takashi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 905
- 190
http://www.mzalendo.net/category/habari/sautiHuyo naye awekwe ndani kumwacha ni kulea haya yanayo endelea. Ground anayotolea altimatum ni ya ukengeufu
http://www.mzalendo.net/category/habari/sautiHuyo naye awekwe ndani kumwacha ni kulea haya yanayo endelea. Ground anayotolea altimatum ni ya ukengeufu
Sauti | Mzalendo.nettakashi utamficha huyo sheikh hadi lini?
TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.
Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
Ila amewataka wananchi wawe na subra na watunze Amani hadi hapo kesho laasir.
Sh Azzan anasema ccm,Jeshi la polisi na Jeshi la wananchi Tanzania wamehusika kwa habari waliozipata.
Inasemekana walomteka walikuwemo ma jeshi 2 na polisi wa ffu 2 na viongozi wa ccm.
Tunaiman Amir Farid bado yuhai na yupo hapa hapa Zanzibar.
Safari hii mpaka kieleweke.
Waislamu hakuna kurudi nyuma biidhni llah tutampata Amir Farid
source ;fb page ya jumuiya ya uamsho(T)
http://www.mzalendo.net/category/habari/sautisheikh, tumeshaambiwa amekimbia mwenyewe baada ya kuhis anatafutwa, hayo massaaa 26 wanatoa azizi anatoa kama nani? mnapenda nchi ifikie wakt wa amri ya kutokutembea usiku? hatutaki dhoruba sisi wapenda amani, kama unapenda vurugu nenda kismayu ukae huko,unajua kuna watu wanatafuta umaarufu eeeh!
duh kweli hawa jamaa wamejitoa Muhanga, lakini nimetoka kuangalia taarifa ya habari sasahivi nikamsikia Dereva wa sheikh Farid akielezea kisa kizima namna ilivyokuwa, hapo ninadoubt kumbe jamaa alikuwa anaongea na simu zen akaenda mwenyewe kupanda kwenye gari linalodaiwa kumteka. na amepanda kanakwamba anawajua waliokuwemo. nina wasiwasi hapa kuna mchezo
Sauti | Mzalendo.netHonestly, hawa sio wahuni, ni magaidi (Terrorists) as defined under the Terrorist Act.
Sijui kama hamjaelewa hili. This is a typical terrorism. Nafahamu kuna watu watanibisha, ila JWTZ hawajawahi kuingilia hili suala ila mpaka wameingilia naamini hali ni tete sana ya usalama.
I hope mambo yatakaa sawa hapo TZ maana hatuamini kama hawa ni terrorists ila hakika nawaambieni Kenge ukimfuga huwa anakuwa mamba. Hawa ni terrorists per se!
I submitt my case!
Kama nilvyowahi kusema huko nyuma ,Tz inaingia katika maganga ya kujitakia. Serikali iliombwa na watu wenye busara kwamba wakae na Uamsho wafanye mazungumzo na kufikia makubaliano. Sasa ubabe na kukosa busara ndio matokeo yake ndio haya. Sawa na kutikisa mti, majani makavu ,mabichi,machanga yote huanguka. Kama hasara itakuwa kwa wote pamoja na hao viongozi wenye mentality za kidikteta.
Kila kiongozi ana watoto wasiopungua 10, jee wataweza kujilinda wao wenyewe na familia zao ? Je, kila askari polisi atakabidhiwa silaha , kama askari wa Ulaya? Jamani vita vya kiimani ni vita vibaya, tumeyaona kwa macho chonde chonde...Bado muda wa mazungumzo upo.
Tamko la masaa 26 limefanya kazi yake ...Msikilize simba huyo...Sauti | Mzalendo.net
WHAT IS UAMSHO BY THE WAY?? kWANI HIKI NI CHAMA CHA SIASA? NI WAASI AMBAO WANGEPEWA FURSA YA KUKAA NA SERIKALI KUKUBALIANA MAMBO FULANI? HIVI KILA MTU AKIAMUA KUFANYA VURUGU ANAVYIJISIKIA BASI SERIKALI INALAZIMIKA KUKAA NAE KUZUNGUMZA? WHAT COUNTRY ARE WE BUILDING? HIVI MNADHANI IKIWA HIVI NCHI ITATAWALIKA? ULIA MBALI HAWA WATU, MWALIMU ALIWEZA KUFANYA HAYA ....ALIMALIZA VURUGU KULE ZANZIBAR. WHO ARE THEY AMONG MORE THAN 45m TANZANIANS??
[video]http://www.mzalendo.net/habari/breaking-news-sauti-ya-ust-farid-na-salma-said[/video]
Pengine vurugu "is the only language you can understand" . Mara waislamu hawakusoma ,mara waislamu wavivu ,waislamu blahh blah... Dharau ina kikomo.