Ubabaishaji Kituo cha Ufundi cha Tecno

mwenzangu na mm tehee,haijawah kuzima,nlwah kununua htc nkaigawa,lakin x2-01 siwez mpa mtu ntaitumia mpaka izime yenyewe

Mkuu hii simu mm nmeivulia kofia,,,kwanza inakaa nachaji. Wakati wenye smartphone wakichaji kila lisaa mm nadunda nayo huku nikiendelea kuperuz internet....itaharibika tu kwakweli ila siiachi ng"o
 
Watu tunadunda na Tecno mwaka wa 3 hadi nimeichoka haina shida yoyote
 

pamoja na samsung customer care zao mbovu.nilipereka s5.wakaniambia imengia ktk maji.wwkati si kweli.wakalamba tsh25.ikagoma.wakakataa
 

Attachments

  • Scr000052.jpg
    12.6 KB · Views: 231
  • Scr000054.jpg
    14.3 KB · Views: 205
  • Scr000055.jpg
    15.4 KB · Views: 188
Nokia x2 yangu hii ninayo toka 2012 na bado inapiga mzigo...na ndio ninayo tumia kujidai hapa JF.

Kama hii ninayojidai nao mimi E5 tangu 2011!
 

Attachments

  • Scr000056.jpg
    15.9 KB · Views: 221
Nokia ni habari ingine.
Mimi ninayo N 73 tangu 2005, nabadilisha housing tu, nashindwa kuiacha maana inapiga mzigo bila hofu.
 
Kuna hizi Tecno boom J7 nazo ni nzuri?

Popoma naona siasa zimekushinda umehamia kwenye hii id yako ya chai.
Tupia basi walau chai kidogo maana nimemiss story zako sana.
Au unasemaje Super Gala D?
 
Popoma naona siasa zimekushinda umehamia kwenye hii id yako ya chai.
Tupia basi walau chai kidogo maana nimemiss story zako sana.
Au unasemaje Super Gala D?

Bado nimebanwa sana na kampeni lakini soon nitarejea ulingoni........tengua kauli yako hizo huwa sio chai bwana
 
Mi nimepata kutumia tecno phantom A+ kwa karibia miaka miwili mpaka nilipoichoka na kuigawa kwa ndugu yangu. Ilikuwa poa sana na mpaka sasa ipo hivyo. Niliyempa amebadilisha betri tu wiki iliyopita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…