Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

kata ya ada estate kinondon usail umefanyika jmos bila hata kutoa taarifa!ingetakiwa kwenye barua waandike kataa flan majina yatatoka siku flan sasa mtu umepeleka ijumaa afu jumamosi usail wenu bila hata taarifa tanzania kamwe hatutoendelea coz we are not systematically
 
Ndo nimetoka Manispaa sasa hv...
Jina langu halipo kwenye majina teule pale kwenye Kontena. So sina cha kuongeza zaidi!
 
Ndo nimetoka Manispaa sasa hv...
Jina langu halipo kwenye majina teule pale kwenye Kontena. So sina cha kuongeza zaidi!

Pole mkuu. Bora yako uliejua umekosa na unaweza kufanya mengine kwa uhuru ila sisi bado viroho juu wa ilala mpaka sasa sijui kinachoendelea tangu nilipopeleka barua
 
Pole mkuu. Bora yako uliejua umekosa na unaweza kufanya mengine kwa uhuru ila sisi bado viroho juu wa ilala mpaka sasa sijui kinachoendelea tangu nilipopeleka barua

Cha msingi fuatilia mbao za matangazo za wilayani! La sivyo utajikuta watu washamaliza yao… maana nchi hii urasimu ndo kwao!
 
Jamani waloenda jana kwenye usaili jimbo LA Ubungo pale kinondoni watudokeze wamesemaje juu ya wale watakaokuwa wameteuliwa jme ndaraja makofia ibra2013
 
Last edited by a moderator:
Nimetoka kuangalia majina pale Kinondoni. Wamesema ni mpaka Tume itangaze ratiba ya uandikishaji. Ila pia wamesema kati ya leo na kesho, majina yayawekwa kwenye Kata uliyoomba.

Nimepita pale kata ya Mzimuni, Manzese na Mabibo. Tangazo nimelikuta Mabibo na linafanana na nilichoambiwa pale Manispaa ya Kinondoni.

Nashauri kuanzia kesho muwe mnapita kwenye Ofisi za Kata zenu. Lolote linaweza kutokea kuanzia sasa...
 
Kwa maana hiyo ni ndani ya week Hii tu mambo yote yatakuwa tayari kijana
Kuhusu majina na seminar pia Daraja Makofia
 
Last edited by a moderator:
Jamani mimi nimeomba kata ya makumbusho jimbo la kinondoni,cha kushangaza jina langu halipo kwa walioitwa kwenye usaili.Na nilivyo kwenda kwenye usaili jmosi kata nyingine kama ya hananasifu waliofanya usaili walikuwa wachache kuliko wanaohitajika wakati wa makumbusho walikua wengi mpaka wengine tumekosa nafasi.
Cha kushangaza kata nyingine kama ya tandale wale ambao majina yao hayakuwepo kwa wanaotakiwa kufanya usaili lakini wamekwenda na vyeti original waliruhusiwa kufanya usaili lakini wamakumbusho wenye vyeti original hatukufanya usaili tumeandikwa majina kwa wenye vyeti tukaambiwa watatuweka kwenye kata nyingine zenye upungufu wa watu.
SASA JE HAYO MAJINA YAKIBANDIKWA TUKAANGALIE KWENYE OFISI ZA KATA YA MAKUMBUSHO AU TUKAANGALIE WAPI?KWA MANA WAMESEMA WATATUWEKA KWENYE KATA YEYOTE ILE YENYE UPUNGUFU WA WATU

MSAADA WENU KWA WENYE KUJUA TAFADHALI MANA TULIVYO WAULIZA WALIKUA BUSSY SANA HAWAKUTUPA MAJIBU YENYE KURIDHISHA WAMESEMA MUDA WAO WA KAZI UMEKWISHA KWA SIKU ILE
 
kwa maana hiyo ni ndani ya week hii tu mambo yote yatakuwa tayari kijana
kuhusu majina na seminar pia daraja makofia
jumatatu kata zote majina yanabandikwa na training inaanza jumanne mpk ijumaa kazi inaanza tarehe 4. Km hujaelewa 0717 927771
 
Last edited by a moderator:
Ndio ni kwenye Kata yenu ya makumbusho ndo unapaswa Kwenda kutizama jina lako
Siku ni jumatatu ndo wanabandika Rahma Nyusi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom