Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
let see
Marekani anaweza pata aibu huko Irani. Kumbuka kwamba katika nchi zote ambazo NATO iliwahi kupigana nazo hakuna zenye uwezo wa kukaribia Irani
1NCHI KAMA- IRAKI
- VEITNAM
-LIBIYA
- AFUGHANSTAN
IRANI INA SHIKA TOP TEN YA DUNIA KIJESHI, NA INAZIPITA NCHI NYINGI SANA ZA ULAYA KIJESHI.
- NA IRANI NI MOJA YA NCHI ZENYE MAKOMBORA YA KUWEZA KUZAMISHA MERI ZA KIVITA ZA MAREKANI, MELI ZOTE ZA KUBEBEA NDEGE ZA KIVITA ZINAWEZA ZAMISHWA, NA HICHO NDO MAREKANI ANAOGOPA.
who is killing iran's nuclear scientists?? 6 attempts, 5 killed, 1 severely injured
Maskini watu wa Iran, they such a nice people of a great civilization, but their religous ignorance is putting them always on conflicts, but is wish they don't try this time, is just a small execise for the western armies.
Iran ijifunzi learn to separate politics (governance) and religion... wakiweza hilo watakaa sawa, pia waache kujipendekeza kweli ulimwengu wa kiarabu wakati wao sio waarabu hata kidogo, ndio sababu hawaelewani na Saud Arabia, Islam supreme powers ni Saudia na Turkey tu, wengi povu tu na wasijidanganye bure
Si kweli hata kidogo. Iran hawapatani na Saudia kwa sababau Saudia imekubali kuwa kibaraka wa Marekani, na sio tu kuwa kibaraka bali rasilimali za Saudia zinachotwa na marekani kama vile hazina mwenyewe. Saudia inatoa mafuta mengi sana lakini utashangaa wananchi wake ni masikini kwa sababu mafuta hayo yanachukuliwa na Marekani, ati Saudia wanachofaidi ni kulindwa na Marekani!!!Iran ijifunzi learn to separate politics (governance) and religion... wakiweza hilo watakaa sawa, pia waache kujipendekeza kweli ulimwengu wa kiarabu wakati wao sio waarabu hata kidogo, ndio sababu hawaelewani na Saud Arabia, Islam supreme powers ni Saudia na Turkey tu, wengi povu tu na wasijidanganye bure
Si kweli hata kidogo. Iran hawapatani na Saudia kwa sababau Saudia imekubali kuwa kibaraka wa Marekani, na sio tu kuwa kibaraka bali rasilimali za Saudia zinachotwa na marekani kama vile hazina mwenyewe. Saudia inatoa mafuta mengi sana lakini utashangaa wananchi wake ni masikini kwa sababu mafuta hayo yanachukuliwa na Marekani, ati Saudia wanachofaidi ni kulindwa na Marekani!!!
Kama ilivyo kwa Marekani Iran ilikosana na Saudia tangu baada ya mapinduzi ya 1979, mapinduzi ambayo yaliondoa utawala kibaraka ambao ulikuwa hauwafaidishi wa Iran kwa sababu mafuta yote yalikuwa ni kama ya Marekani.
Maskini watu wa Iran, they such a nice people of a great civilization, but their religous ignorance is putting them always on conflicts, but is wish they don't try this time, is just a small execise for the western armies.
Please say the truth, between Iran and the United States and its allies, who is the aggressor? Who is the murderer of the other's scientists?? Who is trying/provoking the other whether this or at any other time?
The different between Iran (Shia/Shiite) and Sunni wal-Jamaa (eg. Saudi) is like the difference between the Nazarenes (original followers of Jesus, who believed, followed and preserved the pure teachings of Jesus and the Gospel (Injili)) and any one group from the whole bunch of these deviant churches of today (Catholics, Protestants, Presbyterians etc, etc who have abandoned the Gospel for various versions of misleading Bibles). Do you call them ignorants or differents? Surely they are different not ignorant as they have not only an unshakable creed of their faith, but also vast knowledge of what they believe in, however deviant that creed and belief are.
But the important thing here is the issue of facts, truth, fairness and impartiality on commenting of what is going on between Iran and Western/Zionists coalition.
Speak the truth, What has Iran done wrong against United States? Aren't kidnapping and killing of a Iran scientists acts of terrorism? Isn't flying unmanned spy planes on others airspace a violation of another sovereignty? Aren't they acts of aggression? Finally, what do you think if it is Iran that has done anything like these against them?