Ualimu si ishu tena hasa masomo ya sanaa...

GOD 66

JF-Expert Member
Sep 3, 2015
637
250
Poleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wanaoendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo yafanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom mnayopata sahivi ili mje muifanyie biashara baadae.
 
jibwa

Member
Sep 2, 2015
42
95
poleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wana oendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo ya fanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom mnayopata sahiv ili mje muifanyie biashara baadae .........
Wataajiriwa tu hawezi kuwaacha miaka yote walimu bado ni watu wa muhimu sana
 
gachuru one

Senior Member
Oct 31, 2014
108
225
poleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wana oendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo ya fanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom mnayopata sahiv ili mje muifanyie biashara baadae .........
yaaan hapa nikuacha chuo na kurudi kulima kijijinu
 
Puyet Babel

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
3,597
2,000
Kwa walio mwaka wa kwanza, itapendeza zaidi wakubali kupoteza mwaka mmoja then mwakan waapply chuo kozi nyingine tofauti na ualimu!

Nb; ni kwa wenye uwezo wa kujitegemea pasi na boom
 
mhaka

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
472
250
Mpaka pale waliopo kazini waache kugawana topic za kufundisha, halaf utawasikia wanawaambia walim wa sayansi fundisheni hadi mkome! kujifanya mna uwezo mkubwa! ngoja sasa serikali itengeneze uhaba ili usawa upatikane.
 
Finder

Senior Member
Dec 7, 2016
197
250
poleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wana oendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo ya fanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom mnayopata sahiv ili mje muifanyie biashara baadae .........
Dah ila hapana asee sa wakiacha si kuna mda watahitajka Tena na waspatkane......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom