Wamunzengo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 810
- 321
Kamwewe nimekukubali, kwa kweli kuna mkanganyiko mkubwa sana linapokuja swala la kutenganisha dini na siasa. DINI NA SIASA HAVITENGANI. Kama kuna mtu anawadanganya watu kuvitenganisha basi ana malengo yake. LABDA KAMA NI MBUMBUMBU asiyeijua dini yake. Siasa ni tawi la DINI.