UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

Status
Not open for further replies.

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,625
Reaction score
14,589
Kuuwawa kwa Padri Evarist Mushi kumetokea huku vyombo vya dola vikiwa vinaangalia upande mwingine, pamoja na majigambo ya kundi la UAMSHO.

Hii ni dalili tosha kuwa hizi moves ni coordinated na si ajabu kupitia wafadhili wao kutoka Uarabuni.
Katika matukio yote imebidi watoke askari polisi toka makao makuu DSM waliongozwa na Kamanda Sirro, kutuliza munkari wa Uamsho Zanzibar.

Hapa tunajiuliza inakuwaje fujo zile za kwanza(kuchoma makanisa) zingetokea bila polisi Zanzibar kupata habari za intellejensia?
UAMSHO sasa wameenda mbali zaidi na kutoa barua ya yale yatakayo jiri, ikiwa ni pamoja na kuua makafiri na kuchoma makanisa zaidi. Hili tumeliona, Padre Mkenda kapigwa risasi na Padre E Mushi kauwawa.

Polisi Zanzibar kimya.
Tetesi zina sema matayarisho ya fujo hizi ni ya muda mrefu. Hata Kamanda wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, anavyoonekana katika luninga akibabaika siyo bure, ni Uamsho sympathiser.

Na kwa vyovyote vile tatizo hili ni la kidini/kisiasa na ushiriki wa CUF katika serikali ya umoja umehakikisha kuparalyse sytem za serikali ya Zanzibar into inaction.
 
Pigia mstari.
Wana 'nguvu' hadi serikalini.
 
Tokea siku ya kwanza kikundi hiki cha kigaidi UAMSHO kisajiliwe tayari nilishajua hawa magaidi wana baraka zote za serikali. Inakuwa ngumu sana kumeza ukweli, wapo waislam wengi sana ni marafiki wazuri tu wa wakristo na tunaishi vizuri kama ndugu, lakini hii haipingi ukweli kwamba Islam kwa namna moja au nyingine ni breeding ground ya magaidi. Hasa hasa Zanzibar.
 
Ni kweli uislamu siyo ugaidi na mafundisho yao ni mazuri na huendana na ustaraabu ila kuna hao akina yakhe bwana wanao tafasiri vibaya kurani ni watu wa ajabu sana. Hata bara wapo waislamu wajinga wajinga wenye kuelewa vibaya tafasiri. Unaweza kuta miongoni mwao wanadhani nchi ikiwa ya kiislamu basi watajitawala vyema kumbe hawajui waarabu ambao ndiyo chimbuko la dini wanawaona wao kama nyani na hawawapendi hata kama wakienda arabuni tena wanaweza uawa hata kama ni waislamu, lakini wao wanajiona ni kitu kimoja badala ya kuthamini udugu tuliona nao watanzania.
 
Askofu shao, padre mkenda na padre mushi wa huko zanzibar. Mbona wote ni wachagga?
 
Mkuu UAMSHO ni zao la Seif Sherrif Hamad, na haya mauaji na mipango yote ni jumuisho la zile safari zake za "ugonjwa" kwenda Uarabuni kwa mfululizo. katika miaka miwili iliyopita.

Ni kweli Uislamu si tatizo hapa na tumeishi kama ndugu na waislamu hata kuoleana kwa miaka mingi tu. Tatizo hapa ni watu wanautumia Uislamu kisiasa, UAMSHO ni CUF na CUF ni uamsho.

Hata hivyo nashindwa kuona ni vipi mabaraza yetu ya ulinzi na usalama wameshindwa kuona kuja kwa haya matatizo ambayo yanaweza kuwa explosive pale upande wa pili ukiamua kuwa enough is enough.
 
