Absolute
JF-Expert Member
- Jan 19, 2007
- 333
- 62
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
Iran: Vitisho, vikwazo na mashinikizo ni mbinu zilizofeli zamani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran vilivyopitishwa na Umoja wa Ulaya haviendani na mgogoro wa kiuchumi na kijamii unaozikabili nchi za Ulaya na kwa hakika vikwazo hivyo; vina sura zaidi ya mashinikizo ya kipropaganda na vita vya kisaikolojia dhidi ya Tehran.
Matamshi hayo ya Bwana Mehmanparast yamekuja huku Shirika la Mafuta la BP la Uingereza likikataa kujumuishwa katika orodha ya mashirika yatakayotekeleza vikwazo dhidi ya Iran.
Weledi wa mambo wanasema kuwa nchi za Magharibi zinayataka mashirika ya nchi nyinginezo yasishirikiane na Iran lakini nchi hizo za Ulaya zinafanya juhudi zao zote kuhakikisha kuwa mashirika ya Ulaya kama vile BP hayavunji mikataba yao ya mafuta na Iran.
Msemaji wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran haviingiliki akilini kwani mafuta hayana uhusiano wowote na miradi ya amani ya nyuklia ya Iran.
Huku akiashiria kuwa vikwazo dhidi ya Iran si jambo jipya amesema, inaonekana kwamba Wamarekani wanatumia hila ya kuyapiku kiuchumi mataifa yanayotishia uchumi wa Marekani na inataka nchi hizo ziache kushirikiana kiuchumi na taifa kubwa kama la Iran ili kuzipunguzia kasi ya kuipiku kiuchumi Marekan
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
SOURCE: Iran: Vitisho, vikwazo na mashinikizo ni mbinu zilizofeli zamani