UAE says three citizens held over Tanzania bombing, Only One from Kingdom held

UAE says three citizens held over Tanzania bombing, Only One from Kingdom held

Pengo amekwisha sema ni wenyewe wakatoliki ndio wamelipuana, kwa hiyo tuwaachie wakatoliki wenyewe hao waarabu hata hawahusiki

hili swala ni la wakatoliki wenyewe, wanajuana wenyewe...
Tangu lini watanzania wameanza kulipuana kwa mabumu? Ndio maana hisia kali ni kwa waarabu na siasa zao kali za kidini. Si tunasikia wanalipuana huko iraq kila siku na hapa nchini wapo madalali wao wanaojaribu kuenaza hizo itikadi za kidini.
 
Watakuwa ni chadema chama cha wakatoliki ndio wamelipua kanisa.................
Ovyo hata huna haya!!.. Watu wenu wakishafanya ugaidi mnaanza harakati kupotosha hisia sahihi za umma.
 
Wasambaaa wana akili sana na busara sana huwa hawanunuliki hovyo hovyo tu, sdijui wewe ni msambaa wa wapi huko.....go to hell

Osie imi sio mshambaa kabisa ila ni mmbung'u amba wawatei? Hata hivyo mimi sijanunuliwa kama unavyowaza ila pia naomba kama una unachokijua proved kuhusu hawa wageni au tukio lizima naomc uweke kuliko kuniblame wakati hayo nimeyanukuu kutoka kwa mwanasheria anayewasimamia waarabu hao. Sasa wapi kosa langu mghoshi?
 
hahahahaaaaa umenifurahisha sana umeonyesha BUSARA ya hali ya juuu, hongea mghoshi baba, izi siasa zishe ti bananishe, at the end wote tunabaki kuwa ndugu, thank you umeni-impress

Umeenda sawa ila hapo kwenye red ndipo ulipokuja kuiharibu thread yako kabisa!
Kwanini unaamua kusema uwongo mpendwa?
Ni wapi ambapo Mwadhama Kadinali Polycarp Pengo alisema kuwa suala hilo ni mgogogro wa ndani wa KANISA?
YEYE ALICHUNGUZA LINI?...na kwanini wanausalama wakubali maneno yake ...just mere words bila uchunguzi?
Wewe una nia ya kuficha uchunguzi usifuatiliwe na watu, ambapo hii si nia njema!
Uache kufabricate mambo pasipo uhakika!

Mie sijamsikia huyo kiongozi wa dini akisema hayo, lakini nimeyasoma kwenye baadhi ya vyombo vya habari.

Inadaiwa amesema kuwa "suala hili lisihusishwe kwa aina yoyote ile na dini au itikadi ya uislamu bali waliofanya kitendo hicho ni WAKRISTO tena wa KANISANI hapo! Na kwa msisitizo akasema kuwa anao uhakika wa kile anachokisema!"

Chanzo: Blogu ya Wananchi: KAULI YA KADINALI PENGO YAZUA MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU YAKE!!

Kama haitoshi kiongozi huyo wa dini alirudia tena matamshi yake kesho yake kwa kusema amepata taarifa kutoka kwa watu ambao hana na shaka nao.

"Jana (juzi), niliongelea kwamba suala zima la tukio la Arusha halihusiani na imani yoyote ya kidini. Tamko hilo nilitamka kutokana na taarifa nilizofikishiwa na watu ambao sikuweza kuwa na shaka kwamba wanaoniambia ni kweli na sidhani kama ningekuwa na sababu ya kusema wamefika kwa kunidanganya kwa hiyo tamko litakuwa limesimama juu ya msimamo huo," alisema Kadinali Pengo na kuongeza:

"Lengo la msingi kabisa, langu na la kanisa ni kwamba tukio lolote lile liwe kwa nia mbaya au nzuri kwa upande wetu isiwe ni sababu ya kuanza mapambano na kuwa chimbuko la ukosefu wa amani katika nchi yetu," alisema Pengo.

Alisema kuwa kila anayehusika ajue amani ya kweli ya taifa lolote haiwezi ikapatikana isipokuwa ikijengwa juu ya ukweli na ukweli kabisa bila kufuta au kujaribu kupotosha ukweli kwa namna yoyote ile.

"Tusipojua kusema ukweli ulivyo hatuwezi kufaulu kuleta amani katika taifa letu. Kwa hiyo pamoja na kuendelea kuwaomba waumini wa Katoliki pamoja na watu wenye mapenzi mema kuendelea kumwomba Mwenyezi Mungu arehemu taifa letu na mapambano ya aina yoyote ile. Tuendeleze nia yetu njema ya kusema ukweli, haidhuru ukweli huu unamgusa nani," alisema Pengo.

Alisema kujaribu kuficha ukweli na kupotosha ni njia sahihi kwa ibilisi kuleta vurugu katika jumuiya ya watu na ieleweke hivyo.

"Naomba kila mtu akubaliane na tamko langu haidhuru pana kosa, amani ya taifa letu ni jambo la msingi na amani itajengwa tu iwapo kila mtu anayehusika atakuwa tayari kusema ukweli kama ulivyo," alisema.

Kwa wale wanaojua kutumia vichwa vyao kufikiri watakuwa wamejua alimaanisha nini. Lakini wale wanaofikiri kwa kuweka imani zao mbele, you never know the truth.
 
Wameamua kuipotezea huku ndani ili isionekane mods ni wababe kweli.
 
hahahahaaaaa umenifurahisha sana umeonyesha BUSARA ya hali ya juuu, hongea mghoshi baba, izi siasa zishe ti bananishe, at the end wote tunabaki kuwa ndugu, thank you umeni-impress

Ushejali mndugh'u wangu ishwi tiwanh'ee tigombea muavi mng'we.
 
Wanaongelea kule ZNZ SHEIKH aliyemwagiwa TINDIKALI; Au kule MBEYA Wakristo waliokuwa wanatishia kuchoma Msikiti sababu ya Issue ya Kuchinja...
Kama wana nia njema wangetaja idadi ya makanisa yaliyochomwa dar-es-salaam. Hawa watu ni wakukaa nao chonjo kama tunataka kuendelea na amani nchini mwetu.
 
Friday, May 10, 2013 | 7:57 PM

Taarifa za kuaminika toka kwa mwanasheria

Jambo hilli limefanyiwa fabrications kadhaa, kwa uchache tu;

Ndg. zetu hawa sio kweli kama ilivyoripotiwa kwamba:
1). Walifika jumamosi na kesho yake jumapili litakatokea tukio hilo,
2). Na si kweli eti kuwa baada ya tukio eti wakaanza kuondoka kupitia Nairobi road na hivyo kukamatwa wakiwa njiani wanaondoka kuelekea Kenya kupitia Namanga.

UKWELI ULIVYO KWA MAELEZO YA NDUGU ZAO:

WENZETU HAWA WASAUDI WAWILI WALIKUJA SIKU TATU KABLA YA TUKIO HUSIKA KWA MATEMBEZI YAO BINAFSI AMBAYO MARA KWA MARA HUWA WANAYAFANYA KUJA KUWATEMBELEA NDG. ZAO HAPA TZ ARUSHA KAMA MTU MWINGINE ANGEWEZA KUFANYA KIMATEMBEZI.

WALIPOFIKA WALIKUWA WAKILALA KATIKA HOTELI MOJA "B" (JINA NALISITIRI) ILIYOPO ENEO LA KITUO KIKUU CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI HAPA ARUSHA AMBAYO INAMILIKIWA NA MCHAGGA MMOJA MKRISTO, SIKU YA TUKIO BAADA YA KUTOKEA, MMILIKI HUYO WA HOTELI HIYO ALIPIGA SIMU POLISI AKIELEZA KWAMBA HOTELINI KWAKE WAMEFIKIA WATEJA AMBAO ANA SHAKA NAO HIVYO POLISI WALIFIKA NA KUWAKAMATA HAO WAWILI HAPO HAPO HOTELINI NA KUWATAFUTA WENYEJI WAO WAWILI "X" NA "Y" NA WOTE KUKAMATWA NA KUPELEKWA KITUO KIKUU CHA POLISI HADI LEO.

Source: GUMZO LA JIJI
 
Watulie tu! Kama hawakuhusika itafahamika.
 
Jamani niliafahamisheni ya kwamba mlipuko kanisani Arusha Gaidi wetu yuko ndani ya CCM na serikali yake hata kesho kumbe watu hatukuelewana.

Katika mkasa huo lengo kuu ni kutugombanisha Wakristo kwa Waislamu jijini Arusha ili iwe ni njia ya CCM kuweza kujipatia japo ka-kiti kimoja cha udiwani kwenye uchaguzi unaotarajiwa.

Mambo jijini Arusha hadi hivi sasa ni kula kwa CCM ila KURA zote za udiwani ni kwa CHADEMA, kwisha kazi!!!!!!!!!!!
 
Hakuna cha gaidi wala nini hii ni mission ya watu wakubwa ndani ya ccm ambao wana mission ya kuifanya Arusha isiwe geneva.. Wanaona wivu
 
Friday, May 10, 2013 | 7:57 PM

Taarifa za kuaminika toka kwa mwanasheria

Jambo hilli limefanyiwa fabrications kadhaa, kwa uchache tu;

Ndg. zetu hawa sio kweli kama ilivyoripotiwa kwamba:
1). Walifika jumamosi na kesho yake jumapili litakatokea tukio hilo,
2). Na si kweli eti kuwa baada ya tukio eti wakaanza kuondoka kupitia Nairobi road na hivyo kukamatwa wakiwa njiani wanaondoka kuelekea Kenya kupitia Namanga.

UKWELI ULIVYO KWA MAELEZO YA NDUGU ZAO:

WENZETU HAWA WASAUDI WAWILI WALIKUJA SIKU TATU KABLA YA TUKIO HUSIKA KWA MATEMBEZI YAO BINAFSI AMBAYO MARA KWA MARA HUWA WANAYAFANYA KUJA KUWATEMBELEA NDG. ZAO HAPA TZ ARUSHA KAMA MTU MWINGINE ANGEWEZA KUFANYA KIMATEMBEZI.

WALIPOFIKA WALIKUWA WAKILALA KATIKA HOTELI MOJA "B" (JINA NALISITIRI) ILIYOPO ENEO LA KITUO KIKUU CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI HAPA ARUSHA AMBAYO INAMILIKIWA NA MCHAGGA MMOJA MKRISTO, SIKU YA TUKIO BAADA YA KUTOKEA, MMILIKI HUYO WA HOTELI HIYO ALIPIGA SIMU POLISI AKIELEZA KWAMBA HOTELINI KWAKE WAMEFIKIA WATEJA AMBAO ANA SHAKA NAO HIVYO POLISI WALIFIKA NA KUWAKAMATA HAO WAWILI HAPO HAPO HOTELINI NA KUWATAFUTA WENYEJI WAO WAWILI "X" NA "Y" NA WOTE KUKAMATWA NA KUPELEKWA KITUO KIKUU CHA POLISI HADI LEO.

Read more: "NDUGU ZETU HAWAJAHUSIKA NA SHAMBULIZI LA BOMU LA KANISANI JIJINI ARUSHA".....WAARABU - GUMZO LA JIJI
Mhhh...Leo Nguu007 huna la ku coment kwenye story uliyoitoa?
Manake siku zote huwa unakuwa wa kwanza ku coment kwenye story yeyote ile unayoitoa...

