Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

Hili halina mjadala kwani waliwahi kusema ikiwa kiongozi wao atatoweka na kuuliwa basi hawana sababu ya wao kulipiza kisasi.
Kabla mambo hayajafika mbali tayari Polisi wa FFU ameuliwa huko BUBUBU,hapo inaonyesha wazi ni namna gani wananchi walipofikia.WaZanzibar wanajulikana wazi kwa ukakamavu dhidi ya jeshi la polisi,ikumbukwe kule Pemba polisi kibao waliuliwa kwa kuchinjwa na kitu chenye ncha kali wakati wa 2001,kama sikosei.

Habari zilizo mitandaoni zinasema KUTOKANA NA KUTOWEKA KWA AMIR FARID NA KUPELEKEA WATU KUINGIWA NA HASIRA NYUMBA YA MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZ SEIF ALI IDDY IMEVUNJWA HUKO BUBUBU.

Mapolizi wamekuwa wakiua raia kiholela si huko Zanzibar hata huku Tanganyika wamekuwa na mtindo wa kuuwa wananchi kirahisi ,kesi kibao zinazowahusu polisi kuuwa zimekuwa zikipotea kwenye thin air na hakuna wa kuhoji.
Ingawa Tanganyika bado wamelala wakiruhusu polisi kufanya watakavyo ,Zanzibar sivyo walivyo.
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
 
sheikh, tumeshaambiwa amekimbia mwenyewe baada ya kuhis anatafutwa, hayo massaaa 26 wanatoa azizi anatoa kama nani? mnapenda nchi ifikie wakt wa amri ya kutokutembea usiku? hatutaki dhoruba sisi wapenda amani, kama unapenda vurugu nenda kismayu ukae huko,unajua kuna watu wanatafuta umaarufu eeeh!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Fariid .kaenda kujificha ili watu wafanye fujo wakidai hayupo katekwa, na kuwafanya wahamasike zaidi, tunataka amani , damu katu haitamwagika hapa? nasikia ndo wamepanga hivo
 
Yaani huyo askof shao ndo anawaita uamsho wahuni !
Kwanza ajijue yeye baba yake nani
Kuteka nyara watu ndio uungwana ? Kweli mwanaharamu hafichi asili yake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Alivyotekwa dr, Ulimboko na mateso aliyofanyiwa, wote hapa tulilaani unyama ule . Leo katekwa muislamu bado matusi anatupiwa yule yule victim. Ndio nasema hawa watu hawana imani wala mapenzi na waislamu , kilichobakia waislamu waendelee kudai haki zao mapaka kieleweke. Liwalo na liwe.
 
dr ulimboka anasimami afya za wagonjwa.huyu gaidi anasimamia nini?
 
majeshi yetu yako makini kama alivosema Kova sasa basi nchi hii ni lazima iwe na amani
 
Alivyotekwa dr, Ulimboko na mateso aliyofanyiwa, wote hapa tulilaani unyama ule . Leo katekwa muislamu bado matusi anatupiwa yule yule victim. Ndio nasema hawa watu hawana imani wala mapenzi na waislamu , kilichobakia waislamu waendelee kudai haki zao mapaka kieleweke. Liwalo na liwe.

Ulimboka alitekwa au alitolewa kafara?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
dr ulimboka anasimami afya za wagonjwa.huyu gaidi anasimamia nini?

Gaidi kwasababu anataka Zanzibar huru ? Gaidi kwasababu hamuabudu NYERERE ? Gaidi kwasababu havai chain yenye msalaba? Kama gaidi iweje mahakama ya sheria imuachie huru....Au gaidi kwasababu tu, Muislamu?
 
Huyo naye awekwe ndani kumwacha ni kulea haya yanayo endelea. Ground anayotolea altimatum ni ya ukengeufu
 
Alivyotekwa dr, Ulimboko na mateso aliyofanyiwa, wote hapa tulilaani unyama ule . Leo katekwa muislamu bado matusi anatupiwa yule yule victim. Ndio nasema hawa watu hawana imani wala mapenzi na waislamu , kilichobakia waislamu waendelee kudai haki zao mapaka kieleweke. Liwalo na liwe.
suala ni kuthibitisha kama kweli ametekwa na serikali. Ulimboka si kathibitisha hata kwa kumtaja mtu. nyie mnaweza kung'amg'ani kuwa katekwa je, akijitokeza na kusema hakutekwa na serikali mtasemaje? na ni kwa nini serikali imteke isimkamate inaogopa nini?
 
haya yanayotokea ni matokeo ya kulea vikundi vya kuvuruga amani kupitia mgongo wa dini... wazi serikali ya jk na shein wawajibike
 
Alivyotekwa dr, Ulimboko na mateso aliyofanyiwa, wote hapa tulilaani unyama ule . Leo katekwa muislamu bado matusi anatupiwa yule yule victim. Ndio nasema hawa watu hawana imani wala mapenzi na waislamu , kilichobakia waislamu waendelee kudai haki zao mapaka kieleweke. Liwalo na liwe.

takashi utamficha huyo sheikh hadi lini?
 
Chitanda nyoka hujawahi kuwa na akili ndiyo maana majibu yako mwanangu ni ya kibangi bangi. Ukoloni na kasumba vimekujaa kutetea huu upuuzi unaotuweka msambweni. Komaa na ukue mwanangu.
 
Precise Pangolin wewe ni mwanangu. Like father like son. Hivyo usishangae. Najivunia kuwa na toto lenye akili kama wewe kuliko wengine wanaoonyesha ushabiki wa utumwa wa kiarabu na kizungu.
 
Back
Top Bottom