UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

Status
Not open for further replies.
Mkuu Bocho naona umeshikilia unyasi ambao ungependa uwe ukweli kwako peke yako.

Siyo ajabu kuwa kuna watu ndani ya kanisa au misikiti kuna wahalifu vile vile.

Lakini katika hili unakuwa subjective kwa sababu unazozijua.
Sidhanii kwamba umefikia uwezo wako wa mwisho kufukuri na kupambanua kuwa mauaji ya Padre Mushi si moja ya matukio amabayo wewe ungependa ieleweke kama fall out ya biashara ya madawa ya kulevya.

Mtu wa maana atauliza unaficha nini?

Kwanini una rule out uwezekano wa kuwa yale ni mauaji ya kulipiza kisasi? Ni kipi kinachokushinda kuweka huo uwezekano badala ya kukimbilia hypothesis ambayo haijathibitika.

Mimi naamini kuwa inawezekana kabisa mauaji yale ni ya kulipiza kisasi kwa watu ambao wamekosana au kudhulumiana. Wazanzibari wangemchinja ingekuwa ni wao kwa vile naamini hawana silaha. Think outside the grid kaka.
 
Kwa nini tuandikie mate, the truth will come out sooner than later.
Ninawaamini sana vyombo vyetu wewe subiri utapata jibu lako tu.
 
Kwa nini tuandikie mate, the truth will come out sooner than later.

Hiyo kauli ndiyo iliyokuwa inatakiwa kutolewa na mtu mwenye busara kabla ya yale uliyokuwa umeyatanguliza.

Tunyamaze tusubiri huo unaoitwa uchunguzi.
 
Hiyo kauli ndiyo iliyokuwa inatakiwa kutolewa na mtu mwenye busara kabla ya yale uliyokuwa umeyatanguliza.

Tunyamaze tusubiri huo unaoitwa uchunguzi.
Umesahau ku quote na sentensi ya mwisho-vyombo vyetu vitafanya kazi yake WEWE SUBIRI UTPATA JIBU LAKO.
 
kuuwawa kwa padri evarist mushi kumetokea huku vyombo vya dola vikiwa vinaangalia upande mwingine, pamoja na majigambo ya kundi la uamsho.

Hii ni dalili tosha kuwa hizi moves ni coordinated na si ajabu kupitia wafadhili wao kutoka uarabuni.
Katika matukio yote imebidi watoke askari polisi toka makao makuu dsm waliongozwa na kamanda sirro, kutuliza munkari wa uamsho zanzibar.

Hapa tunajiuliza inakuwaje fujo zile za kwanza(kuchoma makanisa) zingetokea bila polisi zanzibar kupata habari za intellejensia?
Uamsho sasa wameenda mbali zaidi na kutoa barua ya yale yatakayo jiri, ikiwa ni pamoja na kuua makafiri na kuchoma makanisa zaidi. Hili tumeliona, padre mkenda kapigwa risasi na padre e mushi kauwawa.

Polisi zanzibar kimya.
Tetesi zina sema matayarisho ya fujo hizi ni ya muda mrefu. Hata kamanda wa polisi zanzibar, mussa ali mussa, anavyoonekana katika luninga akibabaika siyo bure, ni uamsho sympathiser.

Na kwa vyovyote vile tatizo hili ni la kidini/kisiasa na ushiriki wa cuf katika serikali ya umoja umehakikisha kuparalyse sytem za serikali ya zanzibar into inaction.

zanzibar kila mtu ni uamsho...kuanzia karume mkubwa , amani karume...sheni...seif...polisi wote...bilal nae uamsho salmi uamsho....lakini hawachukii ukristo bali wana chukia ukoloni wa tanganyika....huu ndo ukweli...utamuana anakuchekeea sijui rais wa znz ...lakini ndani ya dhati yake...anajua ukweli..na hapendi....ukoloni....na uamsho origin ndo wameamsha watu walio kua wamelala....uhalifi ni kitu chengine...na suala kuamshana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom