U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

Si kweli hata kidogo. Iran hawapatani na Saudia kwa sababau Saudia imekubali kuwa kibaraka wa Marekani, na sio tu kuwa kibaraka bali rasilimali za Saudia zinachotwa na marekani kama vile hazina mwenyewe. Saudia inatoa mafuta mengi sana lakini utashangaa wananchi wake ni masikini kwa sababu mafuta hayo yanachukuliwa na Marekani, ati Saudia wanachofaidi ni kulindwa na Marekani!!!
Kama ilivyo kwa Marekani Iran ilikosana na Saudia tangu baada ya mapinduzi ya 1979, mapinduzi ambayo yaliondoa utawala kibaraka ambao ulikuwa hauwafaidishi wa Iran kwa sababu mafuta yote yalikuwa ni kama ya Marekani.
Usisahau pia tofauti kati ya ushia na usuni zimechangia sana uhusiano mbovu kati ya Iran na Saudi Arabia. Angalia Iran inawaunga mkono waandamanaji Bahrain kwasababu raia wengi ni washia kama wairan lakini mfalme Khalifa ni msuni, lakini Iran hiyo hiyo inaiunga mkono serikali ya Syria kwasababu wasyria wengi ni wasuni na rais Assad ni Alawite dhehebu dogo lililo karibu na washia. Saudi Arabia nayo inamuunga mkono Mfalme Khalifa kwasababu ya usuni wake lakini inawaunga mkono waandamanaji huko syria maana wengi ni wasuni.
 
Marekani anaweza pata aibu huko Irani. Kumbuka kwamba katika nchi zote ambazo NATO iliwahi kupigana nazo hakuna zenye uwezo wa kukaribia Irani
1NCHI KAMA- IRAKI
- VEITNAM
-LIBIYA
- AFUGHANSTAN
IRANI INA SHIKA TOP TEN YA DUNIA KIJESHI, NA INAZIPITA NCHI NYINGI SANA ZA ULAYA KIJESHI.

- NA IRANI NI MOJA YA NCHI ZENYE MAKOMBORA YA KUWEZA KUZAMISHA MERI ZA KIVITA ZA MAREKANI, MELI ZOTE ZA KUBEBEA NDEGE ZA KIVITA ZINAWEZA ZAMISHWA, NA HICHO NDO MAREKANI ANAOGOPA.
Mkuu lakini mbona Wairan walimshindwa Saddam kwa miaka nane, licha ya kwamba washia ndo wengi hata zaidi ya Sunni hapo Iraqi?

Kumbuka ni mmarekani aliekuwa akimsaidia Saddam kupambana na Iran, so kwa kiasi kikubwa US wameshakuwa kwenye conflict na Iran indirectly.

Hata hapo Iraki usije kushangaa kama vita hii dhidi ya Iran vikianza, mmarekani akimsapoti Msuni again, kwasababu kina Muqtada Alsadr wao watakuwa wanasapoti Iran yeye na Mahdi Army yake.Serikali ya kina Al Maliki si lolote si chochote, ipo ipo tu kumfurahisha marekani lakini haina control ya nchi, tena maybe block ya Alsadr inapewa respect zaidi, na hivyo huyo Al Maliki maybe anakula kotekote, Iran na US.

Hiyo vita ikianza consequences zake si ndogo, kuna proxy nyingine ya Iran, Hezbollah, huko Syria tayari kunafukuta, ni kama a chain reaction, muda si muda the whole region will be "dancing"

But to who's tunes, well, it is still remained to be seen.
 
Iran ana silaha za nyuklia?
Hata Marekani hana uhakika kama anazo. Ndio jambo linalosumbua Israel na mjomba wake Marekani. Wanataka sana kumshambulia Iran lakini wakikosa kuharibu hizo silaha (kama zipo) basi Israel itafutika kwani Iran atazitumia kuiangamiza!
 
