Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

Sasa huyu Askofu mbona anamwaga Petrol kwenye moto uliowaka...hekima ilikuwa ni kuchagua maneno haswa kipindi hiki kigumu

hivi kuna wanaoruhusiwa kumwaga petrol na wengine hawaruhusiwi? kwa nini wengine waharibu amani na wengine watakiwe kuienzi? kwa hiyo wengine wanafurahia vurugu na mauaji yakifanyika huku wakitarajia upendo na amani kutoka kwa wengine. kwa hiyo kusudi hapa ni kufanya unyama na wengine wafurahie unyama, kwa kuwa tunawajua ni watu wa amani. jitahidini sana na msichoke, kwa kuwa kwa kuwa kikombe mlichokuwa mnamiminia maji sasa kimejaa, hamna rangi mtaacha kuona, alikamatwa osama, itakuwa waigaji?!
 
shehe farid kadhalilisha waislam,wengi walihama kariakoo kwa muda,wengi walikuwa wakisalimiwa asalam alyeikum wanajibu milele amina ili kuepuka kipigo.
 
Huyu jamaa hajatekwa,
1.Siku 4 bila kula huwezi kuwa na sauti ya namna ile.
2. Alikuwa amefungwa kitambaa na nyumba ni ngeni, alikuwa anajua je mahala pa kwenda msalani ni wapi?
3.Alikuwa amefungwa kitambaa alijua aliyaona je maji?
4. Polisi wateka nyara wamrudishe mahala palepale. kuna maswala mengi sana, huyu jamaa hakuwa ametekwa.
 
Hivyo unavyoviita vita vya kiimani ni kati ya imani zipi na vinapiganiwa wapi?
ni vita kati ya watu wenye imani fulani na watu wenye imani tofauti mfano inaweza kuwa kati ya dini na dini au dhehebu na dhehebu katika dini ileile. ni vita mbaya sana ikishaanza huchukua miaka na dahari. tumwombe Mungu atuepushe na balaa kama hilo
 
Huyu jamaa hajatekwa,
1.Siku 4 bila kula huwezi kuwa na sauti ya namna ile.
2. Alikuwa amefungwa kitambaa na nyumba ni ngeni, alikuwa anajua je mahala pa kwenda msalani ni wapi?
3.Alikuwa amefungwa kitambaa alijua aliyaona je maji?
4. Polisi wateka nyara wamrudishe mahala palepale. kuna maswala mengi sana, huyu jamaa hakuwa ametekwa.

Polisi wa tz wamezowea kufanya hayo mambo...vipi dr,Ulimboka alijteka mwenyewe? au kutekwa lazima ung'olewe meno na kucha?
 
Polisi wa tz wamezowea kufanya hayo mambo...vipi dr,Ulimboka alijteka mwenyewe? au kutekwa lazima ung'olewe meno na kucha?

Mathematically, polisi wa Tanzania ni watu wa fujo sana, angekuwa ametekwa wasingeacha kumchapa hata kofi moja, ukizingatia waliomteka wametoka umasaini ama mara.

Kisakiolojia, mtu aliyetekwa na hajala siku takribani 4 asingekuwa na sauti ya namna ilie

Logically, 1. Jamaa amefungwa kitambaa cheusi na yuko kwenye nyumba ngeni, maji aliyaona je akawa anayanywa? na msalani alienda vipi?
Logically, 2. Anasema waliokuwa wanamhoji walikuwa wamevaa soksi usoni na wengine kujifunika, yeye aliwaona je kama wamevaa soksi wakati wanamhoji wakati mda wote alikuwa amefunikwa uso.
Logically, 3. Akiwaona hawezi kuwafahamu kwa sababu walikuwa wamevaa soksi na wakati huohuo anasema jamaa alimfuata akamuita akamonyesha kitamburisho cha polisi na wengine wawili wakiwa wamesimama na bastola.
Logically, 4. Kama walimuonyesha waliomuita na kumuonyesha kitaburisho walikuwa wamevaa soksi basi moja kwa moja pale angepiga kelele ama kutimua mbio na wala aingewafuata maana inaonekana walikuwa mbali naye na walimuita na akawafuata, pia zile bastola alikuwa hajaziona hivyo kwa vyovyote angetimua mbio tu.

