarifying his evils.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…