Hata Marekani hana uhakika kama anazo. Ndio jambo linalosumbua Israel na mjomba wake Marekani. Wanataka sana kumshambulia Iran lakini wakikosa kuharibu hizo silaha (kama zipo) basi Israel itafutika kwani Iran atazitumia kuiangamiza!

and the rest o the world tutakuwa safe? i mean reaction ya marekani russia au bado ni fumbo kubwa
 
Hata Marekani hana uhakika kama anazo. Ndio jambo linalosumbua Israel na mjomba wake Marekani. Wanataka sana kumshambulia Iran lakini wakikosa kuharibu hizo silaha (kama zipo) basi Israel itafutika kwani Iran atazitumia kuiangamiza!
israel wakishambuliwa na iran kwa nukes,nao lazima wajibu,maana wanazo pia
 
Ile medali ya Nobel aliyopewa Obama naona anyang'anywe sasa maana anataka kuanzisha vita mpya. Yaani Obama ameaibisha kabisa medali ya Nobel. Anyang'anywe tuu sasa hivi.
 


US Drone Lost over Iran was on CIA Operation
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wewe sasa najua vizuri kuwa Dini zote ni mradi? na kila kitu kimeandikwa na watu sitaki kuwaita wahuni au wajanja labda utamalizia wewe, kweli unajua pia kuwa Biblia inayotumika leo iliandikwa miaka 400 baada ya Yesu kufa na ndipo mradi mzima uliundwa, na ili kufanya Jesu aonekane alikuwa maskini mtu wa watu (kumbe alikuwa mtu tajiri na mwenye nguvu kisiasa) alizaliwa kwenye familia ya kifalme Solomon, miaka 400 baadae ikaandikwa kuwa ilikuwa fundi mbao... wakati mradi wa kupendezesha Ukristo unaendelea Tajiri moja (batashi) bwa Mohame Allah nae kaamua kuunda kampuni hapohapo akaiba majina na history kidogo akaifanyia mabadiliko kidogo na kuita Islam ya Allah jina la babaake. aisee Mjoka unajua histori.

I expected the truth and not this embarrassment of yourself and I try again, please face them and answer, some of them are just closed questions?

Please say the truth, between Iran and the United States and its allies, who is the aggressor?
Who is the murderer of the other's scientists??
Who is trying/provoking the other whether be at this or at any other time?

And the important thing here is the issue of facts, truth, fairness and impartiality on commenting of what is going on between Iran and Western/Zionists coalition.

Speak the truth,
What has Iran done wrong against United States?
Aren't kidnapping and killing of a Iran scientists acts of terrorism?
Isn't flying unmanned spy planes on other country's airspace a violation of it's sovereignty?
Aren't they acts of aggression?
Finally, what do you think if it is Iran that has done anything like these against them?

We are all waiting to hear from you
 
M-Joka, hayo maswali unayouliza ni muhimu na mazuri tu yenye kuashiria kuuliza kuhusu haki, lakini hayafanyi kazi kwenye dunia hii ya sasa, kwa maana kwamba hizo hata kama ni facts, lakini hazitakusaidia kwa lolote, na wala hazitaisadia nchi ya Iran.

Mmarekani akitaka kwenda anaenda tu na sababu watakayoitoa hata kama haimake sense haitasaidia kugeuza hali halisi, story itabadilika sasa kuwa how should we help Iran rebuild na si eti mbona mwanasayansi aliuwawa, ama waliwekewa vikwazo, ama walishambuliwa na bunker busters, hell fire missiles ama hata tomahwak missiles.

Nakueleza based on my experience kwasababu hatufahamiani, hopefully utakuwa umepata ufahamu na kujifunza zaidi kuhusiana na issue hizi.
 
Njia ya diplomasia ni nzuri zaidi kuliko vita.Iran hana ubavu wa kumkabili Marekani au NATO na marafiki zake,kumbuka hivyo vita vikifumuka wachangiaji ni wengi sana kwa namna nyingi.Tulisikia huku nyuma the mother of all battle yaani Iraq ya Saddam Hussein haikufua dafu.Kelele za China na Russia ni za kinafiki,tumeshudia hata nje ya ghuba vita vya Cosovo ,Mrusi alitia vitisho na majigambo lakini Marekani alimtwanga huyo Serbia bila huruma,na mifano kama hiyo ni mingi tu.Heri kutumia busara za kidiplomasia kuepusha maangamizi yasio lazima.
 
Iran ni Muajemi sio Mwarabu nakumbuka vita vya Iran na Irak Nchi za kiarabu zilizokaribu nae walikuwa wanamsaidia Irak. Hata sasa hawajabadirisha kauli yao.Yasemekana ana unda siraha zake mwenyewe lakini ukweli wa mambo ni viwanda vya kirusi vinavyotengeneza siraha hizo huko Iran.Kuna uhakika gani kuwa Warusi hawatamchuuza kwa Marekani?Kwa ujumla Waajemi sio watu wabaya,lakini uongozi wa nchi labda ungejikita kwa mambo muhimu ya kuinua hari za wananchi wake.Iran kuunda siraha za nuklia sio tekinologia mpya hata Sweden na Afrika kusini waliwahi kutengeneza na baadae kuachana nazo.
 
M-Joka, hayo maswali unayouliza ni muhimu na mazuri tu yenye kuashiria kuuliza kuhusu haki, lakini hayafanyi kazi kwenye dunia hii ya sasa, kwa maana kwamba hizo hata kama ni facts, lakini hazitakusaidia kwa lolote, na wala hazitaisadia nchi ya Iran.

Mmarekani akitaka kwenda anaenda tu na sababu watakayoitoa hata kama haimake sense haitasaidia kugeuza hali halisi, story itabadilika sasa kuwa how should we help Iran rebuild na si eti mbona mwanasayansi aliuwawa, ama waliwekewa vikwazo, ama walishambuliwa na bunker busters, hell fire missiles ama hata tomahwak missiles.

Nakueleza based on my experience kwasababu hatufahamiani, hopefully utakuwa umepata ufahamu na kujifunza zaidi kuhusiana na issue hizi.

Haya ni maswali muhimu na majibu yake yanajulikana, yanaulizwa hapa sio kwamba uhakika wa haki ilipo ndio kwanza unaotafutwa, la hasha, bali ni kuuweka wazi upumbavu wa wengi wanaoweza kunyanyua midomo yao na kupoteza pumzi zao ku-beat around the bush badala ya kujiuliza na kujibu maswali ya haki.

Maswala yangu ni kuweka bayana kama inaonyoonekana wazi hapa udhaifu wa "dhuluma/uongo" pale "haki/ukweli" unapochomoza. Maswala haya yapo na yatakuwepo na ni rahisi na yanapenya katika akili ya kila mtu, lakini angalia, dhulumati wote na wanaofuata mkumbo wa dhulumati wooote wanashindwa kuyakabili. Why??? Wanayaogopa yanawabadilisha nafsi zao na wao wanahofu kubadilika, wanaogopa yatawatia unyong'onyo na kuwavunja nguvu ya kuwa mamluki wa kiakili. Matokeao yake tunapata watu kama Pharaoh badala ya kuyakabili, wanavurumisha matusi na kujiaibisha. Sio kweli na ni udhaifu wa nafsi kuamini eti haki haimsadii mwenye kusimama nayo, sio kweli hata kidogo. Historia inakataa hivyo. Hii haina maana kwamba Marekani na mahabithi wenzake hawatoweza kuiangamiza Iran au nchi nyengine, no, wanaweza saana, lakini as long as kitu kinachoitwa "haki" kipo, na ikisimamiwa ipasavyo na watu wapasao kuisimamia, basi ndio kusema kwamba hayo maangamizi yao ya nchi moja au nyengine kinyume na "haki" ndio kuzidi kwao kuisogelea karibu ahadi na maangamizi yao, na wataangamia tu, labda kitu "haki" kitoweke ulimwenguni na hilo katu haliwezekani isipokuwa katika uoni finyu wa wale wasioijua "haki"

Sio bila ya lengo kuhusiana na ubinadamu, uhai na umri, akili (intellect), pumzi tunazovuta, riziki tunazojaaliwa na mengineyo katika baraka tulizojaaliwa isipokuwa moja ya lengo lake ni kuisimamia, kuitekeleza, kuitamka na kuiamini "haki".
 
Kila wakati dunia tangu kuumbwa kwake imekuwa katika makundi mawili ya watu

a. kundi la watawala wenye kudhulumu, kuonea wanyonge na kuwanyonya mifano ya karibuni ni ukoloni, utumwa na hivi sasa "economic and Military agression" against human being hii inafanywa na Western countries to the rest of the world through IMF, WB and NATOs..this institutions are injust, oppressors both in economic terms and militaru terms

b. Kundi la pili ni la wanyonge binadamu wote, wafanyakazi, wakulima katika mataifa maskini duniani; watu hawa wanajua haki lakini hawajapata ujasiri wa kusimama na ku-face western powers..

Having said that, firauni alikuwa kundi "a" lakini Mussa alimdondosha firauni bila kuwa na silahi yeyote zaidi ya imani thabit, Muhamammad aliwagaragaza waarabu makafiri bila kuwa na silaha yeyote zaidi ya imani thabiti; HAKI ITASHINDA..
 

[h=1]Details of Obama’s Letter to Iran Released: Obama Says “US Will Not Take Hostile Action Against Iran”[/h]

Iranian regime supporters carried pictures of Barack Obama and shouted “Death to America” at the funeral procession of assassinated nuclear scientist Mostafa Ahmadi Roshan last week.
The Iranian regime released details of Barack Obama’s letter to the Islamic state. Obama told the regime that the US will not take hostile against against Iran.
Iranian Mehr News reported:

A number of Iranian officials have released the details of the letter that U.S. President Barack Obama recently sent to Tehran.
The New York Times, citing U.S. government officials, wrote on January 12 that the Obama administration had sent a message to Supreme Leader of the Islamic Revolution Ayatollah Seyyed Ali Khamenei warning that closing the Strait of Hormuz is a “red line” that would provoke a response by the United States.

Iranian Foreign Ministry spokesperson Ramin Mehmanparast said on January 15 that U.S. officials had sent a message on the Strait of Hormuz to the Islamic Republic through three officials, noting, “Susan Rice, the U.S. ambassador to the United Nations, delivered a letter to Mohammad Khazaii, the Islamic Republic of Iran’s ambassador (to the UN). The Swiss ambassador to Tehran (Livia Leu Agosti) also conveyed the message, and Jalal Talabani, the Iraqi president, conveyed the message to officials of the Islamic Republic of Iran as well.”
Obama has called for negotiations
MP Ali Motahhari said on Wednesday, “In the letter, it has been stated that ‘closing the Strait of Hormuz is our red line’ and they have requested direct negotiations.”
“In the letter, Obama has announced readiness for negotiation and the resolution of mutual disagreements,” he added.
He went on to say that Obama uttered threats in the first part of the letter and talked about friendship and negotiation in the second part.
Obama says U.S. will not take hostile action against Iran
MP Hojjatoleslam Hossein Ebrahimi said on Wednesday, “Obama’s letter has several parts. Part of it is about this, (namely) that using international waterways is the right of all countries and all should benefit from them. And in this letter, he has described it as the United States’ red line.”
“In the letter, Obama has mentioned cooperation and negotiation based on the interests of the two countries,” Ebrahimi, who is the deputy chairman of the Majlis National Security and Foreign Policy Committee, told the Nasimonline news website.
“He has stated in the letter that they will not take any hostile action against the Islamic Republic of Iran,” he added.
Ebrahimi also said, “This is not the first time that Obama has sent a message and letter to the Islamic Republic of Iran. He has repeatedly spoken in a soft tone about the Islamic Republic of Iran, but, in practice, he has not acted accordingly.”
“Obama’s letter indicates that the United States has become afraid of the Islamic Republic of Iran’s might and has realized the point that an arrogant spirit is of no use, and therefore, he has softened his tone when speaking about the Islamic Republic of Iran,” he stated.
He added, “The important issue is that without the Islamic Republic of Iran’s permission, no country can benefit from the Persian Gulf.”