Weusi wa Darful sudani waligoma kuungana na John Garang ktk kudai haki yao dhidi ya waarabu walioshika serikali kwa kusema kwamba wao na waarabu ni Ndugu yani Damu moja maana wao ni WAISLAMU hivyo weusi wakristo wasiwahesabu kwamba ni wenzao...Baada ya weusi wa kusini kushinda dhidi ya bashiri kiasi cha kupata nafasi ktk serikali ya Sudani wale weusi wa Darfu na wao wakaanza kudai na serikali ya bashiri ikawaambia mkajiunge na weusi wenzenu wa Kusini maana wapo kwenye mipango ya maendeleo chini ya UN walipo bisha Bashir akawapa silaha vijana wakiarabu wawamalize weuusi wa Darfur na muda mfupi zaidi ya wausi 1m wameuawa...Nachotaka kusema ni kwamba inapofika ishu ya maendeleo hakuna itikadi ya dini ila kwa waarabu ni rangi kwanza kama alivyofanya Bashiri..Mmoja wa waathirika aliyepoteza familia yake yote alisema najuta kwanini nilidharau waafrika wenzangu kwa kigezo cha uislamu maana Waislamu wenzangu wameua wanangu na mke wangu na nimebaki peke yangu...
 
QUOTE=mugayasida;5727897]Weusi wa Darful sudani waligoma kuungana na John Garang ktk kudai haki yao dhidi ya waarabu walioshika serikali kwa kusema kwamba wao na waarabu ni Ndugu yani Damu moja maana wao ni WAISLAMU hivyo weusi wakristo wasiwahesabu kwamba ni wenzao...Baada ya weusi wa kusini kushinda dhidi ya bashiri kiasi cha kupata nafasi ktk serikali ya Sudani wale weusi wa Darfu na wao wakaanza kudai na serikali ya bashiri ikawaambia mkajiunge na weusi wenzenu wa Kusini maana wapo kwenye mipango ya maendeleo chini ya UN walipo bisha Bashir akawapa silaha vijana wakiarabu wawamalize weuusi wa Darfur na muda mfupi zaidi ya wausi 1m wameuawa...Nachotaka kusema ni kwamba inapofika ishu ya maendeleo hakuna itikadi ya dini ila kwa waarabu ni rangi kwanza kama alivyofanya Bashiri..Mmoja wa waathirika aliyepoteza familia yake yote alisema najuta kwanini nilidharau waafrika wenzangu kwa kigezo cha uislamu maana Waislamu wenzangu wameua wanangu na mke wangu na nimebaki peke yangu...[/QUOTE]

Bahati mbaya huku kwetu wamejaa wajinga wengi zaidi hata ya hao weusi wa Darfur. Mtu anavaa gadi ili aonekane eti anafanana fanana na mwarabu na anaona fahari kubwa kweli ukimwita mwarabu!
 
Mimi naamini kuna uhusiano mzuri tu kati ya baadhi waislamu na wakristo huko zanzibar maana kama kuna makanisa tangu enzi hizo na mpaka leo ni wazi hali haikuwa kama sasa...Kinachofanyika visiwani Zanzibar ni ugaidi unaoongozwa na wafuatao
Maalim Seif Sharif Hamadi
Ismail Jussa
Ust.Ilunga Hamisi Kapungu
Sh.Ponda Issa Ponda
Radio Imaan
JK
Bilal na S.Wassira
S.Mwema na Musa Ali Mussa
 
Askofu shao, padre mkenda na padre mushi wa huko zanzibar. Mbona wote ni wachagga?

usilolijua ni kama usiku wa giza.

Kanisa katoliki Zanzibar wanachukua/somesha/recruit mapadre toka dayosisi/seminary za kilimanjaro. kila jimbo lina taratibu zake............
 
Kuuwawa kwa Padri Evarist Mushi kumetokea huku vyombo vya dola vikiwa vinaangalia upande mwingine, pamoja na majigambo ya kundi la UAMSHO.

Hii ni dalili tosha kuwa hizi moves ni coordinated na si ajabu kupitia wafadhili wao kutoka Uarabuni.
Katika matukio yote imebidi watoke askari polisi toka makao makuu DSM waliongozwa na Kamanda Sirro, kutuliza munkari wa Uamsho Zanzibar.

Hapa tunajiuliza inakuwaje fujo zile za kwanza(kuchoma makanisa) zingetokea bila polisi Zanzibar kupata habari za intellejensia?
UAMSHO sasa wameenda mbali zaidi na kutoa barua ya yale yatakayo jiri, ikiwa ni pamoja na kuua makafiri na kuchoma makanisa zaidi. Hili tumeliona, Padre Mkenda kapigwa risasi na Padre E Mushi kauwawa.

