My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
mlipeni mkulima dhulumat nyinyi !Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani
Uzalendo hauna uhusiano wowote na wizi au dhulumaJapo ni kweli tunadaiwa, na siku zote dawa ya deni ni kulipa, lakini kukamatwa au kuzuiliwa kwa ndege yetu ni janga kwa taifa letu. Watanzania tunapaswa kuwa wamoja katika hili, kushirikiana na serikali yetu kwa moral support ndege yetu inasuliwe, lakini kunaonekana kama kuna uzalendo wa ajabu wa watu kufurahia na kuliongelea kiushabiki majanga kwa nchi yako.
P
kaa ipi?Kuna baadhi ya mitazamo huondoa credit kwa wapinzani
Hapa hao watenda dhambi, zuluma na wauaji, hapa wamefika mwisho, kule south africa walicheza game, canada NGO, mpaka watalipa huyu kaburu na pamoja na intrest ya hio hela, huyu kaburu sio mjinga hata sekunde moja, watajua hao ccm ya kuwa hawajui, huyu kaburu sio ben saanane au azorymlipeni mkulima dhulumat nyinyi !
View attachment 1270734
Can i hear a big AMEN for our sister eclatEhh Mwenyezi Mungu umtangulie mkulima Stern apate haki yake.🙏🏾
My brother pascall, we were not happy coz of our plane being detained in south africa, no no no, we were happy coz this awamu ya tano thinks that they are clever than even God himself, i can tell you pascal my brother for free, lots of us will be more than happy if God sends this person(you know who i am talking abaut) to hell fire where he RIGHTFULLY BELONGS.
Wakati huu angekuwa analia na kusaga meno; lakini 'wazalendo' wangekuwa wanajipongeza sana kwa kumkomesha.Hii maana yake ni kwamba Stern angekuwa raia wa Tanzania asiye na uwezo wa kukimbilia popote na kujihifadhi angepotea Kama Azory Gwanda au Ben Saanane.
Picha hii ukiisoma, inazungumza kila kitu.
Nilishaandika humu. Huyu shuleni bila shaka alikuwa "Bully" mkubwa sana. Hii sio tabia ya kuokota ukubwani hata kidogo.Hata yule anaekuonea darasani akipata mbabe wake na wewe unafurahi.
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA