Mkubwa ni moja tu ni Mwenyezi Mungu, mataifa makubwa huangushwa na mataifa madogo, farao aliangushwa na musa asiye na jeshi bali haki..
Wamerakani hawawezi kundesha dhulma wakabaki, na kwa hili la Irani hasara ya kijeshi na kiuchumi na kubwa mno kwa taifa lao, wapinzani wa ndani wameongezeka yote hiyo ni dalili mbaya kwao..
Hawawezi kitu, mbona wanashinikiza vikwazo wasiende vitani? kama kweli ni taifa kubwa? oops
Kama inavyosemekana, samaki hawezi kupigana na maji, binadamu nasisi hatuwezi kupigana na hewa.
Mimi nazungumzia facts na reality, where as wewe unazungumzia kishabiki na kipropaganda, my self i'm just analysing.
Wapinzani wa ndani unaozungumzia ni wapi hao? Ama kuna news za kipropaganda unasoma na zimeharibu uwezo wako wa kuona ukweli?
Si kweli kwamba wanaweka vikwazo kwasababu hawawezi kwenda vitani, hiyo ni mojawapo ya njia za kuelekea vitani, sijui kwanini huchambui issue na kuinclude reality.
Ni ukweli kwamba wana njia ambazo wanazitumia ku eaxhaust options zote kabla ya vita ili kuondoa lawama.
Huwa wanasema wanaanza na diplomasia, ikishindikana ni vikwazo, ikishindikana ni vita, ndo ukweli huo, na issue ya Iran haijaanza kwenye utawala wa Obama, ilianza long time ago na trust me ineelekea ukiongoni.
Hayo ya mataifa makubwa kunagusha madogo ni propaganda alizokuwa akizitumia Bin Laden kuwadanganya Taliban wakaingia vitani na US.
Ni ukweli kuwa vita hiyo imewacost, lakini ni ukweli pia wanashirikiana na NATO, hizo stori za Farao hazina mantiki kwenye generation hii ya sasa, the pwerfull will always rule.
Ni kweli recently, USSR ilianguka kwa kuingia vitani na Afghanistan kwa miaka kumi, wakati huo Bin Laden akiwa kamanda, lakini credit inawaendea hao Taliban kuhusu kuanguka kwa USSR?
Jibu unali, mmarekani alikuwa nyuma ya Taliban na kina Bina Laden, ndo hapo mmarekani na wenzake wanapowashinda hao watu, kwanza wanajuwa madhaifu yao na wanayatumia vilivyo kuwatawala na kushinda vita dhidi yao.
We unadhani kwanini waliweza kumnasa Bina Laden?
Unadhani ni kwanini wanaweza kuivamia nchi yoyote ya middle east na wakapata sapoti ya nchi jirani za huko kumvamia jirani mwenzao?
Akitaka kumwondoa Sunni anamtumia Shia and vice versa.