UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

UAMSHO ina watu wake ndani ya SMZ

Status
Not open for further replies.
Askofu shao, padre mkenda na padre mushi wa huko zanzibar. Mbona wote ni wachagga?

Kama ungekuwa ni Mkatoliki ungeelewa sana ni kwanini Mapadre wengi wanaotoa huduma za kichungaji Zanzibar wengi wanatoka Mkoa wa Kilimanjaro ni utaratibu wa Kanisa Katoliki Jaribu kusona mada hii hapa:
The Church merely maintained its presence, coming under the Prefecture of Kilimanjaro, later under Mombasa. and then under the Archdiocese of Dar-es-Salaam with a Vicar here on the island. In 1963. it came under the Diocese of Morogoro until 1980 when the Diocese was formed under Bishop Bernard Ngaviliau.CSSp. During this time the Church was tolerated in a culture that continues to be Arabic in nature and Islamic in religion.

Prefecture ni zone kuwa chini ya ......Mfano hapo ni Zanzibar as a zone ya kidini kuwa chini ya Kilimanjaro.

 
umejuaje kama ni wachaga. Mkabila utamjua kwa maneno na matendo yake. Noted.

kila mtu ana kabaila. Na makabila ya tanzania yanajulikana. Kama si hivyo yasingekuwepo.
Badili Tabia amenijibu na kutoa ufafanuzi kuwa seminari za mkoa wa kilimanjaro ndio zunapeleka mapadre kule kwa utaratibu wa jimbo.
 
Binadamu tu wepesi wa kusahau. Tukijiuliza, nini kitakuwa kimebadilisha mawazo na malengo ya Seif Sharif Hamad kuwa tofauti na yale aliyokuwa nayo kipindi cha Utawala wa Mwalimu Nyerere.

alichofanya kwa sasa ni kupitia mlango wa nyuma ili kufanikisha malengo yake kirahisi. Kwa sasa yeye na kikundi chake wanafahamu kila kile kinachofanyika katika serikali ya Jamhuri. Inavyoonekana hata Rais wa serikli ya mapinduzi ya Zanzibar lao ni moja au kama siyo moja basi ameishakuwa ineffective.
 
kama ungekuwa ni mkatoliki ungeelewa sana ni kwanini mapadre wengi wanaotoa huduma za kichungaji zanzibar wengi wanatoka mkoa wa kilimanjaro ni utaratibu wa kanisa katoliki jaribu kusona mada hii hapa:
the church merely maintained its presence, coming under the prefecture of kilimanjaro, later under mombasa. And then under the archdiocese of dar-es-salaam with a vicar here on the island. In 1963. It came under the diocese of morogoro until 1980 when the diocese was formed under bishop bernard ngaviliau.cssp. during this time the church was tolerated in a culture that continues to be arabic in nature and islamic in religion.

Prefecture ni zone kuwa chini ya ......mfano hapo ni zanzibar as a zone ya kidini kuwa chini ya kilimanjaro.


nashukuru kwa kunielimisha.
 
Weusi wa Darful sudani waligoma kuungana na John Garang ktk kudai haki yao dhidi ya waarabu walioshika serikali kwa kusema kwamba wao na waarabu ni Ndugu yani Damu moja maana wao ni WAISLAMU hivyo weusi wakristo wasiwahesabu kwamba ni wenzao...Baada ya weusi wa kusini kushinda dhidi ya bashiri kiasi cha kupata nafasi ktk serikali ya Sudani wale weusi wa Darfu na wao wakaanza kudai na serikali ya bashiri ikawaambia mkajiunge na weusi wenzenu wa Kusini maana wapo kwenye mipango ya maendeleo chini ya UN walipo bisha Bashir akawapa silaha vijana wakiarabu wawamalize weuusi wa Darfur na muda mfupi zaidi ya wausi 1m wameuawa...Nachotaka kusema ni kwamba inapofika ishu ya maendeleo hakuna itikadi ya dini ila kwa waarabu ni rangi kwanza kama alivyofanya Bashiri..Mmoja wa waathirika aliyepoteza familia yake yote alisema najuta kwanini nilidharau waafrika wenzangu kwa kigezo cha uislamu maana Waislamu wenzangu wameua wanangu na mke wangu na nimebaki peke yangu...
awe

Bwana awe nawe daima mkuu, niko pamoja nawe
 
Hivi kweli wale wanaochoma makanisa kama ni wahuni tu wa mitaani na wale wanaoshambulia watumishi wa Mungu ni majambazi ya kawaida, mbona hakuna aliyetiwa mbaroni hata mmoja? Aidha hakuna Polisi na usalama wa taifa, au hao Poliso na usalama wa taifa wanawajua na wanakubaliana nao, lakini haiwezekani kabisa asikamatwe hata mmoja! Wanatuingiza mahali pa kuhisi kuwa serikali ipo nyuma ya matukio haya!! Serikali inafurahia wakristo kuuwawa na makanisa yao kuchomwa moto!!
 
Naunga mkono hoja hii mia kwa mia.Salama ya hii ni kuvunjwa mara moja kwa serikali ya umoja wa kitaifa.

Hawa CUF kwa vyovyote vile kama sii wote kuna baadhi yao wana mkono kwenye hii vurugu ya kidini Zanzibar.
 
Leo Saa kumi usiku Radio ya Kiislamu AL-Nur ilihamasisha kuua makafiri na kukalia ardhi yao kwani ni agizo la Allah
 
Mkuu UAMSHO ni zao la Seif Sherrif Hamad, na haya mauaji na mipango yote ni jumuisho la zile safari zake za "ugonjwa" kwenda Uarabuni kwa mfululizo. katika miaka miwili iliyopita.

Ni kweli Uislamu si tatizo hapa na tumeishi kama ndugu na waislamu hata kuoleana kwa miaka mingi tu. Tatizo hapa ni watu wanautumia Uislamu kisiasa, UAMSHO ni CUF na CUF ni uamsho.

Hata hivyo nashindwa kuona ni vipi mabaraza yetu ya ulinzi na usalama wameshindwa kuona kuja kwa haya matatizo ambayo yanaweza kuwa explosive pale upande wa pili ukiamua kuwa enough is enough.
Mkuu kwa hali hii namkumbuka sana NYERERE kwa nini alimtimua huyu jamaa CCM..Alikua na fikra na maono ya mbali sana huyu mzee....
 
Binadamu tu wepesi wa kusahau. Tukijiuliza, nini kitakuwa kimebadilisha mawazo na malengo ya Seif Sharif Hamad kuwa tofauti na yale aliyokuwa nayo kipindi cha Utawala wa Mwalimu Nyerere.

alichofanya kwa sasa ni kupitia mlango wa nyuma ili kufanikisha malengo yake kirahisi. Kwa sasa yeye na kikundi chake wanafahamu kila kile kinachofanyika katika serikali ya Jamhuri. Inavyoonekana hata Rais wa serikli ya mapinduzi ya Zanzibar lao ni moja au kama siyo moja basi ameishakuwa ineffective.

Kweli hii ni SMZ yote, na watauwa sana kijanja janja mpaka waruhusiwe kujitoa ndani ya Tanzania! Nashauri tavunje SMZ na mamlaka yote kuwa Daressalaam
 
Naunga mkono hoja hii mia kwa mia.Salama ya hii ni kuvunjwa mara moja kwa serikali ya umoja wa kitaifa.

Hawa CUF kwa vyovyote vile kama sii wote kuna baadhi yao wana mkono kwenye hii vurugu ya kidini Zanzibar.
Yap hata mimi nunga mkono kuvunjwa kwa hii serikali ya UMOJA WA KITAIFA....
 
Kweli hii ni SMZ yote, na watauwa sana kijanja janja mpaka waruhusiwe kujitoa ndani ya Tanzania! Nashauri tavunje SMZ na mamlaka yote kuwa Daressalaam

Kwa kasi hii, Hilo halina mjadala, Muungano uko njiani kuelekea kaburini. Sign zote zinazoashiria hicho ziko wazi, kwa sasa hata vyombo vya ulinzi kati ya bara na visiwani vimeanza kutegeana katika majukumu ya ulinzi
 
Naunga mkono hoja hii mia kwa mia.Salama ya hii ni kuvunjwa mara moja kwa serikali ya umoja wa kitaifa.

Hawa CUF kwa vyovyote vile kama sii wote kuna baadhi yao wana mkono kwenye hii vurugu ya kidini Zanzibar.

Ya Kuvunjwa sio serikali ya umoja bali ya Zanzibar yote kama ilivyovunjwa ya Tanganyika, SMZ yote ihamishwe Daressalaam na kuingizwa ndani ya Serikali Kuu
 
Ni kweli uislamu siyo ugaidi na mafundisho yao ni mazuri na huendana na ustaraabu ila kuna hao akina yakhe bwana wanao tafasiri vibaya kurani ni watu wa ajabu sana. Hata bara wapo waislamu wajinga wajinga wenye kuelewa vibaya tafasiri. Unaweza kuta miongoni mwao wanadhani nchi ikiwa ya kiislamu basi watajitawala vyema kumbe hawajui waarabu ambao ndiyo chimbuko la dini wanawaona wao kama nyani na hawawapendi hata kama wakienda arabuni tena wanaweza uawa hata kama ni waislamu, lakini wao wanajiona ni kitu kimoja badala ya kuthamini udugu tuliona nao watanzania.
Inashangaza maana hata huko Arabuni ambako wako wao tu hakukaliki. Hata mimi naamini hoja ya mleta mada kule kuunda serikali ya umoja wa Kitaifa ni kweli nia ni njema ila waliomo ndio wanatia shaka.

ZANZIBAR SI MAHALA SALAMA TENA SI KWA KUNYOA WALA KWA KUSUKA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom