Uandishi huu wa kishamba utaisha lini!!

Uandishi huu wa kishamba utaisha lini!!

Pengine bado wanafunzi hao. Wakikua watabadilika.humu kuna rika mbali mbali .Au pengine wanaona bila kufanya hivyo swaga inapotea.ila mtu kama huyo akiambiwa aandike cv yake sijuisijui inakuwaje. Au kwenye mitihani huwa hawajisahau?
 
Hiv nyie ndugu zangu mmesoma shule gan!?
Walimu wenu walikuwaje kwenye hizo shule zenu.???
Mbona mnaongea vizurv tu lakn mkiandika sijui akili yenu inakuaje!????
Hapa nawazungumzia nyie ambao mnashndwa kutofautisha X na S katika uandishi..
Utaona mtu anaandika
Xaxa akimaanisha sasa
Xawa akimaanisha sawa
Xpend
Xion
Xna
Xamahan
Xko poa
Xorry
Xante
Xio mimi
Xaa ngap!?
Nmexahau
Nna xhida baby

Hapa utalikuta lingne ni dume lina ndevu zake lakin linajifanya nalo ni likijana la sasa linachat kama punguani
Wengne ni masista duu wanapendeza kweli lakin dah...
Mfano mimi ukinitumia sms ya hivyo tu na urafik wetu unaishia hapo hpo usije kuniambukiza ujinga..
Lingne utakuta yeye na mpenz wake wote wanachat hivyo sasa hapo unategemea mtoto akizaliwa akili yake itakuaje!????

Mwalimu Deo kisandu naomba msaada wako..hawa watu wana matatizo gan!?
Hata wewe pia unatakiwa ujifunze kuandika kiswahili fasaha,acha kuandika kama vile unakimbizwa.
 
Huwa sijishughulishi kujibu meseji za hivyo na futa tu
 
Na kuna wale mda wote anakutext!!! Asubuhi njema,mchana mwema,usiku mwema(kwa kila siku) Hii nayo imekaaje! mtu unafungua text vizuri unajua text ya mchongo unakuta mambo izo.
 
Ukiangalia wanaoandika hivyo vingi ni vile viwanafunzi vya Certificate na Diploma yaani bila kuandika hivyo wanajiona hawajawa wanachuo bado.
Nina classmate wangu(nilisoma nae Olevel),ana shahada ya sheria kwa sasa na huo ndio uandishi wake.
Ninachokiona hapo ni ulimbukeni waonekane ni wa kisasa(huyu jamaa yangu ni wa "bush" huko)
 
Hiv nyie ndugu zangu mmesoma shule gan!?
Walimu wenu walikuwaje kwenye hizo shule zenu.???
Mbona mnaongea vizur tu lakn mkiandika sijui akili yenu inakuaje!????
Hapa nawazungumzia nyie ambao mnashndwa kutofautisha X na S katika uandishi..
Utaona mtu anaandika
Xaxa akimaanisha sasa
Xawa akimaanisha sawa
Xpend
Xion
Xna
Xamahan
Xko poa
Xorry
Xante
Xio mimi
Xaa ngap!?
Nmexahau
Nna xhida baby

Hapa utalikuta lingne ni dume lina ndevu zake lakin linajifanya nalo ni likijana la sasa linachat kama punguani
Wengne ni masista duu wanapendeza kweli lakin dah...
Mfano mimi ukinitumia sms ya hivyo tu na urafik wetu unaishia hapo hpo usije kuniambukiza ujinga..
Lingne utakuta yeye na mpenz wake wote wanachat hivyo sasa hapo unategemea mtoto akizaliwa akili yake itakuaje!????

Mwalimu Deo kisandu naomba msaada wako..hawa watu wana matatizo gan!?
Mbona wewe unatembea na wanafunzi lkn sisi hatusemi ? Unafikiri mkeo hajui ?
 
Siyo kwamba hawajui kuandika bali ni swagger hizo we ndiyo mshamba sasa....[emoji23]

In English.

