Uislamu peke ndo ilioelewa mwanamke ni wa aina gani na ukamuekea mipaka na jinsi ya kujistili kwa wanaume wasio waume zakeKutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men.
Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote Hapana walienda pale kwasababu ya adventure tu..
Kuanzia binti wa prezda, wake 20 wa mawaziri na wengine wengi walitoka kwenye nyumba zenye utajiri na Kila kitu kilichojitosheleza..
Wanaume/wanawake wa naweza kuamua kucheat na mwanaume/mwanamke yeyote mwingine atakayeamua bila kujali elimu, nafasi yake katika Jamii, dini , cheo nafasi ya kifedha.
Hakuna akili ya ziada, principle au chochote kile kinachoweza kumzuia mwanamke/mwanaume kucheat labda kama binafsi hajataka au hajaamua tu..
Huwezi kumzuia asicheat, huwezi kumtisha asicheat, huwezi kuwahi mbele ya mipango yake ya kucheat na pia huwezi kupata mwanamke mwenye uwezekano mdogo kabisa wa kucheat hiyo ni probability..
Hii trendy pia imetufundisha kwamba wanawake wengi wanacheat na wanaume wao siyo rahisi kujua, kugundua au kuhisi.
Mwanamke wako anaweza akawa ofisin anayola na boss wake, mfanyakazi mwenzie, nurse anatoka na dokta, mfanyabiashara anatoka na mteja wake, mwalimu na mwalim mwenzie, n.k
Chakufanya kwa wakati huu ni kucheza/kukaa katika nafasi yako kikamilifua na kutumaini kwamba ana sense ya kujithamini (self worth ) kwasababu maamuzi ya kucheat yapo mikononi mwake.
Exactly this is why loyal women needs their flowers..
Class dismissed, no offense I beg to submit.
Ni hatari sana mkuuShika simu yako kwa umakini na ufumbe macho tujiombee dua njema na kukemea pepo baya la uhitaji wa vipimo vya DNA katika familia zetu.ππ
Achaa uwogo,kwani wwe hujawai gonga manzi ya mwingine katika maisha yako ya ugongaji!!??Kupitia stori ya baltazar nimejiridhisha wanawake wanacheat sana tena sana,sema wasiri sana ngumu kuwagundua
Uongo upi hapo nimeandikaAchaa uwogo,kwani wwe hujawai gonga manzi ya mwingine katika maisha yako ya ugongaji!!??
Kwenye video 400 ,mwanaume asiyemwaminifu ni 1 ,wanawake wasio waaminifu 400Uongo upi hapo nimeandika
Hamna mwanamke asiecheat...wee muhimu akupe na wewe uonje utamuKupitia stori ya baltazar nimejiridhisha wanawake wanacheat sana tena sana,sema wasiri sana ngumu kuwagundua
Kwa binti wa prezda baharia mwezetu lazima anyongwe au apotee kimnya kimnya.Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men.
Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote Hapana walienda pale kwasababu ya adventure tu.
Kuanzia binti wa prezda, wake 20 wa mawaziri na wengine wengi walitoka kwenye nyumba zenye utajiri na Kila kitu kilichojitosheleza.
Wanaume/wanawake wa naweza kuamua kucheat na mwanaume/mwanamke yeyote mwingine atakayeamua bila kujali elimu, nafasi yake katika Jamii, dini , cheo nafasi ya kifedha.
Hakuna akili ya ziada, principle au chochote kile kinachoweza kumzuia mwanamke/mwanaume kucheat labda kama binafsi hajataka au hajaamua tu.
Huwezi kumzuia asicheat, huwezi kumtisha asicheat, huwezi kuwahi mbele ya mipango yake ya kucheat na pia huwezi kupata mwanamke mwenye uwezekano mdogo kabisa wa kucheat hiyo ni probability.
Hii trendy pia imetufundisha kwamba wanawake wengi wanacheat na wanaume wao siyo rahisi kujua, kugundua au kuhisi.
Mwanamke wako anaweza akawa ofisin anayola na boss wake, mfanyakazi mwenzie, nurse anatoka na dokta, mfanyabiashara anatoka na mteja wake, mwalimu na mwalim mwenzie, n.k
Chakufanya kwa wakati huu ni kucheza/kukaa katika nafasi yako kikamilifua na kutumaini kwamba ana sense ya kujithamini (self worth ) kwasababu maamuzi ya kucheat yapo mikononi mwake.
Exactly this is why loyal women needs their flowers.
Class dismissed, no offense I beg to submit.
Naunga mkono hojaNa usisahau, wame-cheat kwenda kupigwa show ya wastani wa dakika 2 hadi 5 tu. Kwahiyo shida siyo kutoridhishwa.
ππHamna mwanamke asiecheat...wee muhimu akupe na wewe uonje utamu
Ni video 400 sio wanawake 400. Nimeona video nyingi kati ya hizo 400 kuna baadhi ya wanawake hao hao wamejirudia zaidi ya video moja kwahiyo idadi halisi ni pungufu ya wanawake 400.Kwenye video 400 ,mwanaume asiyemwaminifu ni 1 ,wanawake wasio waaminifu 400
Kumbe jamaa alikuwa anagegeda mademu wa kawaida π€£π€£π€£π€£Sina full context ya hiyo taarifa. Lakini kwa udadisi tu kuna uwezekano hao wanawake wote ni Wafanyakazi au wasomi wanaotafuta kazi. Sababu mwanamke ni kiumbe kilichokuwa-programmed kuhudumiwa, na yeye ata automatically reciprocate hiyo treatment kwa mwili wake. Au wanaita kurudisha fadhila kwa kiswahili. It's in their nature. Hivyo ni vizuri mwanamke akiolewa akae nyumbani alee familia na mwanaume awe full support system.
Vinginevyo huko kazini ndio kutageuka nyumba na boss anayempa mshahara atamuona equivalent au kama mume. Na ndio maana wanawake wengi wenye kazi (hasa sekta binafsi) hawaheshimu ndoa zao, sababu ameolewa mara mbili. Kifuatacho tumia akili yako mwenyewe.
Alafu hao wanawake ni wakawaida kinyama, ni below, below average. Ina make sense kuwapata kirahisi sababu hawana soko, hivyo yoyote atayeonesha interest hata kama ni kiwete hawawezi kataa.
ππ dah hii ni balaaNa usisahau, wame-cheat kwenda kupigwa show ya wastani wa dakika 2 hadi 5 tu. Kwahiyo shida siyo kutoridhishwa.
hapo ndio inakuwa ngumu kumuelewa mwanamke Anataka niniπ€Naunga mkono hoja