NK NK
Huyu jamaa nafikiri ni muongo.
 
Prezzo is lenient and biased.
Walianza n.a. kadhi bullshit then uamsho **** and now kidogo kidogo incidence zikakua before we know labda sectarian violence mpaka a full blown country wide unrest.
Remember people it'll cost our lives and way of life.
 
hivi kama waislam tunalalamika serikali inatunyanyasa kwanini tusipige kura siku ya uchaguzi kura ya hasira ya kuachana na CCM. CCM haitaki kusikiliza watu au kuulizwa maswali magumu ref. Kikao cha uchaguzi mwenyekiti UWT CCM
 
nyie mnahangaika bure, hivi hamjuagi mkuu wa serikali naye ni member wa UAMUSHO? ngoja nilale mie nishajichokea - tujiungage tu na hiyo OIC na tuwe islamic state yaishe, mie sitaki vita kabisa.
 
hivi serikali ya uamsho ni ipi? kwani kama ni serikali hii tuliyoiweka sie wananchi uamsho wana uwezo gani wa kuielekeza na kuipatia siku 26? hebu tuwe wakweli watanzania tukiendele kuamini watu wanaojiita wanamjua Mungu kwa imani zao hizi na serikali mara kadhaa kukaa kuamini wao wanabusara tumekwisha.
 
ni vita kati ya watu wenye imani fulani na watu wenye imani tofauti mfano inaweza kuwa kati ya dini na dini au dhehebu na dhehebu katika dini ileile. ni vita mbaya sana ikishaanza huchukua miaka na dahari. tumwombe Mungu atuepushe na balaa kama hilo

Hivi huu ndiyo uislam? Sheh farid by the way ni nani hasa? na kuna uhusiano gani na wale wa kule pwani ya kenya? hebu enyi ndugu zangu waislam niaminivyo mimi uislam siyo huu na ukristo siyo kudharau uislam. hawa wahubiri waogopwe hawatufai hata kwa bure leo hii imefikia mwislam anaogopa hata kumpangisha nyumba mkristo na vivyo hivyo mkristo, nimeskia kwa sasa wakristo wanataka wakristo wachinje (machinjioni) badala ya mwislam kwa hofu ya kuwekewa sumu. viongozi na watanzania kwa ujumla tuache kukumbatia vikundi vya kijinga jinga kama hivi tuvionavyo leo, tukemmee mahubiri na mihadhara ya kidini isiyo na tija kwa taifa, tusajiri jumuia kwa kuzingatia katiba na maslahi ya wengi, mfano mwingine ambao ni tatizo ni vyombo vyetu vya habari kuvumisha habari mbovu mbovu yaani zenye madhara kwa jamii, na watu wengine ni hawa tunaowaita leo wasema chochote yaani wanaharakati serikali iwaangalie kwani kichaa ana haki yake lakini pamoja na haki hiyo haruhusiwi kumiliki bunduki.
 
Mathematically, polisi wa Tanzania ni watu wa fujo sana, angekuwa ametekwa wasingeacha kumchapa hata kofi moja, ukizingatia waliomteka wametoka umasaini ama mara.

Kisakiolojia, mtu aliyetekwa na hajala siku takribani 4 asingekuwa na sauti ya namna ilie

Logically, 1. Jamaa amefungwa kitambaa cheusi na yuko kwenye nyumba ngeni, maji aliyaona je akawa anayanywa? na msalani alienda vipi?
Logically, 2. Anasema waliokuwa wanamhoji walikuwa wamevaa soksi usoni na wengine kujifunika, yeye aliwaona je kama wamevaa soksi wakati wanamhoji wakati mda wote alikuwa amefunikwa uso.
Logically, 3. Akiwaona hawezi kuwafahamu kwa sababu walikuwa wamevaa soksi na wakati huohuo anasema jamaa alimfuata akamuita akamonyesha kitamburisho cha polisi na wengine wawili wakiwa wamesimama na bastola.
Logically, 4. Kama walimuonyesha waliomuita na kumuonyesha kitaburisho walikuwa wamevaa soksi basi moja kwa moja pale angepiga kelele ama kutimua mbio na wala aingewafuata maana inaonekana walikuwa mbali naye na walimuita na akawafuata, pia zile bastola alikuwa hajaziona hivyo kwa vyovyote angetimua mbio tu.

