UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

Status
Not open for further replies.
Kuuwawa kwa Padri Evarist Mushi kumetokea huku vyombo vya dola vikiwa vinaangalia upande mwingine, pamoja na majigambo ya kundi la UAMSHO.

Hii ni dalili tosha kuwa hizi moves ni coordinated na si ajabu kupitia wafadhili wao kutoka Uarabuni.
Katika matukio yote imebidi watoke askari polisi toka makao makuu DSM waliongozwa na Kamanda Sirro, kutuliza munkari wa Uamsho Zanzibar.

Hapa tunajiuliza inakuwaje fujo zile za kwanza(kuchoma makanisa) zingetokea bila polisi Zanzibar kupata habari za intellejensia?
UAMSHO sasa wameenda mbali zaidi na kutoa barua ya yale yatakayo jiri, ikiwa ni pamoja na kuua makafiri na kuchoma makanisa zaidi. Hili tumeliona, Padre Mkenda kapigwa risasi na Padre E Mushi kauwawa.

Polisi Zanzibar kimya.
Tetesi zina sema matayarisho ya fujo hizi ni ya muda mrefu. Hata Kamanda wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, anavyoonekana katika luninga akibabaika siyo bure, ni Uamsho sympathiser.

Na kwa vyovyote vile tatizo hili ni la kidini/kisiasa na ushiriki wa CUF katika serikali ya umoja umehakikisha kuparalyse sytem za serikali ya Zanzibar into inaction.

mkuu me naona tulete makomandoo wa israel ili waje kufanya upelelezi huko z'bar maana naona wamezd kutuchezea
 
Me naona inabidi tupeleke makomandoo wa israel huko z'bar ili wafanye upelelezi maana hawa wa........! Wanatuchezea sana
 
Weusi wa Darful sudani waligoma kuungana na John Garang ktk kudai haki yao dhidi ya waarabu walioshika serikali kwa kusema kwamba wao na waarabu ni Ndugu yani Damu moja maana wao ni WAISLAMU hivyo weusi wakristo wasiwahesabu kwamba ni wenzao...Baada ya weusi wa kusini kushinda dhidi ya bashiri kiasi cha kupata nafasi ktk serikali ya Sudani wale weusi wa Darfu na wao wakaanza kudai na serikali ya bashiri ikawaambia mkajiunge na weusi wenzenu wa Kusini maana wapo kwenye mipango ya maendeleo chini ya UN walipo bisha Bashir akawapa silaha vijana wakiarabu wawamalize weuusi wa Darfur na muda mfupi zaidi ya wausi 1m wameuawa...Nachotaka kusema ni kwamba inapofika ishu ya maendeleo hakuna itikadi ya dini ila kwa waarabu ni rangi kwanza kama alivyofanya Bashiri..Mmoja wa waathirika aliyepoteza familia yake yote alisema najuta kwanini nilidharau waafrika wenzangu kwa kigezo cha uislamu maana Waislamu wenzangu wameua wanangu na mke wangu na nimebaki peke yangu...
Mkuu umenena vema sana.
 
Mwalimu Nyerere alikuwa mjanja. Alichofanya ni kupeleka wabara kuwa ndiyo wanausalama, wanajeshi na police. The security system now is completely shamble. The UAMSHO and co- are just operating with impunity.
 
I couldnt agree with you better.

System yetu ya usalama used to be one of the best in these parts.
Preventive measures Nyerere aliziperfect.
Miaka ya " kuchafuka kwa hali ya hewa" 1984/85 Nyerere aliwa pre-empt waliotaka kuleta machafuko kama haya.

Insecurity inayoanza kujitokeza inaashiria kila mtu ajilinde kivyake, kutokana na kushindwa system nzima ya ulinzi na usalama.
 
Kwenye maswala ya ulinzi, pamoja na kwamba watu wengine hawakukubaliana na utaratibu aliokuwa anatumia Mwalimu Nyerere, lakini katika huo, amewezesha Tanzania kuwa utulivu.

Hata nchi zilizoendelea, ulinzi unakuwa ni first priority na serikali ziko tayari kuweka hata hii kitu inaitwa haki za binadamu pembeni ili kukabiliana na threat yeyote. Angalia baada ya USA kudonolewa na Osama bin laden, nchi imehakikisha inatumia resources zake zote kuhakikisha mambo kama yale yanagundulika mapema kabla hayajatokea. Wanasema usipoziba ufa utajenga ukuta.

Our country security system is selling us cheap to maghaidi
 
Wakristo wanataka kufanya watu vichaa.... muuane wenyewe kuchoma kanisa wenyewe, ili zanzibar isiwe na mamlaka kamili , sad to see some people they can buy this cr@p kwamba UAMSHO ndio wanahusika ...
 
Me naona inabidi tupeleke makomandoo wa israel huko z'bar ili wafanye upelelezi maana hawa wa........! Wanatuchezea sana
Mkuu miaka yote hii kitu ya ulinzi wetu tulikuwa twafanya wenyewe, tena kwa ufanisi mkubwa sana.
Wengine twajiuliza kulikoni?
 
Weusi wa Darful sudani waligoma kuungana na John Garang ktk kudai haki yao dhidi ya waarabu walioshika serikali kwa kusema kwamba wao na waarabu ni Ndugu yani Damu moja maana wao ni WAISLAMU hivyo weusi wakristo wasiwahesabu kwamba ni wenzao...Baada ya weusi wa kusini kushinda dhidi ya bashiri kiasi cha kupata nafasi ktk serikali ya Sudani wale weusi wa Darfu na wao wakaanza kudai na serikali ya bashiri ikawaambia mkajiunge na weusi wenzenu wa Kusini maana wapo kwenye mipango ya maendeleo chini ya UN walipo bisha Bashir akawapa silaha vijana wakiarabu wawamalize weuusi wa Darfur na muda mfupi zaidi ya wausi 1m wameuawa...Nachotaka kusema ni kwamba inapofika ishu ya maendeleo hakuna itikadi ya dini ila kwa waarabu ni rangi kwanza kama alivyofanya Bashiri..Mmoja wa waathirika aliyepoteza familia yake yote alisema najuta kwanini nilidharau waafrika wenzangu kwa kigezo cha uislamu maana Waislamu wenzangu wameua wanangu na mke wangu na nimebaki peke yangu...
Ahsante kwa taarifa nzuri.
 
I couldnt agree with you better.

System yetu ya usalama used to be one of the best in these parts.
Preventive measures Nyerere aliziperfect.
Miaka ya " kuchafuka kwa hali ya hewa" 1984/85 Nyerere aliwa pre-empt waliotaka kuleta machafuko kama haya.

Insecurity inayoanza kujitokeza inaashiria kila mtu ajilinde kivyake, kutokana na kushindwa system nzima ya ulinzi na usalama.

Masopakyindi saa zingine unarudi kwenye senses zako zote tano pale unapona maslahi ya nchi yanaingizwa kwenye lindi la damu ,ukweli ni kuwa serikali ya chama chako CCM imedharau sana kuweka hali ya usalama wa nchi kwenye tahadhari na jicho pana nakumbuka kuna mwana JF alikuja hapa akasema ameshuhudia nchi jirani toka pande zote wamesogeza bim za mipaka ya nchi tukiwa hatujakaa sawa tukasikia waganda,wanyarwanda na warundi wote wameingiza mifugo kwenye ardhi ya watanzania na huku wakiuua watanzania
warundi,wakongo,wanyarwanda wanafanya uharamia ziwa tanganyika na kuuwa watanzania
kanali Masawe mkuu wa mkoa Kagera alisikika akisema vikundi vya kigaidi burundi vinafanya mapigano ndani ya ardhi ya tanzania
wakerewa,na wavuvu wengine ziwa victoria hawana usalama wa maisha yao ziwani kwa sababu wanavamiwa na maharamia wa kenya na uganda
mbuga zetu zimevamiwa na majangiri wa kisomali
ndege za malawi zimevuka mpaka mara nyingi kupita kiasi
kuna vita ya wenyewe kwa wenyewe hapa nchini kati ya wakristo na waislamu wakigombania uchinjanji ,wafugaji na wakulima,wachimba madini na serikali,wadai gesi na polisi,viongozi na wananchi wakigombania ardhi ,polisi kuua raia bila kosa
na sasa ndio hayo ya huko zanzniba ambapo hata Kamanda wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa unamuona kabisa anabariki yaliyotokea anaema tuache jeshi la polisi wachunguze huku yeye akiwa tayari anamtuhumu padri yaani kwa kweli hali ya nchi kiusalama iko vibaya sana na kwa sababu kwa maoni yangu viongozi wengi kwenye nafasi za kiulinzi wamewekwa kwa na raisi kwa sababu ya urafiki na udugu imejionyesha wazi kwamba kuna udhaifu mkubwa kwenye jeshi la polisi,idara ya usalama,kitengo cha uhamiaji,polisi wanyama ,na kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mikoa kuwa na wenyeviti ambao wengi ni washikaji wa Raisi ambao kwa kweli wanaangalia zaidi maslahi yao na ya viongozi wao
 
wakristo wanataka kufanya watu vichaa.... Muuane wenyewe kuchoma kanisa wenyewe, ili zanzibar isiwe na mamlaka kamili , sad to see some people they can buy this cr@p kwamba uamsho ndio wanahusika ...
teh teh teh!porojo!
 
Kuuwawa kwa Padri Evarist Mushi kumetokea huku vyombo vya dola vikiwa vinaangalia upande mwingine, pamoja na majigambo ya kundi la UAMSHO.

Hii ni dalili tosha kuwa hizi moves ni coordinated na si ajabu kupitia wafadhili wao kutoka Uarabuni.
Katika matukio yote imebidi watoke askari polisi toka makao makuu DSM waliongozwa na Kamanda Sirro, kutuliza munkari wa Uamsho Zanzibar.

Hapa tunajiuliza inakuwaje fujo zile za kwanza(kuchoma makanisa) zingetokea bila polisi Zanzibar kupata habari za intellejensia?
UAMSHO sasa wameenda mbali zaidi na kutoa barua ya yale yatakayo jiri, ikiwa ni pamoja na kuua makafiri na kuchoma makanisa zaidi. Hili tumeliona, Padre Mkenda kapigwa risasi na Padre E Mushi kauwawa.

Polisi Zanzibar kimya.
Tetesi zina sema matayarisho ya fujo hizi ni ya muda mrefu. Hata Kamanda wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, anavyoonekana katika luninga akibabaika siyo bure, ni Uamsho sympathiser.

Na kwa vyovyote vile tatizo hili ni la kidini/kisiasa na ushiriki wa CUF katika serikali ya umoja umehakikisha kuparalyse sytem za serikali ya Zanzibar into inaction.

kweli mkuu kama kanisa katoliki linavo sambaratisha kwa njia zote serikali ya kikwete kwa sababu tu ni muislam...kwa kushirikiana na wakatoliki serikalini....hivyo zanzibar na wao baada ya kuona kumbe huku bara akishika urais muislam nongwa na wao wameingia upande wa ...Uamsho
lakini uamsho wako ndani na Pengo yupo nje
 
Hao labda Al shapumbu....
 
Mwenye macho haambiwi tazama, wengine tulishayaona haya tokea miaka ya tisini na yatafika Tanganyika kwa masihara ya watawala wetu.
 
Me naona inabidi tupeleke makomandoo wa israel huko z'bar ili wafanye upelelezi maana hawa wa........! Wanatuchezea sana
Sio huko pekee, waenee na Tanganyika. Tumeishaingiliwa nchi yote mkuu.
 
Mkuu UAMSHO ni zao la Seif Sherrif Hamad, na haya mauaji na mipango yote ni jumuisho la zile safari zake za "ugonjwa" kwenda Uarabuni kwa mfululizo. katika miaka miwili iliyopita.

Ni kweli Uislamu si tatizo hapa na tumeishi kama ndugu na waislamu hata kuoleana kwa miaka mingi tu. Tatizo hapa ni watu wanautumia Uislamu kisiasa, UAMSHO ni CUF na CUF ni uamsho.

Hata hivyo nashindwa kuona ni vipi mabaraza yetu ya ulinzi na usalama wameshindwa kuona kuja kwa haya matatizo ambayo yanaweza kuwa explosive pale upande wa pili ukiamua kuwa enough is enough.

mie pia sina imani sana na Karume jnr rais mstaafu zanzibar. hawa watu wanaochoma makanisa na kuwauwa watumishi wa Mungu hawafanyi hivi kwa sababu ya dini. hii ni siasa. wabaya wa Tanzania wanajua fika kuwa ni dini tu ndo inaweza wabomoa wa Tz - ukabila wala na hata kupitia vyama hata - ni dini tu.

Hofu yangu ni watu hawa kumchagua kiongozi wa kiislamu na kumuua na kusambaza propaganda kuwa wakristo wamelipiza kisasi - na hapo ndipo watakapo fanikiwa kiasi kikubwa sana. malengo yao hayana mslahi kwa waislamu na wakristo wa nchi hii.

Jamani kumbukeni wakati tunatawaliwa madhehebu kama Jehova yanazopinga kuheshimu utawala wa nchi hayakuwepo - Mwingereza asingekubali. Lakini madhehebu kama haya yalingoja tumepata uhuru ndipo wakaja na sera kwamba kuimba wimbo wa Taifa na kumpigia saluti kiongozi wa nchi ni dhambi kwani yeye si Mungu - na mengine mengi.

Serikali ikubali kufanya kazi na mataifa ku uproot kiini cha matatizo haya BILA KUPEPESA MACHO au la mifano ya french revolutions si vibaya kuiiga.
 
Rejea kauli ya Seif Sharrif kama makamu wa 1 wa rais dhidi ya waziri wa Mambo ya ndani Nchimbi ndiyo utagundua kuwa naye ni miongoni mwa Uamsho, kisha malizia na waraka wa uamsho.
 
Wakristo wanataka kufanya watu vichaa.... muuane wenyewe kuchoma kanisa wenyewe, ili zanzibar isiwe na mamlaka kamili , sad to see some people they can buy this cr@p kwamba UAMSHO ndio wanahusika ...

gaidi bwana ingekuwa wakristo wamefanya hivyo wangekuwa weshakamatwa wote... hii ni issue ya kuwabeba beba waislam ili kuficha ukweli... tutawafukuza kwenye mashule yetu, mahospitali yetu na kila kitu chetu muwe mnaenda kutibiwa na kusoma uarabuni.... mkichoma kanisa 100 tunaweza kuyajenga kwa siku tatu... tukichoma msikiti mmoja mtaujenga baada ya miaka kumi.. tena baada ya kuuana nyie kwa nyie... Muulize marehemu Gadaffi.
 
kweli mkuu kama kanisa katoliki linavo sambaratisha kwa njia zote serikali ya kikwete kwa sababu tu ni muislam...kwa kushirikiana na wakatoliki serikalini....hivyo zanzibar na wao baada ya kuona kumbe huku bara akishika urais muislam nongwa na wao wameingia upande wa ...Uamsho
lakini uamsho wako ndani na Pengo yupo nje

ohhh kumbe Alhasani mwinyi alikuwa kafiri.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom