Uarabuni hamna demokrasia, hamna umaskini

Mtoa mada ametaja kabisa Nchi anazozingumzia Qatar, Oman, Bahrain, Saudi Arabia na UAE wewe umeenda kuongeza Yemen an Afrika Kaskazini. Haya weka na Somalia basi ufurahi maana Wagalatia huoni raha bila kuchomeka maneno ya kero
Kichwa cha habari amesema Arabuni
 
Huu ndo mwisho wako wa kufikiri? Unajua mchango wa Dr. Slaa AKIWA mbunge wa upinzani katika kuibua na kupgia kelele kashfa za EPA na RICHMOND? Hivi unajua hii Escrow bila Kafulila kuishikia bango usingeijua kama unavyoijua leo? Mwisho: Kwa kifupi Sana hemu jaribu kueleza neno demokrasia Lina maana gani?
 
Wapo wapi hao waliopiga "kelele"?
 
Juzi juzi wanawake wa Saudia kwa Kashogi ndo wamepata ruhusa kuendesha magari. Ni afadhali umasikini ukiwa huru kuliko kuwa na mali ila mtumwa wa fikra.
 
tueleze baada ya kuifahamu ESCROW kipi kilifanyika? je yale mabulungutu yaliyoshehenezwa kwenye viroba na sandarusi yalirudishwa?

Richmond tulihabarishwa, enhe bei ya umeme leo ikoje?

saa nyingine kutojua tatizo kwaweza kuwa nafuu kuliko kujua na kujikuta unajifia, kwa, presha.

ref. wagonjwa wa vvu wakishajitambua, hudhoofika mapema
 
Nchi tajwa wanajielewa
 
NGOs za nini wakati wanajitosheleza?
Alafu dharau peleka huko kwenu Lumumba. انت من اهلل ظالمين (س.س.م)
Vipi uliona na NGOs/CSOs kule? Je Chaggema kuna demokrasia?
 
NGOs za nini wakati wanajitosheleza?
Alafu dharau peleka huko kwenu Lumumba. انت من اهلل ظالمين (س.س.م)
Wanajitegema bila "demokrasia". Hiyo ndio nadhan ilikuwa hoja ya mtoa mada. Huwez kudai demokrasia zaidnya miaka 50 na bado NGO kila kona bado ung'ang'anie demokrasia
 
Pia Marekani ni nchi maskini sana sababu kuna demokrasia. Wewe ni idiot
 
Siyo Uarabuni kote, Yemeni, Lebanon, hata Afrika ya Kaskazini kuna Waarabu pia na masikini sana tu.
Ni mfumo mwingine wakiutawala ambao huenda wasomi wanaweza kukitolea machapisho ya kina, Kuna namna walitokea madikteta waliokua na manufaa kwa nchi zao, Joseph Stalin wa Urusi, Mao, Adolh Hitla, Kipenzi changu Muamar Gadafi, Swahiba wa Kweli Mzee wangu Kagame.

Watu hawa Ni viongozi walioamua kuyapeleka mataifa yao kwenye nchi ya ahadi na kwakweli macho yalione.

Kukumbatia demokrasia, isiyo na kichwa wala miguu si Jambo la maana wala lenye tija katika Taifa lenye malengo makubwa.
 
Ok
 
Daah!
 
Point ya kufungia mwaka
 
Wa chama tawala ni wizi tu. Ongelea panda zote mbili. Kwa ujumla siasa kwa Tz ni wizi haijalishi uko upande gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…