NK NK
Huyu jamaa nafikiri ni muongo.

Tafadhali sikiliza tena hiyi audio clip...maana maneno yako na yake yanatofautiana sana.
 
you are still living in 60s,70s,80s mind sets...Hata huyo dikteta Nyerere akifufuka leo ,basi ataomba kufa tena. Dunia imebadilika kwahiyo hata TZ lazima ibadilike. Watu wanakufa kwa stress za maisha ,magonjwa ya ajabu ajabu kwahiyo wakipata nafasi ya kufa for something they believe in, they will certainly do it.

Uamsho sio mtu mmoja , na hakuna hata chama kimoja cha siasa chenye wafuasi wengi kuliko Uamsho ndani ya Zanzibar.
kwanini marehem anaogopwa sana?
 
TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.

Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
Ila amewataka wananchi wawe na subra na watunze Amani hadi hapo kesho laasir.
Sh Azzan anasema ccm,Jeshi la polisi na Jeshi la wananchi Tanzania wamehusika kwa habari waliozipata.
Inasemekana walomteka walikuwemo ma jeshi 2 na polisi wa ffu 2 na viongozi wa ccm.
Tunaiman Amir Farid bado yuhai na yupo hapa hapa Zanzibar.
Safari hii mpaka kieleweke.
Waislamu hakuna kurudi nyuma biidhni llah tutampata Amir Farid

source ;fb page ya jumuiya ya uamsho(T)

updates;shekh farid apatikana takriban masaa 10 baada ya tamko hili.

Ni Matajiri Hali Sio MBAYA kwa FAMILIA Yake!!!​

HAYA Walitaka SIFA; Hakufichwa na MAPOLISI... Alitaka uwa MAARUFU DUNIANI kote - Wakaua POLICE -- AMERUDI alikokwenda kupata UMAARUFU; Nadhani Sasa hatakuwa MAARUFU tena... CHAMA CHAKE CHAUA... KWAHIYO wao ni OFFICIALLY TERRORISTS kwa KISAWAHILI ni MAGAIDI... so they are treated now like terrorist NDANI na NJE ya NCHI... Kwahiyo UNAJUA anakwenda kwenda OMAN; OMAN pia IMESAIN a tough ANTI-TERROR AGREEMENT Unajua SULTANI wa HUKO alisaidiwa na Waingereza kumpindua Baba yake.... NA USA wana MILITARY BASE HUKO...

Kwahiyo FARID; SIDHANI atakuwa anapata pesa za bure toka OMAN tena... Utaona itabidi atafute kazi... Ukiwa New York Jaribu Kutembelea the POLICE HQ kuna COMPUTER unaandika JINA la MTU linakupa kuwa ni SAFI au LA... Bandika JINA LAKE UTAONA... Kwahiyo sasa baada ya kuua POLISI jina lake like STANDBY... SIJUI kama ataweza kupanda ndege kwenda OMAN kiusalama...
 
mpuuzi huyu mi nlishasema ni gaidi tangu limesema limetekwa, likarudi lizima na hoja ya uzushi kwamba alitekwa akiwa mweupeeee. thubutu unafikiri waliomteka wanajifunzaga kazi ati wamuache msafi namna ile, wewe unasikia kutekwa nini muulize ulimboka, au alifikiri kutengeneza movie ya kutekwa ni rahisi. daah huyu jamaa ni gaidi amesababisha vurugu na hatri kwa taifa hana huruma hata kidogo. asionewe huruma ni kwenda jela tuuu, kama atabisha mi nitamtafuta nimchakaze, maaake KANIKERA!! ukizingatia bado naipenda nchi yangu mwenyewe nimetulia tulii.... yeye anasababisha shida na miuamsho yake. stupid farid!
 
Back
Top Bottom