Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 508
- 703
Kwa hiyo umehitimisha kwa huyo mwanamke mmoja tu wa kiislam sioKuna Binti wa kiislamu anafunika uso na mwili safi kabisa na kaolewa,,, alikuwa anapenda kwenda kununua nyama kwenye bucha la jamaa angu mmoja hivi mitaa Fulani jijini daslamu.... Siku moja bana jamaa akamtongoza Binti hakubisha wala nini kiroho safi jamaa akaenda Nae guest kamuweeeka!!! Kwanzia asubuhi jamaa tumemshikia bucha hadi mida yaa saa 10 jioni wanatoka... Ikawa mtindo wao, tukaona sio vizuri tukamwambia jamaa etu aache hiyo tabia ni mke wa mtu na pia ana watoto ingekuwa ndo mkewe angejisikiaje? Jamaa akabisha tukamwambia tunakukataa sisi, ndo jamaa akaogopa akaachana Nae....
Itoshe tu kusema hofu ya kweli ya Mungu ndo itamuepusha mtu kufanya mabalaa sio uisilamu na kuvaa majuba au kuwa tu mkristo
Zamani tulikuwa na boss mwanamke....alikuwa ni mkali balaa......wote tulikuwa tunamuogopa sana sana...siku hiyo sikuamini tumesafiri nae kikazi........(duuh kumbe chui ni mkali lakini anazaa)......Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men.
Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote Hapana walienda pale kwasababu ya adventure tu.
Kuanzia binti wa prezda, wake 20 wa mawaziri na wengine wengi walitoka kwenye nyumba zenye utajiri na Kila kitu kilichojitosheleza.
Wanaume/wanawake wa naweza kuamua kucheat na mwanaume/mwanamke yeyote mwingine atakayeamua bila kujali elimu, nafasi yake katika Jamii, dini , cheo nafasi ya kifedha.
Hakuna akili ya ziada, principle au chochote kile kinachoweza kumzuia mwanamke/mwanaume kucheat labda kama binafsi hajataka au hajaamua tu.
Huwezi kumzuia asicheat, huwezi kumtisha asicheat, huwezi kuwahi mbele ya mipango yake ya kucheat na pia huwezi kupata mwanamke mwenye uwezekano mdogo kabisa wa kucheat hiyo ni probability.
Hii trendy pia imetufundisha kwamba wanawake wengi wanacheat na wanaume wao siyo rahisi kujua, kugundua au kuhisi.
Mwanamke wako anaweza akawa ofisin anayola na boss wake, mfanyakazi mwenzie, nurse anatoka na dokta, mfanyabiashara anatoka na mteja wake, mwalimu na mwalim mwenzie, n.k
Chakufanya kwa wakati huu ni kucheza/kukaa katika nafasi yako kikamilifua na kutumaini kwamba ana sense ya kujithamini (self worth ) kwasababu maamuzi ya kucheat yapo mikononi mwake.
Exactly this is why loyal women needs their flowers.
Class dismissed, no offense I beg to submit.
Sisi ndio waswahili....Imeshakua nongwa.
Kitambo naanza mahusiano nilikuwa wa design hiyo,, najibaana, nampa pesa ya kutosha namnunulia nguo mara kwa mara,, siku moja nikamfuma Yupo na kijamaa afu namna wilivyovaa na pozi walizo Kaa,,, kuondoa aibu jamaa akazuga kama kaleta kitu pale mara kamkubwa nimeleta mzigo huu,,, sikujibu kitu akajiondokea,, akili ikaniambia chukua simu sms nilizo Kuta,, ikabidi nimuulize.... Anajikanyaga... Namuuliza unakosa nini? Majibu hayaeleweki mwisho wa siku kaomba msamaha eti arudii tena.... Toka hapo nikapunguza kihele mswede chakujifanya najaali... Akawa hapati kitu, Maajabu nilivyo Anza Roho mbaya ndo akatulia..... Badae nikaona nimpotezee tu ila alinifunza jinsi ya kuishi mwanamke na kujipanga namna ya kulea endapo nimepata mtoto wa kikeTeh, nawashangaaga sana wanaume wanaojibana kuhudumia sana mwanamke eti ili asipate vishawishi akaenda kumchiti kwa mwanaume mwingine.
Mlioyaona kwa Baltazar ndo tabia halisi ya mwanamke, akiamua atachiti tu hata umpe mbingu na nchi
Hebu tueleze kwa kina .. kwa nini useme chuo anazaa?Zamani tulikuwa na boss mwanamke....alikuwa ni mkali balaa......wote tulikuwa tunamuogopa sana sana...siku hiyo sikuamini tumesafiri nae kikazi........(duuh kumbe chui ni mkali lakini anazaa)......
Braza hiyo ni sampo tu,,, wapo wengi wanatafunwa na majuba yao,, hata wake wa masheikh/Imam wengi tu wanatafunwa sema ndo hivyo tu tunafichiana aibuKwa hiyo umehitimisha kwa huyo mwanamke mmoja tu wa kiislam sio
😁😁 mkuu malizia story aiseeZamani tulikuwa na boss mwanamke....alikuwa ni mkali balaa......wote tulikuwa tunamuogopa sana sana...siku hiyo sikuamini tumesafiri nae kikazi........(duuh kumbe chui ni mkali lakini anazaa)......
