Uandishi huu wa kishamba utaisha lini!!

Uandishi huu wa kishamba utaisha lini!!

Ukinitext hivyo, mawasiliano na mimi usiyategemee kamwe
 
Ukiangalia wanaoandika hivyo vingi ni vile viwanafunzi vya Certificate na Diploma yaani bila kuandika hivyo wanajiona hawajawa wanachuo bado.[/QUOTE
Nafuu yako umefikia phd na kuendelea na huku phd ndio ya mwisho ikute tu unakadegree ila unasumbua wenzako wasinywe maji tusomeshe basi tusiwe na diploma tupande kielimu kazi kujishaua huna lolote .
Unadharau wenzakoo
 
Hata na wewe ni wale wale tu......... urafik= urafiki, hpo = hapo, lingne= lingine, mpenz= mpenzi, wanachat= wanachati, lakin= lakini,wengne=wengine.

Wewe na hao majamaa yako nasema Pumbavu.
 
1. Akili yenu[emoji777] akili zenu[emoji818]
2. Nyie[emoji777] ninyi[emoji818]
3. Ni likijana[emoji777] ni kijana[emoji818]
4. Lingine[emoji777] mwingine[emoji818]
Huu nao si uandishi mzuri.

Ukitaka kukosoa anza kwanza kutoa boriti katika jicho lako ndipo uangalie kibanzi kilicho kwa mwenzio.
Hiv ulikuwa unasoma vitu ambavyo nimeandika!? We unahis mm sijui nilichoandika!??? Naongelea xxx na uhalali wake
 
Mimi nawachukia pia wanaoandika au kusema nyimbo hii badala nyimbo hizi au wimbo huu, siwapendi inafika hatua wakenya wanaandika kiswahili safi kuliko wa tz wakati tunaamini wa Tz ndio wataalamu
 
Hiv nyie ndugu zangu mmesoma shule gan!?
Walimu wenu walikuwaje kwenye hizo shule zenu.???
Mbona mnaongea vizur tu lakn mkiandika sijui akili yenu inakuaje!????
Hapa nawazungumzia nyie ambao mnashndwa kutofautisha X na S katika uandishi..
Utaona mtu anaandika
Xaxa akimaanisha sasa
Xawa akimaanisha sawa
Xpend
Xion
Xna
Xamahan
Xko poa
Xorry
Xante
Xio mimi
Xaa ngap!?
Nmexahau
Nna xhida baby

Hapa utalikuta lingne ni dume lina ndevu zake lakin linajifanya nalo ni likijana la sasa linachat kama punguani
Wengne ni masista duu wanapendeza kweli lakin dah...
Mfano mimi ukinitumia sms ya hivyo tu na urafik wetu unaishia hapo hpo usije kuniambukiza ujinga..
Lingne utakuta yeye na mpenz wake wote wanachat hivyo sasa hapo unategemea mtoto akizaliwa akili yake itakuaje!????

Mwalimu Deo kisandu naomba msaada wako..hawa watu wana matatizo gan!?
Mbona wewe pia umeandika maneno kama dah, sms na hpo? sijui ulikuwa unamaanisha nini? Kuna kiswahili cha kujibia mtihani vile vile kipo kingine kwa ajiri ya kujifurahisha ili mradi anayeandikiwa anaelewa. Hii ni njia mojawapo ya kupunguza wingi wa maneno kwenye meseji .mfano xna=sina hapa umeokoa nafasi moja.
 
Mimi bado natafuta maana ya hii: 6k
 
Back
Top Bottom