Tukumbuke kuwa katika uchaguzi wa 2001 jumuia ya Uamsho ilikuwa ni mawakala (observers) wa Marekani kusimamia uchaguzi na waliwakushanyia report na takuwimu za Uamsho na zawangalizi wengine wa kimataifa zililingana ZANZIBAR. Sasa kumwambia Marekani /western kuwa Uamsho ni tishio kwa dunia yani ni magaidi hili nikujidanganya wahafidhina, maana huwezi kuwafananicha Uamsho na makundi haramu ya ugaidi kama Buharamu au Al Qaida it is fareway.
Uamsho imesajiliwa kihalali na Serekali ya Mapinduzi ya watu wa Zanzibar ambayo ina %99 ya wananchi wake ni waislamu, na maadai ya Uamsho hayahusu mizozo ya kidini maana wananchi wake ni waislamu assilia hio. Kwa hio hakuna mivutano hapa kwetu Zanzibar ya Kidini tokea enzi hio, sera za uamsho ziko wazi na zinakubaliwa na wananchi wa Zanzibar katika kutetea na kudai haki na usawa wa nchi yetu na viongozi wetu wa smz chini ya Muungano ndio walengwa.
Laakini kwa zichukuwa Taka taka zao zenye kunuka kuzizika uani kwao basi wanataka kuzisukumiza kwengine, ndio hutafuta msada wa kufanya kama zanzibar nako kuna ugaidi ndio hukerwa na Ndevu, Majina ya Allah, viguo vifupi,etc. Ndio ukaona huwatuma vijana wao wa Uvccm Janjawi waliowapa Mafunzo ya Udundu na kuwalicha sumu za Ubaguzi wachome Makanisa ,waibe na wavunje Bar ili wapate mwanya wazanzibar ya leo kila mtu ana simu ya mchina haaaaaa habari mpaka za giningi zinapatikana seuze za uamshoo hehee mchina ukitaka habari za space utazipata njia pekee ya kuzuia uamsho ni kuzuiya kampuni za simu zisitoe GB za internent lakini hii ni bure sababu watu watapogiana simu.
CCM tizameni nini uamsho wanakidai ikilchobaki ccm magamba mubadilishe sera ili ziendane na matakwa ya watu sera za CCM za sasa ni sera za STALIN NA LENEN wa russia ya enzi hizo kukamata watu kuuwa watu kunyowa watu ngozi za kichwa kuchoma makanisa kuchoma bar huu ni upuuzi wa kimagamba sasa kitu cha msingi ccm fikirieni njia na sera nzuri za kudumisha muungano uwe wa kiuchumi kijamii na uweze kukabiliana na mawazo ya wakati wahafithina wako ulimwengu wa kaburini wenyewe wako haii wanatembeekuipaka matope Jumuki .