Nasakadoo
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 343
- 169
Leo Jumatatu ni Usaili kwa upande wa Jimbo la Kawe
kesho ni sisi upande wa jimbo la Ubungo.
Huitwi kwa simu maana niliona tangazo linasema kwa aliyeomba aje kufanya usaili siku husika.
sasa je,kama huna cheti cha computer lakini unajua kutumia computer na programmes zake,vipi watakubali kukusaili? Au wanaangalia cheti kuliko uwezo.
Na je,kama hutaki kuwa Bvr kit operator bali unataka uwe mwandishi msaidizi bado wanahitaji kuku saili kwa computer?
Msaada tutani