LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,110
Upo uwezekano mkubwa wataalamu wetu wamepika takwimu za wqnafunzi tarajiwa ili wapige hela ya elimu bure.Nakumbuka huko nyuma hii tqbia iligunduliwa na serikali.ikumbukwe kuwa shule zinawekewa fedha kulingana na idadi ya wanafunzi wanaosoma. Serikali imetumia takwimu hizi ikajenga maelfu ya madarasa huko vijijini kutumia fedha ya mkopo wa uviko ambayo inasikitisha yatakuwa hayana wanafunzi!!Rais alitamka enrollment ya watoto ni chini ya asilimia 50 na bado wiki mbili shule zifunguliwe.