UAE says three citizens held over Tanzania bombing, Only One from Kingdom held

UAE says three citizens held over Tanzania bombing, Only One from Kingdom held

Heshimu sheria, usiingilie mahakama, kama unaushahidi wa hicho ukisemacho nenda mahakamani kawatete. Kwnz unanishangaza mana ht ndg zko huwajui, je ni watanzania walolipuliwa au wasaudi walokamatwa?

kesi haijafikishwa mahakamani.
 
Na sisi nae tulivyokuwa mafukara wa akili eti tunawaita vibaka wa FBI waje kutufanyia uchunguzi,wakati inawezekana hao FBI ndio wapangaji wa matukio yote haya tokea Zanzibar mpaka Arusha lengo lao waislamu na wakristo wapigane ili wapate nafasi ya kuijichotea rasilimali zetu kiraihisi.

Au FBI ndio wanamuandaa Savimbi wa Tanzania?

Kule Zanzibar walitucholea Ustadhi Kikofia,naona huku Arusha watatucholea Ustadh kilemba na Midevu,any way acha wawaandalie watu mtaji,nasema waliolipua BOMU Arusha ni Waislamu wenye msimamo mkali,wafuasi wa A-qaida na Al-shababu.
 
Taarifa za kuaminika toka kwa mwanasheria

Jambo hilli limefanyiwa fabrications kadhaa, kwa uchache tu;

Ndg. zetu hawa sio kweli kama ilivyoripotiwa kwamba:
1). Walifika jumamosi na kesho yake jumapili litakatokea tukio hilo,
2). Na si kweli eti kuwa baada ya tukio eti wakaanza kuondoka kupitia Nairobi road na hivyo kukamatwa wakiwa njiani wanaondoka kuelekea Kenya kupitia Namanga.

UKWELI ULIVYO KWA MAELEZO YA NDUGU ZAO:

WENZETU HAWA WASAUDI WAWILI WALIKUJA SIKU TATU KABLA YA TUKIO HUSIKA KWA MATEMBEZI YAO BINAFSI AMBAYO MARA KWA MARA HUWA WANAYAFANYA KUJA KUWATEMBELEA NDG. ZAO HAPA TZ ARUSHA KAMA MTU MWINGINE ANGEWEZA KUFANYA KIMATEMBEZI.

WALIPOFIKA WALIKUWA WAKILALA KATIKA HOTELI MOJA "B" (JINA NALISITIRI) ILIYOPO ENEO LA KITUO KIKUU CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI HAPA ARUSHA AMBAYO INAMILIKIWA NA MCHAGGA MMOJA MKRISTO, SIKU YA TUKIO BAADA YA KUTOKEA, MMILIKI HUYO WA HOTELI HIYO ALIPIGA SIMU POLISI AKIELEZA KWAMBA HOTELINI KWAKE WAMEFIKIA WATEJA AMBAO ANA SHAKA NAO HIVYO POLISI WALIFIKA NA KUWAKAMATA HAO WAWILI HAPO HAPO HOTELINI NA KUWATAFUTA WENYEJI WAO WAWILI "X" NA "Y" NA WOTE KUKAMATWA NA KUPELEKWA KITUO KIKUU CHA POLISI HADI LEO.

My take:
Suala hili linageuzwageuzwa na watu humu ndani pamoja na mtaani ili mradi kuonekana tu waarabu hawa wanakosa. Ni kwanini watu tunashindwa kumuelewa hata kiongozi mkuu wa katoliki Tanzania ndg Kadinali Pengo ambae kwa maneno yake ameseme lisihusishwe na dini bali ni mgogoro wa ndani ya 'KANISA LENYEWE'

Kwanini hatuwabebeshi mzigo huu waswahili wenzetu ambao dalili zaonyesha wazi kuwa wametenda kosa hilo mfano Victor Ambrose?
Ni wazi bado tunaelement za chuki dhidi ya hawa waarabu na dini yao pia. Ni vyema tungojee mwisho wa uchunguzi polisi watasemaje kuliko kulijadili suala hili kwa kuegemea upande mmoja(bias).

nimekusoma mkuu
 
hili tukio sio la Kidini wala sio la kigaidi kutokana na mtazamo wa Pengo ila ni la wakatoliki wenyewe, kwa sababu amepelekewa taarifa na watu anao waamini sana.

Hiyo ni kutokana na taarifa ya tamko la Pengo lililowekwa humu jf

kwa mtazamo huo lisihusishwe na mambo ya kidini ila ni watu waliomo ndani ya church la wakatoliki...

Are you being ironic? This bombing had everything to do with Religion of Peace. It’s not even a question nor does Tanzania have a “history of aggression” towards Muslims or Arabs. If anything Arabs are the aggressors trying to colonize Africa with Islam.
 
Jamani niliafahamisheni ya kwamba mlipuko kanisani Arusha Gaidi wetu yuko ndani ya CCM na serikali yake hata kesho kumbe watu hatukuelewana. Katika mkasa huo lengo kuu ni kutugombanisha Wakristo kwa Waislamu jijini Arusha ili iwe ni njia ya CCM kuweza kujipatia japo ka-kiti kimoja cha udiwani kwenye uchaguzi unaotarajiwa. Mambo jijini Arusha hadi hivi sasa ni kula kwa CCM ila KURA zote za udiwani ni kwa CHADEMA, kwisha kazi!!!!!!!!!!!
Jeshi la polisi linajiandaa kupambana na kuwaadhibu watu wanaotoa comments za namna hii kwenye social networks.
 
Back
Top Bottom