Uamuzi wa rufaa ya michael wambura

Uamuzi wa rufaa ya michael wambura

Kivipi Ulimakafu. TFF na wanachma wake 44 tuna Katiba zinazotuongoza.Katiba hizi ndizo zimezaa kanuni za chaguzi zetu.Kanuni za uchaguzi za wanachama wetu ziko wazi asiyeridhika na maamuzi ya kamati ya uchaguzi ya klabu/chama chake analeta rufaa yake TFF na kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF ndio inasikiliza rufaa hizi. Huu ndio utaratibu ambao kwa mujibu wa taratibu zetu (structures) ambazo tumejiwekea tunaufuata. Sasa hapa kulindana kunatoka wapi wakati taratibu zimefuatwa to the latter?
Mkuu, taratibu haziishii kwenye kukata rufaa yenyewe tu, lakini kwenye mchakato mzima wa kuijadili rufaa husika na kuitolea maamuzi. Unaposikia maamuzi yamefikiwa kwa kupigiwa kura, kuna haja gani basi ya kuingia gharama, wakati kura zingeweza kupigwa hata na sisi Wana-JF humu jamvini? Ndio utaratibu huo? Na kwa nini ichukue siku tatu nzima kufikia maamuzi yenyewe? Ndio utaratibu huo?
 
Kivipi Ulimakafu. TFF na wanachma wake 44 tuna Katiba zinazotuongoza.Katiba hizi ndizo zimezaa kanuni za chaguzi zetu.Kanuni za uchaguzi za wanachama wetu ziko wazi asiyeridhika na maamuzi ya kamati ya uchaguzi ya klabu/chama chake analeta rufaa yake TFF na kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF ndio inasikiliza rufaa hizi. Huu ndio utaratibu ambao kwa mujibu wa taratibu zetu (structures) ambazo tumejiwekea tunaufuata. Sasa hapa kulindana kunatoka wapi wakati taratibu zimefuatwa to the latter?
Tatizo la watanzania wengi tunaendeshwa na hisia binafsi na sio sheria/kanuni zilizopo.Hivyo mambo yakienda tofauti na hisia zake ndio haya maamuzi yamempendelea mtu!!kuhusu suala la wambura ametumia haki yake ya kutafuta haki kwa chombo cha juu,na ndio nilikuwa nashangaa una mkuta mtu tena ni msomi wa level ya PhD anasema hata akienda huko haitasaidia!!lasivyo tutakwenda FIFA!!hapa wala sio makosa ya mhusika anachukiwa mtu binafsi,nadhani hata wewe ni muhanga wa michezo hii,Hongera sana kamati ta rufaa ya Tff mmeonyesha kuwa sasa kile kipindi cha fitina kimekwisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom