Uandishi wa Sheria zetu Tanzania

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,577
19,461
Nadhani wanasheria wa mahakama zetu hufanya kazi ya ziada kusoma na kuzielewa sheria za Tanzania kwani nyingi zimeandikwa kwa kiingereza kibovuambacho kinaweza kuharibu maana ya sheria yote. Nadhani huwa inawafanya wanasheria wazichuje kwa makini kujua malengo yake.

Kwa mfano hii snapshot ya kifungu kimojawapo kwenye sheria ya Uchaguzi, ina makosa ya grammar na punctuation ambayo yanaweza kuifanya isielewa kama ilivyonuiwa. Ningeomba TLS iwe na kitengo cha kuwa kinapitia miswada sheria iliyotayarishwa na serikali kuhakikisha kuwa miswada hiyo imeandikwa vizuri. Inabidi kuwa na ushirikiano wa karibu sana kati ya TLS na serikali kwenye zoezi la uandishi wa sheria zetu.


1598212171326.png
 
Back
Top Bottom