Uandishi huu wa kishamba utaisha lini!!

Uandishi huu wa kishamba utaisha lini!!

au mtu unajitutumua kumuandikia message nzuri kabisa, alafu unjibiwa, "k" inakera kwakweli.
Unawacheka wenzako na ww ni wale wale tu.
Alafu ndiyo neno gani? Hapo haujaandika H hata ukiambiwa andika neno ''hela'' utaandika ela. Ubadilike ndugu. Unaharibu lugha yetu ya Kiswahili.
 
1. Akili yenu[emoji777] akili zenu[emoji818]
2. Nyie[emoji777] ninyi[emoji818]
3. Ni likijana[emoji777] ni kijana[emoji818]
4. Lingine[emoji777] mwingine[emoji818]
Huu nao si uandishi mzuri.

Ukitaka kukosoa anza kwanza kutoa boriti katika jicho lako ndipo uangalie kibanzi kilicho kwa mwenzio.
 
Bora awe manzi sasa [emoji2] unakuta ni kidume hicho.
Kidume sio poa. Hii inaweza kutumiwa na manzi kumjengea mwanaume mazingira ya mtongozo au mwanaume kwa manzi Ku"fake" kuwa anajali ili apewe kigegedwa.
 
Back
Top Bottom