Polisi Zanzibar kimya.
Tetesi zina sema matayarisho ya fujo hizi ni ya muda mrefu. Hata Kamanda wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, anavyoonekana katika luninga akibabaika siyo bure, ni Uamsho sympathiser.

Na kwa vyovyote vile tatizo hili ni la kidini/kisiasa na ushiriki wa CUF katika serikali ya umoja umehakikisha kuparalyse sytem za serikali ya Zanzibar into inaction.
Nani atamkamata mwenzie kama wahusika ni hawa!?
Maalim Seif Sharif Hamadi - Kinara
Ismail Jussa=========makamu
Ust.Ilunga Hamisi Kapungu=mkuu wa itifaki
Sh.Ponda Issa Ponda======waziri mkuu
Radio Imaan==========Proganda
JK================Nyuma ya pazia atajitokeza 2016 na kutoa yale maazimio aliyopewa Abuja Nigeria
Bilal na S.Wassira======Atasilimishwa
S.Mwema na Musa Ali Mussa-Usalama wa Uamsho na waislamu
 
Kuuwawa kwa Padri Evarist Mushi kumetokea huku vyombo vya dola vikiwa vinaangalia upande mwingine, pamoja na majigambo ya kundi la UAMSHO.

Hii ni dalili tosha kuwa hizi moves ni coordinated na si ajabu kupitia wafadhili wao kutoka Uarabuni.
Katika matukio yote imebidi watoke askari polisi toka makao makuu DSM waliongozwa na Kamanda Sirro, kutuliza munkari wa Uamsho Zanzibar.

Hapa tunajiuliza inakuwaje fujo zile za kwanza(kuchoma makanisa) zingetokea bila polisi Zanzibar kupata habari za intellejensia?
UAMSHO sasa wameenda mbali zaidi na kutoa barua ya yale yatakayo jiri, ikiwa ni pamoja na kuua makafiri na kuchoma makanisa zaidi. Hili tumeliona, Padre Mkenda kapigwa risasi na Padre E Mushi kauwawa.

Polisi Zanzibar kimya.
Tetesi zina sema matayarisho ya fujo hizi ni ya muda mrefu. Hata Kamanda wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, anavyoonekana katika luninga akibabaika siyo bure, ni Uamsho sympathiser.

Na kwa vyovyote vile tatizo hili ni la kidini/kisiasa na ushiriki wa CUF katika serikali ya umoja umehakikisha kuparalyse sytem za serikali ya Zanzibar into inaction.

Hakika alikuwa akiongea kwa hofu na hata ilifikia akiahinisha kuwa kama ameuawa kwa kukomoana ...nakasema au kama ameuawa kwa mambo yetu haya ya siku hizi.... Nilijiuliza mambo gani ya siku hizi??? Je mambo yao ya UAMSHO? maana hayo ndiyo ya siku hizi hayakuwepo tangu awali, Karume na Nyerere hawakuwahi kuviona hivi vitu.
 
Ni kweli uislamu siyo ugaidi na mafundisho yao ni mazuri na huendana na ustaraabu ila kuna hao akina yakhe bwana wanao tafasiri vibaya kurani ni watu wa ajabu sana. Hata bara wapo waislamu wajinga wajinga wenye kuelewa vibaya tafasiri. Unaweza kuta miongoni mwao wanadhani nchi ikiwa ya kiislamu basi watajitawala vyema kumbe hawajui waarabu ambao ndiyo chimbuko la dini wanawaona wao kama nyani na hawawapendi hata kama wakienda arabuni tena wanaweza uawa hata kama ni waislamu, lakini wao wanajiona ni kitu kimoja badala ya kuthamini udugu tuliona nao watanzania.
usiume maneno bro! Hayo unayodai mafundisho mazuri yaliyomo kwenye uislamu ungetubandikia nasi tuyaone! Ndipo tunalaumu tulipo angukia badala ya tulipo jikwaa!
 
usilolijua ni kama usiku wa giza.

Kanisa katoliki zanzibar wanachukua/somesha/recruit mapadre toka dayosisi/seminary za kilimanjaro. Kila jimbo lina taratibu zake............

basi, umelitoa giza. Kumbe ndio hivyo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom