Ualimu si ishu tena hasa masomo ya sanaa...

Tena wangeanza mapema kujifunza ufundi cherehani au ujenzi Baed sijui bed na zile za udom zisizojulikana majina
 
ngoja umalize chuo ndo utajua... ulisoma uwalimu ili uwe daktari wa moyo..!!!
Nina miaka zaidi ya miwili tangu nimemaliza masomo na IT ndio niliyosoma na ndio inanipa ugali wa kila Siku, kuna washikaji wapo walisoma ualimu na sasa hivi wanafanya kwenye NGOS na wengine microfinance institutions cha kushangaza walimu wa JF tangu mwaka Jana wanalalamika ajira tu mpaka muda huu na MTU hajawahi kuomba taasisi yoyote anasubiri serikali imuajili ambayo haileweki.
 
poleni sana wadogo zetu mliochagua BAED kwa mwaka huu na wana oendelea na masomo ya ualimu wa sanaa kwa aliyo ya fanya sizonje ualimu wa sanaa si kipaumbele chenu tena anza kuwekeza kwenye boom mnayopata sahiv ili mje muifanyie biashara baadae .........
Forecasting ni kitu muhimu sana,otherwise you will find your self frustrated.
 
Mpaka pale waliopo kazini waache kugawana topic za kufundisha, halaf utawasikia wanawaambia walim wa sayansi fundisheni hadi mkome! kujifanya mna uwezo mkubwa! ngoja sasa serikali itengeneze uhaba ili usawa upatikane.
Unaemuongelea kashaajiliwa tyr... Ambaye hajaajiliwa atasema hivo!?
 
Mi nashindwa kuwaelewa wasomi wa kitanzania. Watu walikuwa wanasoma wakijiaminisha 100% kwamba wataajiriwa na serikali. Hili ndo linaleta matatizo kea watu wengi kiasi kwamba watu wanashindwa kuona njia nyingine ya kimaisha.

Kuna shule binafsi bado zinahitaji watu waliosoma lakini competent. Tatizo kama mtu ulitegemea uajiriwe na serikali ambayo mara nyingi cheti kinatosha we kuwa compentent, hapo tatizo ndo linapoaanzia.

Pili, Kuna uhaba wa walimu kweye vyuo vikuu hata kwa masomi hayo ya arts. Tatizo wengi hawalioni hili, kwamba wanaweza kusoma masters na hadi PHD kwasababu watu hawa hawapo wa kutosha. Watu wanafikria kurudi nyuma walikotoka kwenda kulima.

Tatu, ukishasoma mpaka level za masters bado unaweza ukatafuta kazi nchi nyingine. We hukusoma uajiriwe Tanzania tu. Kama Rwanda wameanzisha courses za Kiswahili na wanahitaji walimu wa lugha nyingine kama kiingereza. Hizi fursa zipo hata nchi kama za Burundi na nyinginezo.

Mi nashauri wasomi wa Tanzania mpanuue wigo wa kufikiri kiweza kuona hata mambo mengine. Siamini kwamba kazi zimeisha ila watu waliobobea (specialize) kwenye masomo fulani bado wanahitajika. Tujikite kujiendeleza kuliko kukakaa tunalalamika.
 
Huu ushauri haufai ni bora kujiingiza kwenye ujasiliamali hizo pesa utakazopoteza kusoma master na PhD na unafanya mambo mengi tu makubwa.
 
Back
Top Bottom