Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

Hii vita naitabiri inakuja Tz... Vita ya Mfumo Kristo .
Mfumo Kristo??? M.k.w.e.r.e, Dr. Bila Hili, ooh sorry Dr. Balali, Dr. Cheni, ooh sorry Dr. Shein, Maalim Seif, Idd, Said Mbaya, ooh sorry Said Mwema, R.O, etc. wote hawa ni Wakristo? Sasa nimeelewa ndio maana hata BAKWATA mnaikataa nadhani na yenyewe ni Mfumo Kristo! Shame on you all terrorists!
 
TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.

Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
Ila amewataka wananchi wawe na subra na watunze Amani hadi hapo kesho laasir.
Sh Azzan anasema ccm,Jeshi la polisi na Jeshi la wananchi Tanzania wamehusika kwa habari waliozipata.
Inasemekana walomteka walikuwemo ma jeshi 2 na polisi wa ffu 2 na viongozi wa ccm.
Tunaiman Amir Farid bado yuhai na yupo hapa hapa Zanzibar.
Safari hii mpaka kieleweke.
Waislamu hakuna kurudi nyuma biidhni llah tutampata Amir Farid

source ;fb page ya jumuiya ya uamsho(T)

LIWALO NA LIWE! Insha allah TUKO TAYARI KWA LOLOTE...WAISLAM TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA, TUNADHALILISHWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMEUAWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMEKOSESHWA AJIRA DHAHIR SHAHR KIASI CHA KUTOSHA, WATOTO WETU WAMEFELISHWA KIASI CHA KUTOSHA, MIKATABA YA HOVYO YOTE YANANUFAISHA MAKANISA, MADINI YANACHUKULIWA BURE KUPITIA MIGONGO YA MAKANISA, MISAMAHA YA KODI NI KWAAJILI YA MAKANISA, MIKOA YOTE YENYE WAISLAM ILITELEKEZWA KTK MAENDELEO, WALING'OA MPAKA RELI ILI JAMII YA KIISLAM WAKOSE MAENDELEO...TUMECHOKA MFUMO KRISTO...Ngoja akili ndogo zitumike kwanza kabla ya KUTUMIA AKILI KUBWA!!!
 
kwa kawaida ninavyojua mbwa uliyekuwa unamfuga akipata kichaa kinachofuata ni kumpiga risasi (kumuua) ili asiambukize mbwa wengine ugonjwa huo wa ukichaa
 
LIWALO NA LIWE! Insha allah TUKO TAYARI KWA LOLOTE...WAISLAM TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA, TUNADHALILISHWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMEUAWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMEKOSESHWA AJIRA DHAHIR SHAHR KIASI CHA KUTOSHA, WATOTO WETU WAMEFELISHWA KIASI CHA KUTOSHA, MIKATABA YA HOVYO YOTE YANANUFAISHA MAKANISA, MADINI YANACHUKULIWA BURE KUPITIA MIGONGO YA MAKANISA, MISAMAHA YA KODI NI KWAAJILI YA MAKANISA, MIKOA YOTE YENYE WAISLAM ILITELEKEZWA KTK MAENDELEO, WALING'OA MPAKA RELI ILI JAMII YA KIISLAM WAKOSE MAENDELEO...TUMECHOKA MFUMO KRISTO...Ngoja akili ndogo zitumike kwanza kabla ya KUTUMIA AKILI KUBWA!!!
kwa hiyo ndo mkaamua kumficha farid?
Mnacheza mchezo wa kitoto sana.
 
argument zako zimeonyesha ni kiasi gani ulivyo ''mbukwa'' hamna kitu,chuki za kupandikizwa, ,habari za reli,misamaha ya kodi na vinginevyo ulivyyotaja kama kukosa maendeleo ni mabo ya kipuuzi ambayo mmeshindwa kuyaweka kwenye mizania ya maendeleo. Take vivid example somali land,pumbaaaaaaf.kasome kwanza elimu dunia
 
Mfumo Kristo??? M.k.w.e.r.e, Dr. Bila Hili, ooh sorry Dr. Balali, Dr. Cheni, ooh sorry Dr. Shein, Maalim Seif, Idd, Said Mbaya, ooh sorry Said Mwema, R.O, etc. wote hawa ni Wakristo? Sasa nimeelewa ndio maana hata BAKWATA mnaikataa nadhani na yenyewe ni Mfumo Kristo! Shame on you all terrorists!

Hao wenyewe wamesalimu amri kwa mfumo kristo...kilichobakia ni kulinda matumbo yao. Hata Mandela aliwahi kuitwa terrorist...time will tell, mimi naunga mkono waislamu kuendelea kudai haki zao ...Liwalo na liwe.
 
Wanaongea sana hao wakina sheikh azam, walikuwa wapi kwenda libya kumtetea gadafi?
 
Hao wenyewe wamesalimu amri kwa mfumo kristo...kilichobakia ni kulinda matumbo yao. Hata Mandela aliwahi kuitwa terrorist...time will tell, mimi naunga mkono waislamu kuendelea kudai haki zao ...Liwalo na liwe.

wewe unaishi kwa kukariri kama vile uko madrasa unakaririshwa jiuzu ama. Unaweza kuweka analysis ya mfumo kristo unaouzungumzia hapa?
 
Mkuu huyo aliyesadikiwa kutekwa mbona nasikia ni kiongozi wa maimamu na siyo kiongozi wa Uamsho?Kiongozi wa Uamsho anaitwa Mselem na yupo kitaa na hata leo ameongea na wanachama wake kuwasii wawewatulivu katika kipindi hiki coz kuna watu wanataka kuwabambika kesi!

Kwa mara ya kwanza nasikia serikali imepewa masaa 26...wametumia vigezo gani kutoa hayo masaa?
 
argument zako zimeonyesha ni kiasi gani ulivyo ''mbukwa'' hamna kitu,chuki za kupandikizwa, ,habari za reli,misamaha ya kodi na vinginevyo ulivyyotaja kama kukosa maendeleo ni mabo ya kipuuzi ambayo mmeshindwa kuyaweka kwenye mizania ya maendeleo. Take vivid example somali land,pumbaaaaaaf.kasome kwanza elimu dunia

Jibu hoja wewe mama mwenye sura kama bedford yenye kupigwa hendel kwa mbele...look at u! mimi na wewe nani anastahili kwenda shule? unajua kinachopiganiwa somalia? tatizo lako wewe una akili za kubebewa huku ukichagizwa na western media...fanyatafiti kabla ya kukurupuka kutoa mapovu we MUANGLIKANA!!!
 
kwa hiyo ndo mkaamua kumficha farid?
Mnacheza mchezo wa kitoto sana.
Tumia WHO, WHY, WHERE, WHEN, WHAT na HOW...jiulize maswali, ukishapata jibu ambalo bilashaka ushajua kuwa Askofu shao plus CCM ndio waliokuwa wanajaribu kuunyamazisha umma wa waislam...This tym hatudanganyiki kamwe, mtaendelea kuchoma makanisa yenu huko yombo ili mpate justification ya fedha zinazotoka ROMA...Madai ya waislam yako wazi kabisa... dhuluma za wazi ambazo hamtaki tuzijadili mnakimbilia keli na matusi eti waislam ni magaidi?!! JK Nyerere alisema bila kificho kuwa kama si subira ya waislam nchi hii isingetawalika kamwe!!! ANGALIA BOT NA TRA...Maafisa waajiri wote ni WASEMINARISTI! nafasi za kazi zinatolewa kwa WAKRISTO Tu kuanzia maderava mpaka Wakurugenzi...madai yenu eti WAISLAM hawajasoma!!! upuuzi huu mkawadanganye wehu maana wengine tumekuwa ndani ya tunaelewa uharamia mnaowafanyia WAISLAM....
 
wewe unaishi kwa kukariri kama vile uko madrasa unakaririshwa jiuzu ama. Unaweza kuweka analysis ya mfumo kristo unaouzungumzia hapa?

Ndio naishi kwa kukariri ...is it a crime? Sasa mtavuna mlichopanda ule muda wa kuwadhulumu waislamu haki zao na ikawa kimya umekwisha...Liwalo na liwe na kama kukosa tutakosa sote.
 
Mbona akina Saddam Hussein na Mubarak walifanya hivyo? Leo Iraq imeshindikana kutawala kutokana na kuendekeza hawa majuha wanaoutumia dini kwa kuogopa kuingia siasa. That simple.
 
Kwanini wasimkamate huyu anayeifundisha kazi jinsi ya kufanya kazi. Ningekuwa rais ningekamata kila anayetoa tamko hadi wote waishie lupango ndipo nilete suluhu.

Kuna kitu hapa watu wengi hawakifahamu, GAP kati ya walionacho na wasionacho linapozidi kuwa kubwa katika jamii na pasiwepo na juhudi za makusudi kutoka kwa watawala, basi matokeo yake kundi lenye wanyonge wengi litakataa tamaa na hasa itakapofikia kwenda mbele ni hatari kurudi nyuma ni hatari, kushoto kulia ni hatari..." kinachobaki ndo hivyo watu kushawishiwa kufanya mambo ya kipuuzi na ya kihuni na wao wakashawishika kilahisi maana wamekata tamaa.

Juhudi za makusudi zisipochukuliwa kwa watawala wetu kuihudumia jamii ipasavyo , kupunguza ugumu wa maisha unaoletwa na mambo lukuki mathalani mfumuko wa bei uliojuu, hakika Tanzania tutashuhudia mambo ambayo hatukuwahi kuyafikiria, Sipendi na nahudhunishwa sana kwa kile kinachojili Zanzibar na Dsm lakini kuna sababu zilizotufikisha hapo! KWENYE MISIBA SIO WOTE WANAOLIA HULIA KWA MACHUNGU YA KUFIWA BALI WENGINE HULIA KWA KUUNGANISHA TUKIO HILO LA MSIBA SHIDA ZAO BINAFSI.
 
Back
Top Bottom