When - wen
That - dat
Who - whu
Why - Y
Mum / mom - momma
Tupac shakur - pac man
Just - jus
Girlfriend - gf
Boyfriend - bf
Pussy / vagina - pssy
Been - bn
Okay - k / oky / ok

In Swahili.
Sasa - xx
Sawa - xw / sw
Wewe - ww / weye
Vipi - vp / vepe
Poa - p / poer / pw
Sijui - cjui
Chakula - chkl
[emoji23] [emoji14]
 
Hiv nyie ndugu zangu mmesoma shule gan!?
Walimu wenu walikuwaje kwenye hizo shule zenu.???
Mbona mnaongea vizur tu lakn mkiandika sijui akili yenu inakuaje!????
Hapa nawazungumzia nyie ambao mnashndwa kutofautisha X na S katika uandishi..
Utaona mtu anaandika
Xaxa akimaanisha sasa
Xawa akimaanisha sawa
Xpend
Xion
Xna
Xamahan
Xko poa
Xorry
Xante
Xio mimi
Xaa ngap!?
Nmexahau
Nna xhida baby

Hapa utalikuta lingne ni dume lina ndevu zake lakin linajifanya nalo ni likijana la sasa linachat kama punguani
Wengne ni masista duu wanapendeza kweli lakin dah...
Mfano mimi ukinitumia sms ya hivyo tu na urafik wetu unaishia hapo hpo usije kuniambukiza ujinga..
Lingne utakuta yeye na mpenz wake wote wanachat hivyo sasa hapo unategemea mtoto akizaliwa akili yake itakuaje!????

Mwalimu Deo kisandu naomba msaada wako..hawa watu wana matatizo gan!?
Wewe mwenyewe majanga matupu!

Lakn=lakini
Hpo=hapo
Lingne=lingine
Urafik=urafiki
Itakuaje=itakuwaje
Mpenz=mpenzi
Mnashndwa=mnashindwa

Wewe pia unahitaji msaada wa Mwalimu Deo Kisandu!
 
Ukiona dume limebadilishwa akili hadi limeanza kuandika hivyo, tambua unaweza kumbadilisha pia matumizi ya sehemu ya haja kubwa na kuitumia kuingizia vitu vyenye ncha kali ndani yake.

Utoto tu unawasumbua.
 
Haya ni manjonjo yaliyopitwa na wakati,
Unaweza kudhani kwa kuandika hivi utakua unaonekana Mjanja sana lakini ki uhakika wewe status yako itakua ni vile vivulana ambavyo ni kula kulala bure, havijabalehe bado na kama hakai Nyumbani kwao basi anaishi alipoolewa dada yake.
 
Na kuna wale mda wote anakutext!!! Asubuhi njema,mchana mwema,usiku mwema(kwa kila siku) Hii nayo imekaaje! mtu unafungua text vizuri unajua text ya mchongo unakuta mambo izo.
Hii haina shida
 
Hiv nyie ndugu zangu mmesoma shule gan!?
Walimu wenu walikuwaje kwenye hizo shule zenu.???
Mbona mnaongea vizur tu lakn mkiandika sijui akili yenu inakuaje!????
Hapa nawazungumzia nyie ambao mnashndwa kutofautisha X na S katika uandishi..
Utaona mtu anaandika
Xaxa akimaanisha sasa
Xawa akimaanisha sawa
Xpend
Xion
Xna
Xamahan
Xko poa
Xorry
Xante
Xio mimi
Xaa ngap!?
Nmexahau
Nna xhida baby

Hapa utalikuta lingne ni dume lina ndevu zake lakin linajifanya nalo ni likijana la sasa linachat kama punguani
Wengne ni masista duu wanapendeza kweli lakin dah...
Mfano mimi ukinitumia sms ya hivyo tu na urafik wetu unaishia hapo hpo usije kuniambukiza ujinga..
Lingne utakuta yeye na mpenz wake wote wanachat hivyo sasa hapo unategemea mtoto akizaliwa akili yake itakuaje!????

Mwalimu Deo kisandu naomba msaada wako..hawa watu wana matatizo gan!?
au mtu unajitutumua kumuandikia message nzuri kabisa, alafu unjibiwa, "k" inakera kwakweli.
 
Nina classmate wangu(nilisoma nae Olevel),ana shahada ya sheria kwa sasa na huo ndio uandishi wake.
Ninachokiona hapo ni ulimbukeni waonekane ni wa kisasa(huyu jamaa yangu ni wa "bush" huko)
Hahaaaa. Duuh.

Huyo hawezi badilika tena aisee.
 
Back
Top Bottom