Anyway...Nilisema na nitasema,pia nawe unajua...penye UKWELI,...UONGO hujitenga.
Sio kila mtu dunia hii anapata RAHA ama SHIDA kwa sababu anastahili...Kuna wakati mwingine Circumstances,coincidances,na jitihada binafsi ama uzembe binafsi ndiyo mchanganyiko maalumu wa kukufanya utokezee kwenye raha ama shida.
Hao jamaaa sasa ndiyo typical example....kama hawajahusika,basi i hope wataachiwa tu,lakini wawe wapole,kwani fate yao ndio iko hivo.

Halafu kama umemisikiliza Kikwete kwenye hotuba pale Kanisani Olasiti...."Yule jamaa aliyekamatwa,pale alipoambiwa simu yake iko wapi akasema nimeiacha nyumbani,mara hajui iliko....Jitihada zilifanyika kwa kutumia teknology na siku ile ile simu ilipatikana,na ikaweza kujulikana alikuwa anawasiliana na nani,na muda gani"

Sasa hebu niambie ndugu yangu...ukute hao jamaa "watalii" ikaja ikaonekana kwamba mmoja wao ama wote,namba zao wanazotumia hapa TZ zikaonekana kwamba ziliwasiliana na huyo jamaa.....what a coincidance and circumstance.......ndiyo hapo ninakwambia...sometime.....(rudi pale nyuma)
 
Jamani niliafahamisheni ya kwamba mlipuko kanisani Arusha Gaidi wetu yuko ndani ya CCM na serikali yake hata kesho kumbe watu hatukuelewana.

Katika mkasa huo lengo kuu ni kutugombanisha Wakristo kwa Waislamu jijini Arusha ili iwe ni njia ya CCM kuweza kujipatia japo ka-kiti kimoja cha udiwani kwenye uchaguzi unaotarajiwa.

Mambo jijini Arusha hadi hivi sasa ni kula kwa CCM ila KURA zote za udiwani ni kwa CHADEMA, kwisha kazi!!!!!!!!!!!

Jeshi la polisi linajiandaa kupambana na kuwaadhibu watu wanaotoa comments za namna hii kwenye social networks.
 
Watulie tu! Kama hawakuhusika itafahamika.

Sisi tuliambiwa walikamatwa wakivuka mpaka wa Namanga, kumbe walikamatiwa Hotelini kwao ?

Ina maana huwa mpaka wa Namanga siku hizo hawakupita WAZUNGU ila ni WAARABU tu ? Au ndio yale yale amenyang'anywa dili DOWANS akapewa SYMBION....?

Dunia hii kuwa MWARABU ama hata MUISLAM ni balaaa kubwa...
 
Heshimu sheria, usiingilie mahakama, kama unaushahidi wa hicho ukisemacho nenda mahakamani kawatete. Kwnz unanishangaza mana ht ndg zko huwajui, je ni watanzania walolipuliwa au wasaudi walokamatwa?
 
Hawa waarabu sio Magaidi lakini acha kwanza watiwe jambajamba wanashindwa kufanya upuuzi wa kulewa na kuzini kwao wanakuja kufanyia Tz,Mungu anawapa fundisho kwa ujinga wao.

Aiingii akilini eti magaidi wanne wa kiarabu waje kurusha kile kibomu Arusha,hawa wahunimalaya) wa kiarabu acheni ujinga hapa.

Tukio hili kwa kiasi kikubwa litakuwa ni matokeo ya siasa chafu baina ya CCM na CDM au ni ugomvi wa Wakotoliki wanyewe.

Naishauri Polisi iwatese sana hawa Waarabu kabla ya kuwaachia ili wakome kuja kufanya uchafu wau huku,wanafikiri huku hakuna Mungu,Mungu yupo na amewaona na anawaadhibu sasa.
 
Back
Top Bottom