Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

Sielewi na sijui nitafanyeje ili nielewe.

Ni kwa nini na kwa vipi Jeshi hili hili la Polisi na CCM ambao wamekuwa too readily kuuwa wananchi kwenye mikutano (ya siasa tena ya halali) ya CHADEMA kote nchini wameshindwa kabisa kushughulika na wahalifu wachache. Sielewi mimi.
 
  • Thanks
Reactions: SG8
hawa watu wana matatizo sn,ngoja tusubiri hiyo 26 hrs tuone kitakachojili.
 
Yaani huyo askof shao ndo anawaita uamsho wahuni !
Kwanza ajijue yeye baba yake nani
Kuteka nyara watu ndio uungwana ? Kweli mwanaharamu hafichi asili yake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huwa nikisoma matamko ya hawa ndugu zangu ni burudani sana ,kisha nakumbuka maneno ya Mnyika "Jk ni dhaifu "
 
Sasa huyu Askofu mbona anamwaga Petrol kwenye moto uliowaka...hekima ilikuwa ni kuchagua maneno haswa kipindi hiki kigumu
Duh kwa hiyo vurugu zikiendelea itakuwa ni sababu ya Askofu? Sikujua
 
Yaani huyo askof shao ndo anawaita uamsho wahuni !
Kwanza ajijue yeye baba yake nani
Kuteka nyara watu ndio uungwana ? Kweli mwanaharamu hafichi asili yake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Unawaitaje watu wanaokwenda makaburini, wanafukua maiti (wasiojua) na kuanza kuipiga? Hiki ndicho kimetokea huko Zanzibar.

Kuna Waamini na kuna Wahuni. Ni vizuri kutenganisha haya makundi mawili na kuachana na huu usanii wa chui kuvaa ngozi ya kondoo.
 
Kwanini wasimkamate huyu anayeifundisha kazi jinsi ya kufanya kazi. Ningekuwa rais ningekamata kila anayetoa tamko hadi wote waishie lupango ndipo nilete suluhu.
Mkuu Father of All huwa comment zako zinanifurahisha sana kila ambacho nafikiria kukiandika nakuta tayari umeshakidondosha utafikiri Mimi na wewe ni mapacha
 
Last edited by a moderator:
Huyo nae anatakiwa kupotezwa kimya kimya kesha kuwa kirusi
 
ukosefu wa ajira ni bomu linalolipuka sasa

Mkuu, hii ni kweli kbs, watu wanaangalia vurugu badala ya kuangalia the cause. Ni nani mwenye kazi rasmi ataiacha na kwenda kufanya vurugu? Tukubali tukatae,bomu.Linalipuka sasa.
 
Haya yote yanayutojea sasa ni bomu alilosema El linaanza kulipuka.yote haya ni ukosefu wa ajira nahakika Kama ajira zingekuwepo pasingepatikana vijana wala wazee ambao wangekuwa tayari kuacha kazi ili akaandamane.Huu ni mwanzo tutashuudia mengi kwenye chaguzi zijazo
 
Mkapa tunakumisijeee watu walikimbilia mombasa km wakimbizi sasa hv tuna viongozi wa poleee sanaaa Mkapa rudi uwe rais japo kwa siku 2 tu usambaratishe hawa mazezeta
 
TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.

Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
Ila amewataka wananchi wawe na subra na watunze Amani hadi hapo kesho laasir.
Sh Azzan anasema ccm,Jeshi la polisi na Jeshi la wananchi Tanzania wamehusika kwa habari waliozipata.
Inasemekana walomteka walikuwemo ma jeshi 2 na polisi wa ffu 2 na viongozi wa ccm.
Tunaiman Amir Farid bado yuhai na yupo hapa hapa Zanzibar.
Safari hii mpaka kieleweke.
Waislamu hakuna kurudi nyuma biidhni llah tutampata Amir Farid


source ;fb page ya jumuiya ya uamsho(T)

Huyo Sh.amir azzan yeye hajakamatwa? anatakiwa akamatwe asaidie polisi huenda ndo wamemficha amir farid ili vurugu ziongezeke zanzibar.Kabla hayo masaa 26 hayajaisha shehe huyo akamatwe aunganishwe na wenzake.yasije yakatokea yaliyotokea miaka ya nyuma watu wakakimbilia mombasa.
 
Back
Top Bottom