Hiyo ni individual case, haina uhusiano na mafundisho ya Dini ya Uislamu kila jamii kuna wahalifu wanao enda kinyume na mafundisho ya dini zao......tuache kutoa tabia za mtu binafsi kuahakilisha dini zima.Kuna Binti wa kiislamu anafunika uso na mwili safi kabisa na kaolewa,,, alikuwa anapenda kwenda kununua nyama kwenye bucha la jamaa angu mmoja hivi mitaa Fulani jijini daslamu.... Siku moja bana jamaa akamtongoza Binti hakubisha wala nini kiroho safi jamaa akaenda Nae guest kamuweeeka!!! Kwanzia asubuhi jamaa tumemshikia bucha hadi mida yaa saa 10 jioni wanatoka... Ikawa mtindo wao, tukaona sio vizuri tukamwambia jamaa etu aache hiyo tabia ni mke wa mtu na pia ana watoto ingekuwa ndo mkewe angejisikiaje? Jamaa akabisha tukamwambia tunakukataa sisi, ndo jamaa akaogopa akaachana Nae....
Itoshe tu kusema hofu ya kweli ya Mungu ndo itamuepusha mtu kufanya mabalaa sio uisilamu na kuvaa majuba au kuwa tu mkristo
Mimi nipo mkuu, kwanini uende mbali🥱Hata bado hajapatikana naendelea kumtafuta niombee nimpate muungwana
Karibu sana,yaweza kuwa Mungu amepanga nikutoe Mbeya hadi MoroMimi nipo mkuu, kwanini uende mbali🥱
Hizi nguvu zinanisymbua mno aiseeeNikiwa mtaalam wa ulimwengu usioonekana, nguvu ya madhabahu ya kiza basi nawaambia msiwalaumu hao wanawake - jamaa ametumia nguvu za kiza kuwavuta na angeweza kumpata mwanamke yoyote yule ambaye angekuwa karibu naye.
Hizi nguvu zipo na watu wengi wanazitumia vibaya kama huyu bingwa.
Nyingi ya hizi nguvu wengi wanazitumia kufungua makanisa ya miujiza.
Ni mwanamke pekee anayedumu katika maombi ndiye angepona kuliwa na hili njemba.
Wanawake jifunzeni kusali sana na kumwabudu Mungu wa kweli maana shetani ( nguvu za kiza ) anapemda kuwatumia nyie kupitishia mambo yake.
Mkuu mimi mtu akiruhusu kucheka tuu basi... Sio mdogo wala mkubwaNikiwa mtaalam wa ulimwengu usioonekana, nguvu ya madhabahu ya kiza basi nawaambia msiwalaumu hao wanawake - jamaa ametumia nguvu za kiza kuwavuta na angeweza kumpata mwanamke yoyote yule ambaye angekuwa karibu naye.
Hizi nguvu zipo na watu wengi wanazitumia vibaya kama huyu bingwa.
Nyingi ya hizi nguvu wengi wanazitumia kufungua makanisa ya miujiza.
Ni mwanamke pekee anayedumu katika maombi ndiye angepona kuliwa na hili njemba.
Wanawake jifunzeni kusali sana na kumwabudu Mungu wa kweli maana shetani ( nguvu za kiza ) anapemda kuwatumia nyie kupitishia mambo yake.
Tusisingizie nguvu za giza hata kidogoNikiwa mtaalam wa ulimwengu usioonekana, nguvu ya madhabahu ya kiza basi nawaambia msiwalaumu hao wanawake - jamaa ametumia nguvu za kiza kuwavuta na angeweza kumpata mwanamke yoyote yule ambaye angekuwa karibu naye.
Hizi nguvu zipo na watu wengi wanazitumia vibaya kama huyu bingwa.
Nyingi ya hizi nguvu wengi wanazitumia kufungua makanisa ya miujiza.
Ni mwanamke pekee anayedumu katika maombi ndiye angepona kuliwa na hili njemba.
Wanawake jifunzeni kusali sana na kumwabudu Mungu wa kweli maana shetani ( nguvu za kiza ) anapemda kuwatumia nyie kupitishia mambo yake.
Madam Hapana sio tabia..Tusisingizie nguvu za giza hata kidogo
Ni tabia tu ya umalaya ya wote wawili...shetani mwenyewe anashangaa kilichotokea
Unataka kusema jamaa anatumia dawa kuwavuta??Madam Hapana sio tabia..
Ila hili linalo zungumzwa ni ukweli kabisa madam...
Ni kama pepo linakua limemvaa mtu husika.
Mi naongea kwa experience kabisa
Yes madam huyo jamaa ana dawa...Unataka kusema jamaa anatumia dawa kuwavuta??
Nakukatalia sio dawa....ni tabia za kimalaya malaya tu na wanawake wanaingia mtegoni kirahisiYes madam huyo jamaa ana dawa...
Achana na pesa ila jamaa ana dawa ya kufanya afanye yote hayo..
Mpaka sasa huku bongo kuna wadada washaanza kumwelewa jamaa assume tuu how came...?
Kuna mda bila kuwa na hofu ya Mungu uwezi toboa kwenye mitego kama hii madamu...
Mkuu wa tabia wapo sawa ila kuna dawa pia...Nakukatalia sio dawa....ni tabia za kimalaya malaya tu na wanawake wanaingia mtegoni kirahisi
Hakika hakikaKaribu sana,yaweza kuwa Mungu amepanga nikutoe Mbeya hadi Moro