Young E-Star
New Member
- Oct 27, 2020
- 2
- 1
Hellow wana JF,
Nimeanzisha uzi huu ni kwamba mwanzo nilikuwa Naagiza bidhaa china kwa kutumia Aliexpress tangu 2018 lakini ilipofika mwaka huu mwanzoni oda zangu zilikuwa zinachelewa sana kufika lakini ilipofika mwezi wa tano oda nilizoagiza kipindi hicho mpaka eo sijapata hata mmoja sasa Nilitaka kujua je kuna yeyote aliyeagiza kipindi hicho na alipata? Na je nikiagiza sasa naweza nikapata?