Uamuzi wa kuishi pamoja: Je ni sahihi mwanaume au mwanamke kuhamia kwa mwenzake....?

if i was a man kwenye hiyo situation,kwanza ningejitahidi niwezavyo na mimi nimiliki nyumba yangu,kuhamia kwa mpenzi wako ki-afrika,kwanza utakuwa umepoteza hadhi yako,men are supposed to rule,ukiwa nyumbani kwa msichana atakucontrol sana,utashindwa kufanya mambo yako,pili sitakuwa huru kuleta ndugu zangu wa karibu kuja kunitembelea,maana wataona naishi katika maadili mabaya,ya kuishi na mwanamke kabla ya ndoa,hivyo nitashusha status yangu katika familia yangu..
kwa mawazo yangu,kufunga ndoa hakuhitaji fedha nyingi sana mpaka niache kupanga huko niliko ili kukusanya fedha,kama sina uwezo nitaomba ndugu zangu wa karibu wanisaidie,na itakuwa simple tu,only close relatives and few friends,wengine mtaisikilizia kwenye bomba,,,ebwana snochet alioaga...

kwa mtazamo wangu naona sio sahihi kuhamia kwa msichana,na yeye asihamie kwangu kabla hatujafunga ndoa,labda niishi karibu na kwake ili tuweze kuonana mara kwa mara na labda kupunguza gharama za msosi.
 
Sitafuti, kama wanawake wanavyowahitaji wanamme, na wanamme wanawahitaji wanawake hivyo hivyo.Why should I suffer kuwatafuta???
it's not suffering mama, mwanaume wa ukweli tena wa kiafrika hawezi kuhamia kwako unless ni serengeti boy au low self esteem. male pride inatuzuia kufanya hivyo. kama wote ngangari basi mnaweza kununua nyumba mpya jointly halafu za kwenu mkapangisha vinginevyo you will be looking for a needle in a hay stack
 
Pia kuna uwezekano mkubwa mkajisahau kabisa na hiyo ndo msije kufunga na mkaishia kuibariki tena kwa shinikizo...

Halafu na sie huwa tunapenda makomplikesheni..Hivi kufunga ndoa lazima kuwe na matarumbeta na uvae shela?Si mnaenda tu watu 4 na ndoa inafungwa na maisha yanaendelea????Tatizo huwa tunapenda kufanya mambo ambayo watu wanataka na sio sisi tunataka..

hahaha watu wanne...dah my daughter sasa hapo its a bit too much. my daughter, am sure utakubaliana na mie kuwa hiyo ni siku kuhimu maishani kwa hao wausika wawili na hivyo basi ni vyema mkajumuika na wanafamilia na friends kufuharia. jambo la muhimu ni kuhakikisha kuwa unafanya function within ur means.
 
Kuwa mwanamme wa kiafrika ni pamoja na kuwa reasonable kwa manufaa ya familia

Serengeti anapenda unafuu tu, mwanamme itakuwa ni chalenji kwake, ajipange ili ajenge yake tuhamie huko

Haya hatuna hela ya kununua nyumba nyingine lol
it's not suffering mama, mwanaume wa ukweli tena wa kiafrika hawezi kuhamia kwako unless ni serengeti boy au low self esteem. male pride inatuzuia kufanya hivyo. kama wote ngangari basi mnaweza kununua nyumba mpya jointly halafu za kwenu mkapangisha vinginevyo you will be looking for a needle in a hay stack
 
kwa mwanaume inatakiwa mwanamke ahamie kwako
nyumba yake apangishe
pesa muingize kwenye matumizi mengine

Hahahaaa! Acha ukoloni, sasa kama nyumba huna je? Na yeye anayo tena kinondoni ada estate pale.? inakuwaje hapo?
 
ada estate tunapangisha laki tano kwa mwezi
halafu tunapanga ya laki tatu kwa mwezi...kimara
mimi nikiwa baba mwenye nyumba in charge lol

Bosi unazalilisha ada estate, laki 5 ni bei za sinza bwana, ada estate mpangishe kwa usd, kama tsh sio chini ya m 1 kwa mwezi....

Nyumba za urithi pande hizo mbona zinaletaga mgogoro sana... As soko lake zuri
 
Ni kweli malezi ndio jibu...

Ukiwa umelelewa kwa mila za Kiafrika sidhani kama ni heshima kujipeleka kwa mwanaume bila ndoa;

Najua kuna watu wanatoka familia zenye nidhamu na wanafanya hivi...ila nachojua for sure wazazi wanaumia sana mtoto wao kuishi na mwanaume kinyemela.

Kuna wengine nishaona wanalialia ooh tulikuwa tunachanga tumejenga ameniacha kaenda kuoa kwao...mnachanga mumeo?

Kuna kosa gani kwenda kuoa wakati wewe hukuwa na makaratasi (ndoa)?

inategemea na malezi
 
Mnavyolilia ndoa nyie....eh...!
 
Sioni kulilia ndoa na hili vina uhusiano gani...

Maana hata kama mtu unapenda ndoa...unadhani ukijipeleka ndio chance ya kuolewa inaongezeka???Ndio kwanza inashuka..kama una weza nunua maziwa kwa nini ufuge ng'ombe?

Ila nimeangalia mafunzi ya dini (zote iwe kiislamu au kikristu) pamoja na mila ni ukosefu wa nidhamu kukaa na binti wa watu au kuamia kwa mwanaume kinyemela..

