Hahahahahahah.....kweli wewe mkali, mpaka umeweza kunitoa pangoni!!! Salute!!
Nipe story za hapa kijiweni..kuna gani jipya?
ulikuwa pango gan jaman hzi mvua znachangia michepuko
Hongera sana...kumbe mambo yashakuwa mambo, so sasa hivi ni janeth1 tu!! Cantalisia yupo poa kabisa.
Nilikuwa tu hapa mujini!! Uzee ushaninyemelea, kuchepuka nashindwaaa, sasa hivi hata nguvu ya kufanya mazoezi imekwisha kabsaaaa...ulikuwa pango gan jaman hzi mvua znachangia michepuko
mvua zitasingiziwa mengi
Hongera sana...kumbe mambo yashakuwa mambo, so sasa hivi ni janeth1 tu!! Cantalisia yupo poa kabisa.
Nilikuwa nimejificha umenyeni kidogo, sasa hivi angalau nitakuwa naonekana oneka...ila kwa kubip
kwahyo umemkataza asije jf?
Hongera sana...kumbe mambo yashakuwa mambo, so sasa hivi ni janeth1 tu!! Cantalisia yupo poa kabisa.
Nilikuwa nimejificha umenyeni kidogo, sasa hivi angalau nitakuwa naonekana oneka...ila kwa kubip
Nilikuwa tu hapa mujini!! Uzee ushaninyemelea, kuchepuka nashindwaaa, sasa hivi hata nguvu ya kufanya mazoezi imekwisha kabsaaaa...

hapana jamani husband hana makuu.
mvua zitasingiziwa mengi