SOURCE: Details of Obama's Letter to Iran Released: Obama Says "US Will Not Take Hostile Action Against Iran" | The Gateway Pundit

[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]'Barua ya Obama ni kukiri Marekani nguvu za Iran'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
Obama89056.jpg
Mbunge mmoja mwandamizi wa Iran amesema kuwa, barua ya Rais Barack Obama wa Marekani ya kuiomba Tehran isifunge Lango Bahari la Hormuz ni kukiri Washington nguvu kubwa za kijeshi za Iran.
Mbunge Esmail Kowsari amesisitiza kwa mara nyingine kuwa, kama vikwazo dhidi ya Iran vitaanza kutekelezwa, basi Jamhuri ya Kiislamu bila ya shaka yoyote itazuia kupita meli za mafuta katika Lango Bahari la Hormuz, ambayo ndiyo njia kuu ya meli za mafuta duniani.
Juzi Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Bw. Ramin Mehmanparast alithibitisha kuwa Tehran imepokea barua ya Rais wa Marekani iliyopitia kanali mbalimbali ikiwa ni pamoja na Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Susan Rice, Balozi wa Uswisi mjini Tehran Livia Leu Agosti na Rais Jalal Talabani wa Iraq.
Mbunge Kowsari ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Iran ya Masuala ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ameongeza kuwa, kitendo cha Rais wa Marekani cha kutuma barua ya maombi kwa Iran ni jambo lililotarajiwa kwani mtu anapohisi hatari lazima atachukua hatua.

SOURCE: 'Barua ya Obama ni kukiri Marekani nguvu za Iran'[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
the US stands to be supported by most countries including China and Russia

Sio kweli mkuu,
Russia ni rafiki mkuu wa Iran na iko against any military intervention on Iran

SOMA HAPA CHINI:
Russia to oppose war against Iran

Kremlin orders the military to prepare for any possible spillover, reports say
  • By Fred Weir
  • Published: 00:00 January 19, 2012
Moscow: As tensions ratchet up in the Gulf, the Kremlin is signalling that it will use all its diplomatic influence to oppose war and, according to a leading Moscow newspaper, has ordered the military to prepare for any possible spillover from a conflict between Iran and the US into the sensitive post-Soviet Caucasus region.

Russia will block any further sanctions against Iran in the UN Security Council, a Foreign Ministry official said yesterday, because it believes rising tensions could trigger a conflict that would destabilise the wider region. Last week Russian deputy prime minister and former ambassador to Nato Dmitry Rogozin warned that any Western attack on Iran would constitute "a direct threat to [Russian] national security".
The independent Moscow daily Nezavisimaya Gazeta reported on Monday that this year's annual military exercises in Russia's south, Kavkaz 2012, will be much larger than usual and organised around the premise of a war that begins with an attack on Iran but spreads to neighbouring Armenia and Azerbaijan, and draws Russia into a regional maelstrom

CHINA ndo kabisa imeshasema kuwa iko upande wa Iran na ikivamiwa basi kutaibuka vita kuu ya tatu..

SOMA HAPA CHINI:

Chinese General Threatens "Third World War" To Protect Iran
A military General from the Chinese National Defense University says that China should not hesitate to protect Iran, even if it means launching world war three, as more US warships are dispatched to the region amidst heightening tensions.

According to NDTV, a Chinese news station based outside the country, in regard to recent speculation that Iran would be the target of a US-Israeli military assault, Major General Zhang Zhaozhong commented that, "China will not hesitate to protect Iran even with a third world war," remarks described as "puzzling to some".
The news report also quotes Professor Xia Ming as paraphrasing Zhaozhong's quote that, "not hesitating to fight a third world war would be entirely for domestic political needs."

China has vehemently reaffirmed its alliance with Iran in recent weeks, most notably yesterday when it refused to criticize Iran for a raid on the British Embassy in Tehran launched by Iranian students earlier this week.​
Both China and Russia have made it clear that they will veto any UN authorization of military action against Iran in the aftermath of claims that Iran is on the verge of developing a nuclear weapon.

"China has noted the tough reactions made by the relevant countries over this event and is concerned over the development of the situation," Chinese Foreign Ministry spokesperson Hong Lei told reporters today.​
"We hope relevant countries will keep calm and exercise restraint and avoid taking emotional actions that may rachet up the confrontation."

Meanwhile, in a related development, three more US warships have been dispatched to join the USS John C. Stennis in the 5th fleet region.
With the Stennis, a Nimitz-class nuclear-powered supercarrier, already stationed just outside Iranian territorial waters, the USS Carl Vinson aircraft carrier has just been deployed from its home port to join the U.S. 5th Fleet AOR.
Fears of an imminent military assault on Syria were sparked when the USS George H.W. Bush left its usual theater of operations to position itself just off the Syrian coast, but the warship has now completed its mission and is sailing back to its home port in Norfolk Virginia
 
Waziri wa Vita wa Israel: Hatuna mpango wowote wa kuivamia kijeshi Iran
EhudBarak6.jpg
Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel amesema uvamizi wowote dhidi ya vituo vya Nyuklia vya Iran bado uko mbali mno. Akiongea katika idhaa ya Jeshi la utawala huo ghasibu, Ehud Barak amesema Israel haijaamua kutekeleza hujuma hiyo ya kijeshi na kuongeza kuwa, jambo hilo lipo mbali mno. Amesema Israel haiamini kama Iran tayari imeshakusudia kutengeneza vichwa vya silaha za Nyuklia. Naye Mkuu wa zamani Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad, Meir Dagan, aliwahi kunukuliwa huko nyuma akidai kwamba, ikiwa Israel itaivamia Iran, basi Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Hamas ya Palestina nazo zitaishambulia Israel. Aidha alisema kuwa, Syria nayo itashirikiana na Iran. Kwa kisingizio cha silaha za Atomiki, nchi za Ulaya na Utawala haramu wa Israel zimetishia kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tehran daima imekuwa ikiuthibitishia ulimwengu kwamba mipango yake ya Nyuklia ni ya amani na inayosimamiwa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA). Hii ni katika hali ambayo ulimwengu wote unatambua kwamba Israel haijatia saini mkataba wa Kimataifa wa kuzuia uzalishaji na ueneaji wa silaha za maangamizi NPT na unamiliki vichwa vya Nyuklia takriban 200, huku utawala huo ukikataa vituo vyake vya nyuklia kukaguliwa na waangalizi IAEA

wowote dhidi ya vituo vya Nyuklia vya Iran bado uko mbali mno. Akiongea katika idhaa ya Jeshi la utawala huo ghasibu, Ehud Barak amesema Israel haijaamua kutekeleza hujuma hiyo ya kijeshi na kuongeza kuwa, jambo hilo lipo mbali mno. Amesema Israel haiamini kama Iran tayari imeshakusudia kutengeneza vichwa vya silaha za Nyuklia. Naye Mkuu wa zamani Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad, Meir Dagan, aliwahi kunukuliwa huko nyuma akidai kwamba, ikiwa Israel itaivamia Iran, basi Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Hamas ya Palestina nazo zitaishambulia Israel. Aidha alisema kuwa, Syria nayo itashirikiana na Iran. Kwa kisingizio cha silaha za Atomiki, nchi za Ulaya na Utawala haramu wa Israel zimetishia kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Tehran daima imekuwa ikiuthibitishia ulimwengu kwamba mipango yake ya Nyuklia ni ya amani na inayosimamiwa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA). Hii ni katika hali ambayo ulimwengu wote unatambua kwamba Israel haijatia saini mkataba wa Kimataifa wa kuzuia uzalishaji na ueneaji wa silaha za maangamizi NPT na unamiliki vichwa vya Nyuklia takriban 200, huku utawala huo ukikataa vituo vyake vya nyuklia kukaguliwa na waangalizi IAEA