Hilo la kuibia ibia linaweza vumilika...lakini mkiishi pamoja kitakachofuata ni kuzaa watoto nje ya ndoa...na watoto wenu watazaa nje ya ndoa...na wajukuu watazaa nje ya ndoa...Lol.

Mimi ni conservative...mnisamehe bure...naamini mafundisho ya dini na mila sana...

Mnavyolilia ndoa nyie....eh...!
 
Kuna kijana tulisoma nae anaishi nje na girlfriend wake wa tokea secondary...

Kila mtu anawasikitikia kwani wanaishi ki partner na wamejenga wote Tz....binti ameshakuwa desparate maana miaka inaenda anatamani ndoa jamaa kauchuna tu....na wako more than 36 years...sijuhi jamaa anasubiri nini...nina wasiwasi anataka kumtema ila inakuwa ngumu gia atakayotumia...

Utaishije na mwanaume bana..???? Ni kuwekeana viwingu tu...
 
hivi ndoa inakamilika wakati gani hasa? mahali inapotolewa au mkishatoka kanisani na msikitini? mana huwa najiuliza sipati jibu, mana kwa wakristo biblia inasema utamwacha baba na mama yako utaambatana na mumeo.
 
Mimi siipendi sana hii style ya kuhamia kwa mtu kabla ya ndoa, haijalishi mmeamia kwa nani, ila tukatae tukubali hii ndo style ya siku hizi. vijana wengi sana wanaitumia hii.
kuhusu swala la kuhamia kwa nani, mimi nadhani haijalishi mtahamia kwa nani, lakini kwa vijana wengi wa kiafrika hawatakubali kuhamia kwa mdada, na hasa kama ile nyumba ya mdada ni yake, wanajiona hawatakuwa na sauti sababu wanakaa kwa mwanamke.
 
Sioni kulilia ndoa na hili vina uhusiano gani...

Maana hata kama mtu unapenda ndoa...unadhani ukijipeleka ndio chance ya kuolewa inaongezeka???Ndio kwanza inashuka..kama una weza nunua maziwa kwa nini ufuge ng'ombe?

Ila nimeangalia mafunzi ya dini (zote iwe kiislamu au kikristu) pamoja na mila ni ukosefu wa nidhamu kukaa na binti wa watu au kuamia kwa mwanaume kinyemela..

Hilo la kuibia ibia linaweza vumilika...lakini mkiishi pamoja kitakachofuata ni kuzaa watoto nje ya ndoa...na watoto wenu watazaa nje ya ndoa...na wajukuu watazaa nje ya ndoa...Lol.

Mimi ni conservative...mnisamehe bure...naamini mafundisho ya dini na mila sana...

Nashukuru mie mpagani kwetu hatuna mambo ya ndoa, ukilipa mahari unachukua chako na kusepa.....LOL
Hizi ndoa zenu za suiku hizi zimekuwakama maigizo, kuna watu wanaishi buila ndoa hadi miaka kumi na wako peace, na ndio maana Makanisa ili kuogopa kupoteza waumini wakaanzisha utaratibu w akubariki ndoa..... Hii yote ni politiki tu, mtu kazimi miaka chungu mzima na ushahidi upo leo zee zima eti linabariki ndoa... WASHIIIINDWE KWA JINA LA ALIYE JUU....
 
Suala la kuishi pamoja kabla ya ndoa si sahihi haijalishi unaishi kwa mwanaume au mwanamke.
Lakini kuishi pamoja baada ya ndoa kwa mwanaume kujimuvuzisha kwa mwanamke binafsi sioni tatizo lolote as long as hiyo nyumba huyo bi shost alikua akiishi alone.
masharobaro utawajua tu kwa mawazo yao.., mnapenda shortcut sana. mie sikubaliani na wew kabisa. hata kama sina nyumba, siwez kuish kwenye nyumba ya mwanamke.., tutapanga na nyumba yake atajua mwenyewe. akitaka apangishe au aweke mtu, lakin lazima ahamie kwangu... huo ndo msimamo wangu..always.
 
Kongosho imagine unaacha jiko lako say la mita 4x6 halafu mnaenda kuishi kwenye nyumba ya kupanga yenye jiko kama la kwangu 2x3, kisa ego ya mwanaume.

Mume wa niece wangu kahamia kwenye nyumba ya dada yangu baada ya my sis kufariki; n l don't look down on him. Sikuona sababu ya wao wapoteze their hard erned money kisa, eti tuipangishe. Na he moved in hata kabla ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:
Kuchukuana bla ndoa haitakiwi kila mmoja abaki kwake tu hd muoane.
Baada ya hapo ss mwanamke ni lazima aje ninapoishi mm haijalishi anamiliki nyumba ya aina gani,ni aibu kwa mm kuishi kwenye nyumba ya mwanamke!..
 
Mtambuzi, mie kwa upande wangu sitokaa nihamie kwa mwanaume kabla ya ndoa. never happen. nina mfano mmoja.dada fulani alihamia kwa mwanaume kabla ndoa, hatimaye akashika mimba ya kwanza bila ndoa,ya pili na hatimaye ya tatu bila ndoa. mwisho wa siku mdada aliambiwa ni"ondoka nataka kufunga ndoa na mchumba wangu" fikiria maumivu aliyoyapata huyu dada! kuna mwingine jiran yangu, wameishi bila ndoa more than three year mpaka leo hakuna dalili ya ndoa na mwanaume anakiri hatomuna yule dada! TO ME NEVER HAPPE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom