Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 623
ni gaidi kwa kuwa anadai hayo anayodai kwa kuchoma makanisa.Gaidi kwasababu anataka Zanzibar huru ? Gaidi kwasababu hamuabudu NYERERE ? Gaidi kwasababu havai chain yenye msalaba? Kama gaidi iweje mahakama ya sheria imuachie huru....Au gaidi kwasababu tu, Muislamu?