Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Watakuwa ni chadema chama cha wakatoliki ndio wamelipua kanisa.................
kwa hiyo kwa ambao sio wakatoliki, chama gani kinawafaa?
Watakuwa ni chadema chama cha wakatoliki ndio wamelipua kanisa.................
Taarifa za kuaminika toka kwa mwanasheria
Jambo hilli limefanyiwa fabrications kadhaa, kwa uchache tu;
Ndg. zetu hawa sio kweli kama ilivyoripotiwa kwamba:
1). Walifika jumamosi na kesho yake jumapili litakatokea tukio hilo,
2). Na si kweli eti kuwa baada ya tukio eti wakaanza kuondoka kupitia Nairobi road na hivyo kukamatwa wakiwa njiani wanaondoka kuelekea Kenya kupitia Namanga.
UKWELI ULIVYO KWA MAELEZO YA NDUGU ZAO:
WENZETU HAWA WASAUDI WAWILI WALIKUJA SIKU TATU KABLA YA TUKIO HUSIKA KWA MATEMBEZI YAO BINAFSI AMBAYO MARA KWA MARA HUWA WANAYAFANYA KUJA KUWATEMBELEA NDG. ZAO HAPA TZ ARUSHA KAMA MTU MWINGINE ANGEWEZA KUFANYA KIMATEMBEZI.
WALIPOFIKA WALIKUWA WAKILALA KATIKA HOTELI MOJA "B" (JINA NALISITIRI) ILIYOPO ENEO LA KITUO KIKUU CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI HAPA ARUSHA AMBAYO INAMILIKIWA NA MCHAGGA MMOJA MKRISTO, SIKU YA TUKIO BAADA YA KUTOKEA, MMILIKI HUYO WA HOTELI HIYO ALIPIGA SIMU POLISI AKIELEZA KWAMBA HOTELINI KWAKE WAMEFIKIA WATEJA AMBAO ANA SHAKA NAO HIVYO POLISI WALIFIKA NA KUWAKAMATA HAO WAWILI HAPO HAPO HOTELINI NA KUWATAFUTA WENYEJI WAO WAWILI "X" NA "Y" NA WOTE KUKAMATWA NA KUPELEKWA KITUO KIKUU CHA POLISI HADI LEO.
My take:
Suala hili linageuzwageuzwa na watu humu ndani pamoja na mtaani ili mradi kuonekana tu waarabu hawa wanakosa. Ni kwanini watu tunashindwa kumuelewa hata kiongozi mkuu wa katoliki Tanzania ndg Kadinali Pengo ambae kwa maneno yake ameseme lisihusishwe na dini bali ni mgogoro wa ndani ya 'KANISA LENYEWE'
Kwanini hatuwabebeshi mzigo huu waswahili wenzetu ambao dalili zaonyesha wazi kuwa wametenda kosa hilo mfano Victor Ambrose?
Ni wazi bado tunaelement za chuki dhidi ya hawa waarabu na dini yao pia. Ni vyema tungojee mwisho wa uchunguzi polisi watasemaje kuliko kulijadili suala hili kwa kuegemea upande mmoja(bias).

Naona na wewe kama kuna watu unawatetea kiaina, sijajua ni kwa maslahi ya nani unafanya hivyo. Kama Polisi waliona records za hao waarabu kuwa wameingia Arusha siku moja kabla na kuondoka siku moja baada, wewe una evidence za kuweza kukanusha hayo? Wewe unafikiri wanausalama wanakisia tu, mbona hawajakamata waarabu kibao walioko Arusha na waliokuwa wanasafiri siku hiyo wawakamate hao tu, huenda hata wewe kuna jambo unalifahamu, kwa maana unaignore kabisa habari kuwa mtuhumiwa mkuu katika uloipuzi huo ni Ambrose, kama kuna mtu wa kuwaokoa waarabu wako kwa sasa ni Ambrose, siyo JF wala "Ndugu" za hao waarabu! Maelezo ya kukamatwa waarabu kabla ya mlipuko ni mageni, tunaowafahamu ni wale waliokamatwa siku moja baada ya tukio...kama walikamatwa wengine huenda ni kwa tuhuma tofauti na hizo za mlipuko, kwani haiwezekani mtu akamatwe kwa kulipua wakati hata mlipuko haujatokea, hao ndugu zako unaowasema kama na wao walikuwa kwenye mishe hizohizo za kulipua basi itapobainika wataunganishwa kwenye kesi pamoja na hao warabu wengine na waafrika wanaoshikiliwa akiwapo Ambrose. Suala la Pengo kusema mambo hayo yasihusishwe na dini ni maneno yake hayo, polisi huwa hawafanyi kazi kwa maneno tu, la sivyo wangeshawaachia hao watuhumiwa wako kitambo. Polisi lazima wafanye uchunguzi wa kina, na wauwasilishe mahakamani, MAHAKAMA NDIYO ITAAMUA BAADA TU YA KUJIRIDHISHA PASI NA SHAKA KUWA HAO WAHUSIKA WANA HATIA AU HAWANA HATIA. Kwa hiyo ndugu usipige miayo isiyo na maana, hao waarabu wako chini ya mikono salama, na amini kabisa kuwa watapata HAKI WANAYOSTAHILI, kuja kulialia na kuomba sympathy JF wala haiwasaidii saana!:smokin:
Pengo amekwisha sema ni wenyewe wakatoliki ndio wamelipuana, kwa hiyo tuwaachie wakatoliki wenyewe hao waarabu hata hawahusiki
hili swala ni la wakatoliki wenyewe, wanajuana wenyewe...
Nimekuja kugundua lengo la thread yako pale uliposema "Kadinali Pengo amesema lisihusishwe na dini ni mgogoro
wa ndani ya kanisa" hapa umeharibu na kuonyesha yote uliyoandika ni uongo ila ni kwa maslahi unayoyajua wewe'
pengo amekwisha sema ni wenyewe wakatoliki ndio wamelipuana, kwa hiyo tuwaachie wakatoliki wenyewe hao waarabu hata hawahusiki
hili swala ni la wakatoliki wenyewe, wanajuana wenyewe...
unadhani tutapata jibu basi hapa hakuna majibu kabisaaa!kwa hiyo hili tukio ni udini kama lema anavyodai au ni la kigaidi kama wanavyodai vyombo vya dola?
Huu ubabaishaji ulioleta hapa wewe gamba unatokana na udhaifu wa jeshi letu katika kufanya upelelezi. Kwa haraka haraka ukiangalia ripoti zilizopo inaonekana kuwa MLIPUAJI mwenyewe hajakamatwa na Polisi wetu DHAIFU hawana uwezo wa kumkamata.
Polisi walitakiwa kujiridhisha kama hawa Waarabu wanahusika kweli kwenye shambulio kabla hawajatangaza majina yao hadharani au kuwakamata. Kwa kiherehere cha MaCCM wamejikuta wanatangaza lakini ukiangalia uhalisia huwezi kumkamata mtu just kwa kuwa alienda kuwapokea watuhumiwa airport au kwa kuwa watuhumiwa walipokuwa nchini walikuwa wanakuja kwako. Hata Boston Marathon Bombers wazazi au ndugu zao hawajakamatwa kwa kuwa polisi hawakujenga ushahidi wa kutosha kuwakamata. Hii inatokea Tanzania tu kwa kuwa Said Mwema ana nishani ya utumishi uliotukuka
Kwa hiyo hili tukio ni UDINI kama Lema anavyodai au ni la KIGAIDI kama wanavyodai vyombo vya dola?