SOURCE: Waziri wa Vita wa Israel: Hatuna mpango wowote wa kuivamia kijeshi Iran
 
Iran warns region against "dangerous" stance on Hormuz


ANKARA (Reuters) - Iran's foreign minister warned neighbouring states not to put themselves in a "dangerous position" by aligning themselves too closely with the United States in the escalating dispute over Tehran's nuclear activity.


Confrontation is brewing over Tehran's nuclear work, which Washington and other powers say is focused on developing atomic weapons. Iran dismisses the accusation.
Iran has threatened to close the Strait of Hormuz, used for a third of the world's seaborne oil trade, if pending Western moves to ban Iranian crude exports cripple its lifeblood energy sector, fanning fears of a slide into wider Middle East war.


European Union foreign ministers are expected at a meeting on Monday to agree an oil embargo against Iran and a freeze on the assets of its central bank, French Foreign Minister Alain Juppe said, confirming diplomatic leaks.
Saudi Arabia, the world's No. 1 oil exporter, riled Iran earlier this week when it said it could swiftly raise oil output for key customers if needed, a scenario that could transpire if Iranian exports were embargoed.


Industry sources told Reuters on Thursday Turkish refiner Tupras also planned to cut its dependence on imports of Iranian oil, partly in response to the Hormuz threat.


"We want peace and tranquillity in the region. But some of the countries in our region, they want to direct other countries 12,000 miles away from this region," Iranian Foreign Minister Ali Akbar Salehi said in English during a visit to Turkey on Thursday, before the news emerged about Tupras.
More information
Iran warns region against "dangerous" stance on Hormuz
 
European Union foreign ministers are expected at a meeting on Monday to agree an oil embargo against Iran and a freeze on the assets of its central bank, French Foreign Minister Alain Juppe said, confirming diplomatic leaks.
Saudi Arabia, the world's No. 1 oil exporter, riled Iran earlier this week when it said it could swiftly raise oil output for key customers if needed, a scenario that could transpire if Iranian exports were embargoed.

Kwa kuwa hawa wamarekani na Baadhi ya nchi za ulaya zimeonyesha ukigeugeu katika masuala ya mahusiano ya kimataifa(Tumeona IraQ, Na kaskazini mwa Afrika), na kwa kuwa silaha nyingine wanayoitumia kutishia mataifa mengine yanayopingana nayo katika masuala mbali mbali ni kufreeze assets of Central banks za nchi husika. Je Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT) imejiandaaje kujikinga na silaha hii ya kufreeze assets za Central Bank( mfano Benki Kuu ya Tanzania)?

Swali linaelekea kwa viongozi waandamizi wa JMT, lakini pia mwana JF unaweza kutoa majibu ya swali hili namna ungeweza kujikinga hili kama ungekuwa Kiongozi mwandamizi wa JMT.
 
Mada ni wa Iran, waarabu imewahusu nini?

Au ndio "great thinker" asiyejuwa kuwa wa Iran si Waarabu?

kwa kuwa hapa ni sehemu ya kuelimishana ni bora umwambie kuwa waIran si waarabu bali ni waajemi na si kila taifa la kiislam ni waarabu, yapo mataifa kama uturuki, afghanistan n.k ni ya kiislam lakini si waarabu!
 
Back
Top Bottom